serikali

  1. T

    JamiiForums Tanzania Bei ya gesi haijashuka, je serikali haina meno?

    Ni hivi jana serikali imepiga marufuku kupanda bei huku kukiwa na sintofahamu ya marufuku iliyotolewa kupanda kwa gesi. Bei ya Gesi haikupunguzwa baada ya serikali kuingilia kati na kupiga marufuku upandaji huo. Sasa najiuliza Meno ya serikali ni butu na hivyo hata kwenye petrol watagomewa...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba usiwaadhibu wananchi wa kawaida kwa tozo lukuki, tueleze hali ya uchumi wa nchi ikoje?

    Kwa kifupi serikali ya sasa imerudisha mambo yote yasofaa ambayo mwenzao hayati Magufuli aliyaongelea kuwa ndiyo yalorudisha nyuma nchi hii. Kwa utafiti mdogo ambao mtu yeyote aweza kuufanya hadi sasa ni kwamba; 1. Wafanyabiashara wote wakubwa na walipa kodi wakubwa wote wamesamehewa kulipa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sabaya tegemeo la Serikali kesi ya Mbowe

    Pamoja na Sabaya kufikishwa mahakani kwa tuhuma lukuki ikiwemo matumizi ya silaha na madaraka kinyume Cha sheria, wafuasi wa mfumo butu wa security wamekubaliana na hoja kwamba alitumwa kwa maslahi ya Taifa na hivyo wanajipanga kumtoa kwenye kesi inayomkabili kwa sababu kuu mbili; 1. Kumkamata...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali kukata rufaa kwenye kesi ya Mbowe, Wana lengo la kuifanyia "delaying tactics" katika kesi hiyo?

    Tumewasikia hao mawakili wa Serikali wakikata rufaa kwenye kesi ya Mbowe, iliyopo Mahakama Kuu, wakidai kuwa hao mawakili wa upande wa utetezi, eti hawakufuata utaratibu Katika kufungua maombi hayo! Imekuwa ni kawaida kwa hao mawakili wa serikali kufanya hiyo ninayoiita "delaying tactics"...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wezi, hatuna uhalali wa kuihoji Serikali

    kwakweli huu ndio ukweli mchungu, asilimia kubwa sisi ni wezi na kila mmoja huiba kwa nafasi yake, mimi nimefanya hata kazi kwenye mashirika ya kimataifa wenye vyeo vya juu kule ni watu wa kenya, uganda, zimbabwe na nchi zingine vyeo vya chini wamewapa watanzania wanaogopa kuwapa vyeo vya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia bure mifumo ya LUKU inayolipiwa leseni mabilioni ya tsh ni kuididimiza TANESCO kwani pesa yao unaingia Nzima inatoka nzima

    Sijaona kipengele kuwa katika makusanyo ya Kodi ya jengo kupitia luku watatoa commission kwa tanesco kwa ajili ya kufidia yafuatayo 1. Kusaidia kulipia leseni ya kuendesha mifumo ya LUKU ambayo ni mabilioni ya shilingi 2. Kufanya operation na maintance ya mita za luku kila Mwezi mi mamilioni...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
  8. OLS

    JamiiForums Tanzania Serikali inatoza VAT kubwa kuliko wanavyosema, nashauri kusiwe na VAT kwenye huduma

    Kodi ya Ongezeko la Thamani(VAT) ni kodi ambayo inatozwa kwenye ongezeko la thamani ya bidhaa katika kila hatua ya uzalishaji hadi kuuzwa. Hata Mamalaka ya Mapato Tanzania(TRA) wameweka maana inayofanana na hii. Kabla sijaenda kuipinga kwanza nielezee namna VAT ipo theoretically Mfano Mkulima...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kingu: Askofu Gwajima alidhamiria kuchonganisha Serikali na Wananchi

    Mbunge Elibariki Kingu amesema kwa mujibu wa Uchambuzi wake, Askofu Josephat Gwajima alidhamiria kuichonganisha Serikali na Wananchi ili watu wakose imani nayo. "Kitendo cha Gwajima kujitokea hadharani na kuwaambia Watanzania Chanjo mnayokwenda kuchanjwa haijafanyiwa Utafiti, adhabu zisiishie...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watanzania wote wenye sifa watapewa vitambulisho vya Taifa kufikia Disemba 31, 2021

    Leo naibu waziri wa mambo ya ndani, Khamis Hamza Chilo amesema Watanzania wote wenye sifa ya kupata vitambulisho vya Taifa wote watapewa vitambulisho vyao kufikia Disemba mwaka huu. Waziri Chilo ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma akijibu swali la mbunge wa viti maalum, Saada Mansoor (Kaskazini...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usije ukalaumu kuwa hukujua

    Rais Samia, anatakiwa kutambua kuwa nje ya Serikali (TISS), kuna supper intelligence ambayo TISS haipo. Huku nje ya Serikali, kuna wataalam wa uchumi ambao kwenye Wizara ya mipango na uchumi, hawapo. Huko nje ya Jeshi la Polisi, kuna watu wanajua nadharia ya usalama ambayo ndani ya Jeshi la...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naiomba serikali na ngos zianzishe program kwenye media zote kuwatia aibu wanawake wote waomba hela kwa wanaume hususani mizinga ya kutongozwa.

    Nimeshindwa kuvumilia hili ni janga la taifa wanawake wanaomba hela mnooooo mpaka inatia kinyaa kiukweli naanza kuwachukia mno wanawake hususan mabinti ambao Yani unamtongoza saa 12:00pm ukiambiwa ni saa 12:07 anakuwa hajala 12:15 anatakiwa asuke nywele saa 12:20 mtoto anatakiwa dawa nk . Hii...
  13. Molleli

    JamiiForums Tanzania Kwa Video Hii Nimeamini Kuwa Ukiwa Mtumishi Wa Serikali Uchawi Muhimu Aiseh!!!

    Zambia hii wajameni
  14. BAK

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

    Leo Jumatatu tarehe 30 Agosti, 2021 Kesi ya Kikatiba ya Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu. Walikuwepo wawakilishi wa Balozi za Marekani, Uingereza na Sweden Mahakamani. Kesho Jumanne 31 Agosti, 2021 Kesi ya Ugaidi. Naibu...
  15. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Serikali yamfutia Mashtaka ya Uhujumu uchumi Mhadhiri wa Chuo Kikuu

    Mkurugenzi wa Mashitaka ya jinai nchini l (DPP)amemfutia Mashtaka ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili Mahakamani mhadhiri wa Chuo kikuu cha SAUT tawi la Arusha, Subilaga Masebo na wenzake wanne. Akiwasilisha maombi ya kuondoa shtaka hilo, mwendesha mashtaka wa serikali Lusiana Shaban...
  16. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa serikali juu polisi. Wanachukiwa sana mtaani

    Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu. Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report...
  17. K

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro anahujumu serikali waziwazi

    1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo 2. Mbowe kushikwa 3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe. Kama Raisi usijivutevute...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Maeneo aliyoyatolea ufafanuzi Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa

    Mapema leo Jumamosi Agosti 28, 2021 Msemaji wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa- amezungumza na Waandishi wa habarih katika Ofisi za Habari-Maelezo Jijini Dodoma. Haya ndiyo aliyoyazungumza Ndugu Msigwa wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya Serikali. Haya ni sehemu ya maeneo...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali Yangu ijitathmini, tunapopoteza Marafiki Kama Denmark tukijidanganya ma Wachina tunashida

    Wa Denish ... Hawa ni moja ya Wazungu wastaarabu sana. Nmekaa kwao, nmefanya nao kazi katika Miradi yao Mbalimbali. Sikuwahi Baguliwa, Dharauliwa au Kubagazwa. Ingawa sisemi kuwa wanakosekana kabisa wabaguzi katikati yao. Ni binadamu. Sisi wenyewe waafrika tunabaguana. Nasikitika sana...
Back
Top Bottom