serikali

  1. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa kufeli kiuchumi Serikali ya awamu ya sita

    Salam kwa Jamhuri Kama raia wa kawaida mwenye mamlaka kamili kulinda na kuisimamia nchi yangu sitasita kuusema ukweli ninaoushuhudia na kuuchakata kichwani mwangu kisha kushauri inapobidi kutenda. Dhahiri shahiri Serikali hii ya awamu ya sita haikujiandaa kwa lolote kuwepo madarakani, hivyo si...
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo ambalo sisi wananchi tumeikosea Serikali yetu? Tuambiwe tujue

    Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu. Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku. Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Plastiki yaanza kuzagaa tena mitaani

    Wakati wa utawala wa awamu ya tano tulishapiga hatua kwenye ishu ya kudhibiti mifuko ya plastiki iliyokuwa inageuza nchi yetu kuwa kama jalala. Sasa hivi mifuko na vifungashio vya plastiki imerea tena nchini, uharibifu wa mazingira unaendelea kama kawaida. Mifuko inatupwa hovyo mitaani, na...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika Serikali iruhusu Ndoa za Mkataba, hizi zilizopo ni msalaba kwa kizazi hiki

    WAKATI UMEFIKA SERIKALI IRUHUSU NDOA ZA MKATABA, ZILIZOPO NI MSALABA KWA KIZAZI HIKI. Anaandika Robert Heriel Yule Shahidi, kutoka Nyota ya Tibeli. Hatuwezi kujidanganya tena, ndoa zilizopo ni mzigo na msalaba mzito Kwa kizazi hiki hasa Kwa watoto wakiume. Waliopo kwenye ndoa wengi wenu...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali itumie gesi ya kabonidayoksaidi iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme

    Najua serikali yangu ni sikivu. Leo nimekuja na bonge la ushauri. Naiomba serikali tutumie gesi ya kabon dayoksaidi (okay) iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme. Kwani tunayo gesi nyingi sana kule Tukuyu ambayo ni malighafi inayotumika Kuzalishia umeme. Tuchangamkie fursa hiyo.
  7. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kinana: CCM ni kubwa kuliko Serikali

    "Kasema CCM sio chombo cha serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka Serikalini, ila Serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa Serikali!" Huu...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni mapema sana kutenganisha misingi ya Chama na Serikali

    MAONI YANGU: Serikali iliyopo na Serikali zote zilizotangulia zimetokana na Chama nikimaanisha Chama Cha Mapinduzi na hapo awali TANU. Ukipitia kwa undani misingi iliyounda Serikali yetu imetoholewa kutoka katika misingi iliyounda Chama. Hivyo sio jambo rahisi au la siku moja au la tamko moja...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, ni Halmashauri zote huhitaji fedha kutoka Serikali Kuu? Kuzipatia fedha nyingi mabilioni kila mwaka ni kuzidekeza na kuzifumba akili

    Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta. Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi. Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali ilipaswa kutuambia imejipanga vipi na kudhibiti ongezeko la bei, si kusapoti kinachoendelea

    Kwema Wakuu! Kila mtu ni shahidi wa kinachoendelea katika upandaji wa bidhaa hapa nchini. Vitu vinapanda kila siku, hasa vitu vyeti kabisa kama Mafuta ya Kula, Michele, Sabuni, sukari miongoni mwa vitu vingine. Sikufurahishwa na Kauli ya Mhe. Rais, mama yetu Samia Kwa kusapoti na kukazia...
  11. Mr Water Tz

    JamiiForums Tanzania Ili kuweka tangazo katika gazeti la serikali natakiwa kufuata hatua gani?

    Naomba kuuliza, ni hatua gani napaswa kuzifuata ninapohitaji kutoa tangazo katika gazeti la serikali ?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli ndege Tausi ni nyara ya Serikali na mtu wa kawaida haruhusiwi kufuga?

    Eti wakuu hizi habari zina ukweli wowote?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yoyote inayokopa sana inaongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wake na mfumuko wa bei

    Leo napenda kuongelea madhara ya serikali kukopa sana ndani na nje ya nchi. Deni nikitu kizuri ila pia deni laweza kuwa chungu pindi unacho zalisha na kile unatakiwa kulipa vina zidiana. Unaweza chukua mfano wa mtu tu anapo kopa let say 100m na anatakiwa rudisha kila mwezi 3m ila anazalisha...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali haiwezi kujali watu wasiojijali

    Kwema Wakuu! Hakuna serikali yoyote Duniani au popote Katika Anga za mbali, au hata kuzimu yenye uwezo wa kujali watu wasiojijali. Watu wasiojijali dawa Yao ni mkong'oto. Kipondo, Hali ngumu, kuwaswaga na kuwakarangiza. Mimi sioni tatizo katika Jambo hilo Kwa kweli. Unaweza jitahidi kuwaonea...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawakuwa miongoni mwa Walinda Amani wa UN waliouawa katika helikopta nchini DRC? Serikali tutoeni hofu

    Kuna Ndege (Helicopter) ya MONUSCO (Askari wa Kulinda Amani huko Congo DR) Jana imedunguliwa ikiwa na Askari Nane ( 8 ) wa Kulinda Amani na Wote wamefariki dunia. Natambua kuwa Tanzania ina Askari wake wengi pia huko ambao 'batch' ya mwisho iliondoka Wiki Mbili au Tatu tu zilizopita baada ya...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Katiba na Sheria: Tuipe muda Katiba ya sasa

    Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Godfrey Pinda amesema Watanzania waipe muda Katiba iliyopo ili iangaliwe maeneo yanayokera ili kuimarishwa, kwa sababu haina tatizo lolote isipokuwa wanaoitafsiri hutoa maana tofauti. Pinda alitoa msimamo huo jana Machi 29, 2022 wakati akizindua magari mawili...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Serikali na Bunge hazikuona upungufu wa kuondoa Tozo ya Mafuta? Hakika Pengo la Tundu Lissu halijazibwa

    Jaribu kufikiria, Waziri wa fedha anapeleka mswada wa Tozo ya mafuta bungeni na bunge zima linapitisha. Baadae Waziri wa Nishati anatangaza kuziondoa Tozo hizo ili kuwapa wananchi unafuu wa bei lakini halihusishi bunge. Wabunge wote wanapata taarifa kwa sababu wote wana magari ya mkopo na...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

    Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ripoti binafsi: Machi 2022 ajali za barabarani zimeua watu 56, Serikali chukueni hatua

    Leo ni Machi 30, 2022, imesalia siku moja tu kabla ya mwezi huu kufikia tamati, kwa ufupi unaweza kusema huu ni mwezi wa ajali, hiyo ni kutokana na matukio mengi kutoka mikoa tofauti. Matukio mengi ya ajali yametokea na kusababisha vifo, ulemavu na wengine kujeruhiwa hasa yakihusisha magari na...
Back
Top Bottom