Wana JF Wakulima tunataka kuona bei ya mbolea inashuka nchini, pia tunataka kuona mikakati ya Serikali ya kushusha bei ya mbolea lakini maelezo aliyoyatoa Waziri Bashe hayaleti unafuu wowote kwa wakulima.
Tatizo la Bei ya mbolea kupanda haliwezi kumalizwa na ruzuku kwani ruzuku inayotolewa haifiki hata asilimia 20 ya mahitaji sasa unapotuamini wananchi huku ukijua haikidhi mahitaji una maana gani
Tatizo lako Waziri Bashe unataka kutulazimisha bei ambazo hazipo huku ukituambia sijui bei za soko la dunia ila hata kama leo unaamini unaficha ukweli iko siku utaumbuka vibaya na hivyo vingereza vyako vya Very Danger. Mara anasema bei alizotaja kwenye Bajeti kuna F.O.B rate na kuna C.I.F rate mbona kwenye hotuba yako hayo maneno ya C.I.F hayapo. Soma kiambatanisho kwa hotuba yake
Anayoyasema Mpina sisi ndio tunayaona tulioko huku kwenye kilimo bei zinapanda kila siku tulitegemea Waziri ungesikiliza mawazo ya wabunge badala ya kuwa mkali huku sisi tunaangamia, KUMBUKA CHEO NI DHAMANA
Mpina wakati anasema bungeni aliomba Spika wa Bunge aunde Tume kuchunguza makandokado yaliyomo kwenye kupanda kwa bei ya mbolea kiholela kwanini wewe unaogopa kuundwa kwa tume hiyo na wakati ulituambia kwa kutamba kabisa bungeni kuwa you are ready to bare any cost this is what i believe kuhusu mbolea na kwanini kila unapoulizwa swala la bei ya mbolea una panic sana au una maslahi gani binafsi kwenye suala hilo.