serikali

  1. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

    Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
  2. JamiiForums Tanzania Mashirika 14 yameitia hasara Serikali kiasi cha Tsh. Bilioni 183.6

    Mashirika 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha. Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere amesema utafiti huo ni katika...
  3. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuvuja TTCL, Serikali ifanye haya kwanza...

    Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza. Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa hizo basi serikali inunue hisa hizo Kwa niaba ya wananchi...kama ambavyo serikali ina hisa NMB, puma...
  4. JamiiForums Tanzania Anna Makinda: Kuna Mawaziri walikuwa wanapinga Serikali kuhamia Dodoma, bila Hayati Magufuli isingewezekana

    Spika wa bunge msitaafu Mh Anna Makinda ambaye pia amehudumu serikalini Kwa zaidi ya miaka 40, akiwa kwenye Misa ya kumbukizi ya hayati Magufuli ametoa sifa nyingi kuhusu Rais huyo wa awamu ya tano, na akatoa Siri kwamba Kuna viongozi wengi walikuwa hawataki serikali kuhamia Dodoma na walikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali oneni aibu kwenye suala la umeme uwanja wa Benjamin Mkapa

    Hivi umeme kukatika Benjamin Mkapa Stadium mbele ya halaiki ya dunia mnaona ni suala la kawaida? Embu oneni aibu bhana kama raia wa kawaida tunavyoona aibu. Mnakimbilia kuitangazia dunia ije kuwekeza Tanzania, ije kuitembelea Tanzania, wakati hatuwezi kufix vitu vya kawaida tu kama umeme...
  6. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itumie zaidi wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kufanya tafiti na kuchapisha maandiko kama tunataka kufika mbali katika tafiti

    Kama kweli serikali ina mpango wa kuhamasisha wanazuoni wa vyuo vikuu vya Tanzania kufanya tafiti na kuchapisha maandiko katika majarida makubwa ya kimataifa, napendekeza yafuatayo: 1. Serikali itenge fedha kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kila mwaka kama mataifa...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali isipuuze malalamiko ya Ugumu wa Maisha

    Ukweli ni kwamba hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu mno ! Wananchi wanalalamika lakini hakuna anayewasikiliza, bei ya vyakula inazidi kupaa. Ni lazima sasa serikali ifanye jambo ili kunusuru wananchi wake, huo ndio uwajibikaji, haiwezekani Wapagani nao Wafunge Ramadhan au Kwaresma halafu...
  8. JamiiForums Tanzania Wananchi hawezi kuishitaki Serikali yao kwa kosa hili?

    Inafamika kuwa Serikali inakusanya Kodi kutoka kwa wananchi, na inakopa kwa niaba ya wananchi wake, inafahamika pia kuwa serikali inapanga na kutekeleza mipango kwa kutumia fedha za wananchi. Je, wananchi hawezi kuishitaki serikali Yao kwa kupangiwa mipango mibaya iliyowatia hasara wananchi...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga adai waliovamia mashamba ya Kenyatta walitumwa na Serikali

    Kiongozi huyo wa Upinzani kutoka Azimio la Umoja One amelaani uvamizi huo uliofanywa makundi ya Wahalifu walioiba na kuchinja baadhi ya mifugo ikiwemo Mbuzi na Kondoo waliokuwa ndani ya Shamba hilo. Akizungumza na BBC, Odinga amesema uvamizi huo uliofanywa Machi 27, 2023 ikiwa ni siku ya pili...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Serikali yako ilishawahi kukwambia masharti nafuu kwenye mkopo ni yapi?

    Niliwahi kusikia mara moja tuu sijui ni kwenye awamu gani kwamba serikali imeshindwa kuchukua mkopo wa mabilioni kutokana na masharti yake kuwa magumu. Baada ya hapo sikuwahi kusikia tena hilo bali ni serikali kuendelea kupokea mabilioni ya MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU. Je, serikali yako imewahi...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yawalipia viingilio Maafisa Habari wa Serikali kushuhudia mechi ya Tanzania Vs Uganda

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Wizara ya Habari itawalipia Maafisa Habari wote viingilio vya kwenda kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Mkapa (Jumanne Machi 27. 2023). Waziri Mkuu amesema hayo wakati akihutubia katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari...
  12. JamiiForums Tanzania THRDC: Licha ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza Nchini, bado Serikali haijabadili baadhi ya Sheria kandamizi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRDC) umesema hali ya Uhuru wa Kujieleza nchini imebadilika na kuongezeka kwa Uhuru tofauti na miaka 6 ya utalawa wa Hayati Rais Magufuli. Lakini pamoja kuwepo kwa Uhuru huo bado Serikali haijazifanyia marekebisho Sheria zinazokinzana na Uhuru wa...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo Jumatatu Machi 27, 2023. Tulia Ackson anazungumza: Maafisa Habari wa Serikali lazima mjipe nafasi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali kupunguza mikopo ya nje kutokana na ongezeko la makusanyo ya ndani

    Serikali ya Tanzania inatarajia kupunguza kukopa mikopo ya madeni ya nje kwa asilimia 30.8. Kwa Mwaka 2023/24 Serikali inatarajia kupunguza kukopa mikopo ya madeni ya ndani kwa asilimia 23.5 Serikali inafanya hivyo kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya ndani kwa asilimia...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars vs Uganda Cranes: Serikali yakabidhi tiketi 20,000 kwa TFF kwa ajili ya Mashabiki kuingia uwanjani

    SERIKALI YAKABIDHI TIKETI ELFU 20 KWA TFF Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ndg. Saidi Yakubu amekabidhi tiketi Elfu 20 Kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)kwa ajili ya Mashabiki kuingia uwanjani kuishangilia Taifa Stars Machi 28, 2023 Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar...
  17. JamiiForums Tanzania Ikitokea umeshauri mtu avae Hijab nyekundu, huyo mtu akavaa, utajisikiaje? Kwa hili, Big Up Rais Samia na Serikali yako kwa kuwa wasikivu

    Wanabodi Jumapili ya leo, ni March 26, 2023, nimepata tena fursa ya kuja na makala nyingine ya kwa maslahi ya taifa. Mabandiko mengi humu JF ni mabandiko kuhusu habari na matukio "news and events", kuzungumzia watu na matukio, lakini ni mabandiko machache sana humu ni ya mawazo tuu na vitu vya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Serikali ya Rais Samia ilivyoshindwa kuwatumikia Watanzania maandamano kama ya Kenya yalipaswa kuitishwa mara moja

    Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu. Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende. Watanzania wanatakiwa kujua...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali Imetangaza Tenda ya Ujenzi wa Reli ya Kuunganisha Tanzania na Burundi

    Serikali Kupitia Wizara ya ujenzi imetangaza tenda ya ujenzi wa Kipande cha reli Kati ya Uvinza-Musongati-Gitega ambayo inaunganisha Nchi za Tanzania na Burundi. Kipande Cha mwisho Cha Sgr ya kati kilichosalia ni Kaliua-Mpanda-Karema Port. Hongera sana Awamu ya 6 kazi inapigwa kweli kweli...
  20. JamiiForums Tanzania Nimepata ajira ambayo PAYE yake ni zaidi ya mshahara wa serikali nilioenda kufanyia interview Dodoma

    Mwaka jana mwezi September nilienda usahili pale utumishi Dodoma na niliweka mrejesho hapa. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya Kimsingi mimi kama expert (niko internationally certified) sikupenda aina ile ya interview kuulizwa masuala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…