serikali

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 imechangia kuongeza Trilioni 7.2 kwenye mfuko mkuu wa serikali kwa miaka 6

    Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo. Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye...
  2. S

    JamiiForums Tanzania DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

    Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa Wilaya Mstaafu amesema nanukuu "Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi...
  3. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

    Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo. Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania CAG, utaainisha hasara inayotokana na siku ya leo 17 Machi kwa Serikali na Taasisi zake!

    Ilitakiwa angalau masaa kadhaa kuwa muda maalumu ya kukumbuka kifo cha JPM Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini! Wamefanya mgomo wa chini chini! Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge...
  5. Wakili wa shetani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya hulipa mshahara tarehe ngapi?

    Wakuu. Kuna biashara nataka kuitangaza Kenya. Kama mjuavyo, biashara huchangamka watu wanapopata mshahara, hasa serikali inapotoa mshahara. Naomba kujua Kenya wanapokea mshahara tarehe ngapi? Nimegoogle nimeambulia patupu. MK254 Natanguliza shukrani.
  6. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Serikali ingilieni kati, huu mfumo wa elimu utasababisha watoto waanze kuichukia shule

    Nimerudi nyumbani kutoka mahali ninapofanyia shughuli zangu, nimekutana na kitu kinanipa mawazo sana. Mwanangu wa kwanza (4yrs old) alikuwa anapenda shule sana, mwaka jana alikuwa anasoma shule si mbali sana na hapa, walikuwa wanatoka saa 6 mchana, sasa mwaka huu nikaona nimtafutie nursery bora...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu hasa huyo mtu akiwa kibopa wa Serikali, najuta

    Mke wa mtu ni sumu, tena ile sumu inayoua pole pole mwilini. Ama hakika najuta sana, nikiendelea kutongoza mke wa mtu au kuishi na mke wa mtu mniite mbwa nimekaa pale. Wakuu ama kweli yalionikuta jana siwezi kuyasahau maisha yangu yote hivi inakuaje manjemba watatu wote wanakuja guest na mafuta...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali kushusha bei ya gesi kama uzalishaji umeme utakuwa mkubwa

    Serikali imesema iwapo mipango ya kuongeza uzalishaji umeme itakwenda kama inavyokusudiwa itasaidia kupunguza gharama za matumizi ya gesi kwa wananchi wa kipato cha kati na chini. Hayo yameelezwa leo Machi 15 na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda, Exaud Kigahe kwa niaba ya Waziri wa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Madereva kufariki kwa kusafirisha Kemikali za Sumu

    OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali na wasafirishaji wa kemikali wamesema hakuna dereva anayepoteza maisha kwa kuathiriwa na kemikali kutokana na uhifadhi usiofaa wakati wakusafirisha. Ufafanuzi huo umetolewa Mara baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii iliyorekodiwa na raia wa nchi...
  10. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali unganisheni BRELA, TIC, EPZA, TANTRADE kwa maendeleo ya Taifa

    Salaam Dunia inapambana kutatua vikwazo vya biashara,uwekezaji na mitaji..Hapa kwetu kumekuwa na jitihada nyingi Za kukuza uchumi kupitia mikakati mbalimbali ya kuwezesha wafanya biashara na wenye viwanda sambamba na kuvutia uwekezaji. Tatizo Kwa maoni yangu ni wingi wa taasisi zinazofanya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ielekeze jicho kali Wizara ya Ujenzi, TANROAD na TARURA

    Kutokana na miradi ya ujenzi ya barabara na madaraja kuwa na viwango vya chini sana vya ubora, Serikali ielekeze jicho kali Wizara ya Ujenzi, TANROAD na TARURA. Miradi hiyo inajengwa chini ya viwango kutokana na wale walioaminiwa na serikali (wakaguzi wa miradi hiyo) kula njama kwa kupewa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wadau wa JamiiForums juu ya kusitishwa kwa Bima ya TOTO AFYA KADI

    Mnamo Machi 13, 2023 NHIF ilitoa taarifa rasmi kutangaza kusitisha Huduma ya Toto Afya Kadi ili kupisha Maboresho ya huduma hiyo na kuwataka Wazazi kusajili Watoto kama Wategemezi kupitia Vifurushi vingine vya Bima ya Afya au Shule wanazosoma, soma: NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "Toto Afya...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie wakazi wa Kigogo, fedha wanazotaka kutulipa kupisha mradi haziendani na nyumba zetu

    Habari, poleni na majukumu ya kazi wana JF na ahsanteni kwa habari nzuri na kutupasha Watanzania na wasio Watanzania. Nimekuja kwenu tunaomba mtupazie sauti sisi ni wakazi wa Kigogo Mbuyuni, Dar es Salaam, toka upande wa Bonde la Msimbazi. Huku kwetu kuna Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kusema tu kuna watu waliiba pesa za plea bargaining na kuzificha China haitoshi. Serikali ina mkono mrefu. Iwakamate wahusika na kuzirejesha nchini

    Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye alishafariki. Tukaanza kusoma kwenye magazeti kuwa alificha pesa nyiki huko Uingereza. Na baadae tuliskia...
  15. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie namna ya kuwasaidia vijana moja kwa moja. Athari za baadaye ni kubwa zaidi

    Hali ya maisha imewachanganya vijana wengi, mazingira na hali sio rafiki kwa biashara, Ajira na zenyewe hakuna. Vijana wamesoma na sasa wameishia mitaani, nguvu ya wazazi nayo imeishia hapo, serikali nayo imeishia hapo, kwanini kijana asichanganyikiwe. Ongezeko la watoto wa mtaani nao ni zao...
  16. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania HOJA: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya

    Hoja: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya. Katika Katiba Mpya, Nafikiri kuna umuhimu kufanya mageuzi ya muundo wa utawala na uongozi wa kisiasa nchini. Mbunge wa kuchaguliwa, awe ni Mkuu wa serikali katika Wilaya, aongoze kuanzia baraza la Usalama Wilaya, (Kamati ya ulinzi na Usalama)...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia mashahidi 26, vielelezo 86 kesi ya Kisena Wakurugenzi wa UDART

    Upamde wa mashtaka unatarajia kuita mashahidi 26 na vielelezo 82 katika kesi inayowakabili wakurugenzi watatu wa Kampuni ya Huduma za Usafirishaji wa Mabasi yaendayo Haraka (UDART) akiwemo Robert Kisena. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka 25 yakiwemo ya wizi, kutakatisha fedha na...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakusanya Tsh. Trilioni 13.6 Julai hadi Januari 2023

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya jumla ya Sh13.601 trilioni ya mapato ya kodi na yasiyo ya kodi katika kipindi cha Julai 2022 hadi Januari 2023, sawa na asilimia 98.8 ya lengo la kukusanya Sh13.763 trilioni. Hayo yamebainishwa kwenye taarifa ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya mwaka...
  19. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye jambo soka la Mbeya

    Kwa ajili ya maendeleo ya soka la nchi hii na kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za kukuza soka la nchi hii Nashawishika kuamini kwamba serikali haitimizi wajibu wake Kwa soka la Mbeya. Pamoja na ishara zote kuonesha kwamba Mkoa wa Mbeya ndio mkoa namba moja kwa kuwa na wapenzi wengi wa soka...
  20. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Malezi: Salamu kwa Serikali na Mashirika Binafsi

    Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana, lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu walitokea familia za aina gani? Utagundua familia hizo ni za walevi au baba...
Back
Top Bottom