Hivi kuna raia au kiongozi wa Serikali mweusi(asili ya Afrika) nchi za Urusi na China..?

Mbuzi mee

Senior Member
Dec 29, 2022
126
161
Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi..

Huwa wanaishia wapi?

Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi?

Yasije tokea Yale ya kushangalia mwanzo na baadae kuja kujutia..

Tunayo mifano hai KATIKA vipndi fulani mfano wananchi wa Iraq kwa Rais wao ,wa Libya kwa Rais wao na wa Tz kwa rais(baada ya Dua zao kupokelewa na kilio ndio kikazidi)
 
Wapo na wengine walikuwa ni viongozi tatizo kubwa ni ubaguzi.
IMG_20230404_134825.jpg

Mfano huyu hapa chini alikuwa
Diwani nchini urusi anaitwa Jean Gregoire Sagbo, huyu jamaa ndiye alikuwa mtu wa kwanza mweusi kuchaguliwa kwenye afisi ya umma katika historia ya Urusi.
 
Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi..

huwa wanaishia wapi?

Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi?

yasije tokea Yale ya kushangalia mwanzo na baadae kuja kujutia..

tunayo mifano hai KATIKA vipnd flan mfano wananchi WA Iraq Kwa rais wao ,WA Libya Kwa rais wao na WA Tz Kwa rais(baada ya Dua zao kupokelewa na kilio ndio kikazidi)
Hiki kifungu cha mwisho, kinahusiana vipi na uwepo wa watu weusi katika hizi nchi?
 
Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi..

huwa wanaishia wapi?

Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi?

yasije tokea Yale ya kushangalia mwanzo na baadae kuja kujutia..

tunayo mifano hai KATIKA vipnd flan mfano wananchi WA Iraq Kwa rais wao ,WA Libya Kwa rais wao na WA Tz Kwa rais(baada ya Dua zao kupokelewa na kilio ndio kikazidi)
Urusi na China hawataki nuksi
 
Mbona Saud Arabia hujataja?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom