MBUNGE KUNTI MAJALA - NINI KAULI YA SERIKALI KUHUSU MAKATO YA TOZO NA MTANDAO KUTOKUFANYA KAZI VIZURI
Mhe. Kunti Majala Mbunge wa Viti Maalum amemuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Mei 12, 2023 Bungeni Dodoma kwenda kwa Waganga wa Wilaya na Mikoa Nchini kote akiwataka kusimamia utoaji wa Dawa hizo kwa Watoto wenye chini ya miaka 5.
Waziri Ummy amesema Dawa hizo zikiwemo Kidonge Myeyuko cha 'Amoxicillin', Zinc na...
Kuna Zahanati ya Serikali ipo Kibaha Kongowe inaitwa Zahanati ya Kongowe ipo karibu na Shule ya Msingi Kongowe, mama mjamzito akienda kuanza kliniki anaombwa Shilingi 20,000 kwa lazima, kiasi ambacho hakipo kwenye mahesabu yoyote ya huduma.
Ikitokea aliyeombwa hana au amekataa kutoa...
Wale ambao hamukerwi na kelele endelei kunyamaza hivyohivyo!
Juzi niliwashauri NEMC kupitia Uzi
https://www.jamiiforums.com/threads/hongereni-sana-nemc-kwa-kuanza-udhibiti-kelele-kwenye-bar-lakini-fanyeni-haya-kuboresha-zoezi.2094376/
Kwamba; Walipaswa kuenenda kwa umakini sana kwenye zoezi...
Taarifa ya CAG ilionekana kukera viongozi wa juu wa serikali na nilijuwa kuwa hatua kali kwa wabadhilifu hadi sasa wangekuwa hawapo maofisini kumbe kilikuwa kiini macho cha kuonesha chukizo mbele ya umma huku vitendo hamna katika uwajibikaji.
Nachofikri ni kwamba kama mama ataongoza serikali...
Serikali imefikia uamuzi wa kutekeleza mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) unaolenga kuongeza ushiriki wa vijana katika kilimo kwa kuwapatia mafunzo, maeneo ya mashamba, mitaji na kuwaunganisha na fursa za masoko.
Ambapo utekelezaji wa mradi huo ni matokeo ya maagizo na maelekezo ya Mhe...
VIDEO: Kutoka Bungeni jijini Dodoma, Swali la Mbunge wa Kisesa Mhe. Mpina lajibiwa na Serikali Ambapo Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amethibitisha kuwa hakuna fedha ya Serikali iliyopotea.
Ndugu zangu Watanzania,
Mitaa ina furaha, Raha, Amani, Tabasamu na matumaini makubwa sana. Hii ni Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya kilimo ya Takribani billioni Mia Tisa na sabini iliyoleta Nuru na Mwanga kwa wakulima,Sasa Taifa ni Nuru tupu na mwanga kila eneo.
Ikumbukwe ya kuwa...
Sote tunajua kuwa tatizo la ajira ni kubwa nchini na sekta binafsi (rasmi na zisizo rasmi) zimeajiri watu wengi hasa vijana kuliko serikali kwa ujumla.
Ghafla tu wanazifunga, hata kuwakumbusha, kuwapa maelekezo au kutoa onyo. Kwani tunamkomoa nani? Serikali inakomoa Raia wake?
Kutojua sheria...
Hapa ni Dimba la kisiba Rungwe. Tungekuwa na serikali yenye maono ungejengwa uwanja mzuri sana hapo na hoteli kubwa sana hapo. Tungepata fedha mingi sana. Mpaka sasa hatuna uwanja unaoweza kupiga mpira usiku miaka yote ya uhuru tuliyo nayo.
Karibuni Greencity
JUZI, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amesema serikali Ina mpango wa kutengeneza ajira milioni nane kwa vijana ifikapo mwaka 2025, kutatua changamoto ya ajira.
Kauli hiyo aliitoa bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe, Felix Kavejuru aliyetaka kujua mkakati wa...
Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Barabara ya Goba - Mpakani, Dar Es Salaam ni mbovu na inawagharimu watumiaji hasa wakati wa Mvua, Serikali imechukua hatua ya kuanza maboresho.
Mdau alidai kuwa barabara hiyo haichongwi mara kwa mara na ina madimbwi mengi hivyo hata...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda
Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
elimu
elimu ya awali
elimu ya msingi
kamati
katiba
katiba mpya
kitaifa
kubadilisha
maboresho
maoni
mfumo
mitaala
mitaala ya elimu
mpya
msingi
rasimu
rasimu ya elimu
ripoti
sekondari
sera ya elimu
serikali
ualimu
walimu
Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo yao huko. Ikiwa wao wanafuata huko na kuja kutuuzia tuliko, nilijua, kwa vyo vyote, bei ingekuwa ni...
SERIKALI IMETOA UFAFANUZI KUHUSU UNUNUZI WA TANGA CEMENT UNAOFANYWA NA TWIGA CEMENT
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement, kuwa umefuata taratibu za kisheria na kwamba kampuni inayopinga ununuzi huo ya Chalinze Cement imeshafutiwa usajili...
Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu
BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI
Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi.
Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu. Watanzania wamegeuzwa wajinga,wanabebeshwa mabango kwenye mechi za Yanga na Simba eti anaupiga mwingi...
Habari!
Itungwe sheria ya dharura itakayofanya kazi kwa kipindi kifupi (yaani sheria ya mpito).
Kila mtumishi wa umma mwenye umri wa miaka 50 na kuendelea astaafishwe kwa lazima na nafasi yake aajiriwe mtumishi mpya kijana wa miaka 18- 45.
Ajira hizi za kuziba mapengo zisihesabiwe na...
Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33) umeileza mahakama kuwa bado haujapata barua ya mshtakiwa huyo kuomba kufanya majadiliano na makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kukiri mashtaka yanayomkabili.
Gesaya...