Je, Mkurugenzi Baraza la Mazingira (NEMC) anaihujumu serikali?

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,193
6,382
Sote tunajua kuwa tatizo la ajira ni kubwa nchini na sekta binafsi (rasmi na zisizo rasmi) zimeajiri watu wengi hasa vijana kuliko serikali kwa ujumla.

Ghafla tu wanazifunga, hata kuwakumbusha, kuwapa maelekezo au kutoa onyo. Kwani tunamkomoa nani? Serikali inakomoa Raia wake?

Kutojua sheria sio kigezo cha kuvunja sheri ila kwanini isitumike busara kuliko kufungia biashara na kuathiri ajira za vijana wengi, hapo kuna wahudumu, kuna bodaboda, kuna wafanya usafi, kuna walinzi n.k

Maisha yenyewe ni magumu tayari kwa vijana wengi na mnazidi kuyafanya ya we mugumu zaidi kwa makusudi. Halafu hao hao mtataka 2025 wawape ridhaa, wakati mnazidi kuwaumiza hata pale wanapojitahidi kujikwamua kupitia sekta zisizo rasmi.

Serikali inatakiwa kushawishi ukuaji wa sekta binafsi huku ukizikumbusha kufuata sheria ma taratibu za nchi ili kutoa fursa za ajira watanzania wengi.

Au labda kuna tusiyoyajua ya siri yaliyojificha chini ya maamuzi haya.

Tofauti na hapo hizo ni kukomoana kuhujumu serikali kwa kutengeneza taharuki kwa kundi kubwa la vijana waliokuwa wakitegemea hizo sekta zisizo rasmi kwa ajili ya kipato chao cha kila siku na pia kutengeneza mazingira ya rushwa ili wamiliki waweze kuendelea na huduma.

Na chondechonde RC wa DSM na Mkurugenzi baraza la NEMC, mlitoa kauli kuwa na nyumba za ibada nazo zinapiga kelele na kudai malalamiko ya watu yamekuwa makubwa, hilo ni suala nyeti mno BUSARA ni kitu kikubwa katika kukabiliana na matatizo yanayohusu sehemu kubwa ya jamii, kitu ambacho baraza la NEMC limeonekana kutokuwa nacho kwa makusudi.

Hivi huwa mnakaa na kujadili athari za maamuzi yenu kwa jamii? Hamjali taharuki mnayoweza kuzua kwa maamuzi ya kukurupuka?
 
nyumba za ibada nazo zinapiga kelele na kudai malalamiko ya watu yamekuwa makubwa
Hii Bora wazuie aisee kuna sehemu huku jamàa wanapiga kelele kishenzi, sasa wafungiwe kwenye sound proof tu hakuna namna na Makanisa yote ya walokole yafungwe sound proof
 
Kinachotakiwa wawaelimishe , kuonya na kuwapa muda sio kufungiwa ghafla. Lengo mazingira yawe salama kwa watu kuishi na kuendelesha na shughuli zao na sio kukomoana
 
Sote tunajua kuwa tatizo la ajira ni kubwa nchini na sekta binafsi (rasmi na zisizo rasmi) zimeajiri watu wengi hasa vijana kuliko serikali kwa ujumla.

Ghafla tu wanazifunga, hata kuwakumbusha, kuwapa maelekezo au kutoa onyo. Kwani tunamkomoa nani? Serikali inakomoa Raia wake?

Kutojua sheria sio kigezo cha kuvunja sheri ila kwanini isitumike busara kuliko kufungia biashara na kuathiri ajira za vijana wengi, hapo kuna wahudumu, kuna bodaboda, kuna wafanya usafi, kuna walinzi n.k

Maisha yenyewe ni magumu tayari kwa vijana wengi na mnazidi kuyafanya ya we mugumu zaidi kwa makusudi. Halafu hao hao mtataka 2025 wawape ridhaa, wakati mnazidi kuwaumiza hata pale wanapojitahidi kujikwamua kupitia sekta zisizo rasmi.

Serikali inatakiwa kushawishi ukuaji wa sekta binafsi huku ukizikumbusha kufuata sheria ma taratibu za nchi ili kutoa fursa za ajira watanzania wengi.

Au labda kuna tusiyoyajua ya siri yaliyojificha chini ya maamuzi haya.

Tofauti na hapo hizo ni kukomoana kuhujumu serikali kwa kutengeneza taharuki kwa kundi kubwa la vijana waliokuwa wakitegemea hizo sekta zisizo rasmi kwa ajili ya kipato chao cha kila siku na pia kutengeneza mazingira ya rushwa ili wamiliki waweze kuendelea na huduma.

Na chondechonde RC wa DSM na Mkurugenzi baraza la NEMC, mlitoa kauli kuwa na nyumba za ibada nazo zinapiga kelele na kudai malalamiko ya watu yamekuwa makubwa, hilo ni suala nyeti mno BUSARA ni kitu kikubwa katika kukabiliana na matatizo yanayohusu sehemu kubwa ya jamii, kitu ambacho baraza la NEMC limeonekana kutokuwa nacho kwa makusudi.

Hivi huwa mnakaa na kujadili athari za maamuzi yenu kwa jamii? Hamjali taharuki mnayoweza kuzua kwa maamuzi ya kukurupuka?
Hivi huwa mnakaa na kujadili athari za maamuzi yenu kwa jamii? Hamjali taharuki mnayoweza kuzua kwa maamuzi ya kukurupuka?

Kuna dubwana liko pale sehemu...kwanza lilileta hoja ya miamala wananchi tukaumia...tena limechochea habari ya makelele na limesikilizwa
 
hakika maauzi wanayochukua huwa hawafikirii athari zake.
 
Hivi huwa mnakaa na kujadili athari za maamuzi yenu kwa jamii? Hamjali taharuki mnayoweza kuzua kwa maamuzi ya kukurupuka?

Kuna dubwana liko pale sehemu...kwanza lilileta hoja ya miamala wananchi tukaumia...tena limechochea habari ya makelele na limesikilizwa
Bila shaka ni Zungu huyo jamaa sijui kama ni mtanzania namuonaga mwenye majigambo ana roho mbaya tu
 
fuata sheria
Sote tunajua kuwa tatizo la ajira ni kubwa nchini na sekta binafsi (rasmi na zisizo rasmi) zimeajiri watu wengi hasa vijana kuliko serikali kwa ujumla.

Ghafla tu wanazifunga, hata kuwakumbusha, kuwapa maelekezo au kutoa onyo. Kwani tunamkomoa nani? Serikali inakomoa Raia wake?

Kutojua sheria sio kigezo cha kuvunja sheri ila kwanini isitumike busara kuliko kufungia biashara na kuathiri ajira za vijana wengi, hapo kuna wahudumu, kuna bodaboda, kuna wafanya usafi, kuna walinzi n.k

Maisha yenyewe ni magumu tayari kwa vijana wengi na mnazidi kuyafanya ya we mugumu zaidi kwa makusudi. Halafu hao hao mtataka 2025 wawape ridhaa, wakati mnazidi kuwaumiza hata pale wanapojitahidi kujikwamua kupitia sekta zisizo rasmi.

Serikali inatakiwa kushawishi ukuaji wa sekta binafsi huku ukizikumbusha kufuata sheria ma taratibu za nchi ili kutoa fursa za ajira watanzania wengi.

Au labda kuna tusiyoyajua ya siri yaliyojificha chini ya maamuzi haya.

Tofauti na hapo hizo ni kukomoana kuhujumu serikali kwa kutengeneza taharuki kwa kundi kubwa la vijana waliokuwa wakitegemea hizo sekta zisizo rasmi kwa ajili ya kipato chao cha kila siku na pia kutengeneza mazingira ya rushwa ili wamiliki waweze kuendelea na huduma.

Na chondechonde RC wa DSM na Mkurugenzi baraza la NEMC, mlitoa kauli kuwa na nyumba za ibada nazo zinapiga kelele na kudai malalamiko ya watu yamekuwa makubwa, hilo ni suala nyeti mno BUSARA ni kitu kikubwa katika kukabiliana na matatizo yanayohusu sehemu kubwa ya jamii, kitu ambacho baraza la NEMC limeonekana kutokuwa nacho kwa makusudi.

Hivi huwa mnakaa na kujadili athari za maamuzi yenu kwa jamii? Hamjali taharuki mnayoweza kuzua kwa maamuzi ya kukurupuka?
fuata sheria bila shuruti badala ya kuja kulalamika huku. huoni hata aibu eti ajira. kwanza mnavyowadhulumu na kuwanyanyasa usingegusia suala la ajira. Kingine haki yako inapoishia ndiinakoanzia ya kwako, acha ubinafsi mmewadhuru watu wangapi na mikelele yenu. weka sound proof usisumbue majirani.
 
Kinachotakiwa wawaelimishe , kuonya na kuwapa muda sio kufungiwa ghafla. Lengo mazingira yawe salama kwa watu kuishi na kuendelesha na shughuli zao na sio kukomoana
umeambiwa wameonywa mara nyingi, ulitaka waonywe kwa njia ipi. We unawafahamu waTZ? vichwa vigumu, ustaarabu mdogo, wajuaji, walalamishi. watii sheria.
 
20 x 89 = 1,780

Zaidi ya watu 1,789 hawana ajira.

Huyo jamaa ni Kabila gani?
kwa hiyo unataka kutuambia hata shughuli isyo halali iruhusiwe kisa ajira? Mkatii sheria, kazi ni shughuli halali siyo kila shughuli ni kazi. Mtafika sehemu kutuambia hata uwizi ni kazi
 
Mbona hata sisi wa nje tumeelewa kuwa walionywa sana ila hawakusikia?
Au tunasoma makala tofauti na yenu?

Kama walionywa wakapuuza dawa yao ni kufungiwa na sidhani kama kuna uhujumu hapo

Halafu kwanini mnapenda makelele hamna wazee na wagonjwa nyie basi baba zenu wakiwa wanaumwa wawekeeni maspika ya sauti kubwa wapone haha
 
Mm naona Hawa wanaowatetea wapiga kelele wanaishi mbande msongola huko ambako nyumba baada ya nyumba ni mita 200 na hakuna mabaa
 
Back
Top Bottom