serikali

  1. JamiiForums Tanzania Baada ya Kuvutiwa na Uteuzi wa Mwanza, najiandaa Kufungua huko Kiwanda Kikubwa cha Vibiriti

    Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
  2. JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo ni fedheha kwa Serikali

    Hii aibu ya huu mgomo ni kubwa sana na inafikirisha sana, je, hayo madeni ya Kodi ni bambikizi, ni penalty, na fitina ni nini hasa? DG wa TRA yupo, Waziri wa Fedha yupo, Waziri wa Biashara yupo, kwanini haya madeni? Yapi halali na yapi haramu? Je, hii italeta mazoea ya kukwepa Kodi au mazoea ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

    Sitaandika sana, Huwezi amini maneno haya yalitoka kwenye kinywa cha mwanadamu, tena mbele ya camera! Leo hii nimemwona jamaa huyo huyo analia mbele ya camera baada ya mwili wa mpendwa kuwasili. Najua somo amelipata siku nyingine atajifunza cha kuongea. Dunia mapito jama.
  4. D

    JamiiForums Tanzania TRA wapo sahihi kabisa kupuuza maagizo hewa ya wanasiasa! Serikali inafanya kazi kwa maandishi

    Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu! Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu! Wahenga waliwahi kusema "government work on paper " Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa msimamo kuhusu Uraia Pacha

    Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa msimamo wake kuhusu masuala ya uraia pacha nchini baada ya hivi karibuni kuwa na mijadala mbalimbali ya uraia pacha. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Agnesta Kaiza leo Bungeni Jijini Dodoma, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe "Maafisa Kodi wa Kata" na TRA ianzishe "mawakala" wa TRA

    Huu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini. Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k.. Ushauri wangu Kwa serikali lazima...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali Kupunguza Gharama za Kusafisha Figo Kutoka 350,000 hadi Kati ya 90,000-150,000

    Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye vipato vya chini. Taarifa hizo zimetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Wizara ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kufungwa kwa biashara Kariakoo, ni aibu kwa Serikali

    Sina kumbukumbu sahihi kuwa ni lini wafanyabiashara wa Kariakoo wamewahi kugoma kwasasabu yoyote. Kariakoo ndiyo Dubai ya nchi yetu, ina wafanyabiashara wa kila aina, wakiwemo wenye mitaji mikubwa, ya kati na midogo. Kikubwa zaidi wanajitambua, naamini hawawezi tu wakakurupuka kugoma bila...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mikataba ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83

    Serikali kupitia TANROADS imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83 kwa kiwango cha lami (mradi unatekelezwa Wilaya ya Mkalama) na mkataba wa ujenzi wa barabara ya Makongolosi – Rungwa – Itigi – Mkiwa sehemu ya Noranga – Doroto...
  10. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Upigaji mkubwa fedha za Serikali RC Songwe akataa matumizi ya mil 411 ujenzi wa soko la wamachinga

    UPIGAJI MKUBWA FEDHA za SERIKALI RC SONGWE AKATAA MATUMIZI ya MIL 411 UJENZI wa SOKO la WAMACHINGA Nadhani ifike wakati Watanzania kwa pamoja kuamka na kuanza kupinga vitu kama hivi, ikiwezekana kwa maandamano. Kuonyesha hisia kwa pamoja kwa walio madarakani kuwa kodi zetu tunazochanga sio pesa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania na magonjwa ya changamoto

    Kinafahamika kipaumbele cha Serikali ya Tanzania kilipo. Hivyo ni Kodi, tozo na kulamba asali. Kwamba yatokee magonjwa yenye kuuwa watu? Hapo tegemea neno changamoto tokea za kupumua hadi za kutoka damu mwilini. Uganda wamekwisha longa, Ummy anasubiri hadi Marburg iishe? Au anasubiri hadi...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mliopo Karimjee, yatafakarini matendo katika kuwatumikia wananchi mkiendelea kumuaga Bernard Membe

    Ninafuatilia kwenye runinga tukio la kuuaga mwili wa aliyekuwa mtumishi wa serikali na mwanadiplomasia mbobezi ndg Bernard Membe. Ninawiwa kuwaasa viongozi wetu wa serikali, bunge na mahakama mliopewa dhamana ya kulitumikia taifa letu, kulitazama jeneza la aliyekuwa kiongozi kama ninyi mlivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kufanya Tathmini ya Maeneo Yaliyopata Athari za Mafuriko

    SERIKALI KUENDELEA KUFANYA TATHMINI YA KINA KATIKA MAENEO YALIYOPATA ATHARI ZA MAFURIKO Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali bungeni amesema Serikali kuendelea kufanya tathmini katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko. Serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Uvinza, Kigoma: Barabara ya kwenda Kituo cha Afya Kalya hali ni mbaya, Serikali iangalie jinsi ya kusaidia Wananchi

    Ujumbe huu kutoka kwa Daktari anayefanya kazi shughuli zake Mkoani Kigoma. UJUMBE HUU HAPA: Mi naitwa Dkt. Amos Matajiri nafanya kazi Kituo cha Afya Buhingu kilichopo Mkoani Kigoma, hayo ndio mazingira yanavyokuwa kipindi cha mvua. Nilifanikiwa kurekodi hiyo video nikiwa naenda Kituo cha Afya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Serikali Kugharamia Mashabiki 55 Kwenda Kutoa Hamasa Africa Kusini

    Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika juhudi za hamasa kuendelea kuunga mkono michezo nchini hususani katika mashindano ya kimataifa, imeamua kugharamia jumla ya mashabiki 55 watakaosafiri kuelekea nchini Afrika Kusini, kwenda kuishangilia klabu ya Yanga katika mchezo wa...
  16. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "WICLIFFE MOENGA" kijana, aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kunilipa mshahara

    "WICLIFFE MOENGA" kijana,aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kujilipa mshahara kwa muda wa mwaka mmoja bila serikali kujua. Aliongeza Jimbo nchini kenya na kuwa MBUNGE, na kuendelea kupokea Mshahara pasipo kujulikana. Elimu,imemkomboa japokuwa yupo mikono salama kwa Sasa.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie jicho mkoa wa Arusha, kuna tatizo kubwa!!!

    Kwanza vuta picha ya tukio lenyewe kisha sikilizeni hawa vijana, wote hao; wanaoongea na mwandishi na hao wengine wanaoreact! Mkishamaliza poromosheni matusi kama kawaida yenu, nimekaa paleeeeee nayasubiri!
  18. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Elimu sijaona Serikali ilichokusudia kubadilisha

    Lugha ya kufundishia inabidi kuwa kingereza lakini mmeamua kupiga siasa. Wanafunzi kufundishwa masomo kuhusu wazungu jinsi walivyowatesa it's none sense. Futeni masomo ya History wanafunzi wasome history ya Tanzania na Dunia kwa Mambo ya msingi na sio kumwambia Mtoto eti katokana nyani. So...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya vikosi vya jeshi

    SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIKOSI VYA JESHI: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa (Mb) amesema Wizara inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi na kuboresha miundombinu mbalimbali kwenye vikosi vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Wazanzibari hawapendelewi kwenye serikali ya Muungano; wanahaki kwani ni wabia sawia

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…