serikali

  1. Elly official

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara. Jambo hili limenisikitisha sana...
  2. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kingu: Serikali irudisheni SONGAS

    Mbunge wa Singida Kusini Elibariki Kingu ameitaka Serikali iipe mkataba mnono tena kampuni ya Songas ili iendelee kuiuzia Serikali umeme Ameyasema leo bungeni Dodoma
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu Ameishauri Serikali Kuiongezea Mkataba wa Kampuni ya Kuzalisha Umeme ya SONGAS

    MBUNGE ELIBARIKI KINGU AMEISHAURI SERIKALI KUONGEZA MKATABA WA SONGAS "Na kule wanakopita watu wa CHADEMA wanapiga propaganda kwamba Rais Samia Suluhu Hassan anaweka mabango, nataka nikuambie ukiona mtu anapiga kelele jua umembana vizuri, Mama amewashika kwelikweli kupitia Wizara yako January...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mhe. Abubakar Asenga aomba Serikali kumuondolea laana ya Askofu

    MBUNGE ABUBAKAR ASENGA AMEIOMBA SERIKALI KUONDOA MGOGORO WA ARDHI KILOMBERO Mbunge wa Jimbo la Kilombero (CCM), Mhe. Abubakar Asenga ameiomba Serikali ikamsaidie kupima ardhi ya wananchi ili akwepe laana ya Askofu. Mhe. Abubakar Asenga ametoa kauli hiyo Alhamisi Mei 25,2023 wakati akichangia...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, Uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai

    SERIKALI KUJENGA VITUO VYA AFYA KATA YA KIA, MUUNGANO, MNADANI, UROKI NA WERUWERU KATIKA HALMASHAURI YA HAI Serikali kupitia ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa imedhamiria kujenga vituo vya Afya Kata ya KIA, Muungano, Mnadani, uroki na Weruweru katika Halmashauri ya Hai na kutoa...
  6. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Nani anaukumbuka huu uongo wa Serikali ya Samia?

    Leo ni siku ya mwisho ya mwezi Mei nani amepanda treni ya SGR?
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Inaendelea Kuangalia Fursa kwa ajili ya Kuwawezesha Wanawake Kuanzisha Vituo Mahususi vya Uwekezaji na Masoko kwa Wanawake katika Kata

    NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI INAANGALIA FURSA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUWEKEZA KATIKA KATA Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Serikali inaendelea kuangalia fursa mbalimbali kwa ajili ya kuwawezesha wanawake kuanzisha vituo mahususi vya uwekezaji na...
  8. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Serikali, hiki mnachokifanya hakikubaliki!

    Hii nchi wananchi wake ni wajinga na hovyo wa kiwango cha lami inakuaje FBI, CIA na m16 watu wao hawana kinga kabisa ila hili li nchi la kimasikini mnataka kuwawekekea kinga kisa ni .... Kwahiyo wasiojukikana bila shaka wanapewa kinga zaidi wa kufanya uovu wao si ndiyo? Ila shangaa na wewe...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wa Serikali na Asasi za Kiraia kuongeza Ufahamu na Uelewa wa Wananchi kuhusu Sheria zinazohusu Usalama wa Kidigitali

    Sheria za usalama wa kidigitali zinahusiana moja kwa moja na ulinzi wa haki za binadamu, kama vile haki ya faragha, uhuru wa kujieleza, na haki ya usalama binafsi. Kujua sheria hizi kunaweza kusaidia kuzuia ukiukwaji wa haki hizo na kushughulikia ukiukwaji wowote ambao unaweza kutokea. Kwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Thomas Nkola (Mkulima) awafunguli kesi 5 Mwigulu, January, Mbarawa, Tutuba na Mkurugenzi PCCB

    Thomas Nkola maarufu kama Mkulima afungua kesi 5 ambazo zimesikilizwa jana tar 29/5/2023 katika mahakam ya hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya viongozi mbalimbali ikiwemo Mwigulu, Mkurugenzi PCCB, Mkurugenzi wa Mashtaka wa Serikali, Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya Jinai, January Makamba, Makame...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kisheria, serikali ya kijiji inaweza kugawa chini ya ekari 50, Mpina alitoa rushwa akagawiwa ekari 1000?

    Kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya Kijiji, (The Village Land Act, Cap 114) na kanuni zake, serikali ya Kijiji hairuhusiwi kugawa ardhi ambayo inazidi ekari 50. Mpina amegawiwa ekari 1000, kubwa zaidi mara 20 kuliko Ile ambayo Kijiji wanaruhusiwa. Ni wazi kwamba Mpina alihonga viongozi wa serikali...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kidini ya Spirit Word Ministry yafutiwa usajili

    Wizara ya Mambo ya Ndani imesitisha usajili wa Jumuiya ya kidini iitwayo Spirit Word Ministry iliyopo eneo la Stakishari Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam baada ya kubainika kutoa mahubiri na mafundisho yenye mwelekeo wa kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja. Waziri wa Mambo ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

    Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia kukamilisha kituo cha biashara Afrika Mashariki

    Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu. Mradi huo utakapokamilika...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baada ya Serikali kutenga Tsh. Bilioni 1.4 kwa ajili ya Chuo cha VETA Rorya, awamu ya kwanza ya ujenzi yaanza

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi (VETA) cha kwanza kitakachojengwa Wilaya ya Rorya. Chuo hicho kitajengwa kwa awamu mbili ambapo kwa awamu ya kwanza ni ujenzi wa majengo 9. Mkuu wa...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau katika upelelezi, uratibu na kupambana na makosa hayo

    SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yawahakikishia Wawekezaji Mazingira Bora ya Kufanyia Biashara

    SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA BORA YA KUFANYIA BIASHARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ametembelea Kiwanda cha kutengeneza Mavazi cha Tanzania Tooku Garment kilichopo EPZA Ubungo External na kukutana na Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho Bw. Borja...
  18. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mipango ya serikali inayo-trigger 'emergency alarm' na inayotakiwa kutupiwa jicho na jamii nzima

    Si aibu kusema kuwa watanzania tuko vulnerable linapokuja suala la ufisadi barani Afrika hasa kwa experience tunayopata awamu zote tunazopitia. Tunavyoenda ni ukweli ulio wazi kuwa hiki kipindi ni volatile na tunahitaji jamii nzima kuwa so sensitive na mipango ya serikali. Binafsi na nadhani...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Nicodemus Maganga Aitaka Serikali kuwa na Mfumo Mzuri wa Kuwatambua Wastaafu

    MBUNGE NICODEMUS MAGANGA AITAKA SERIKALI KUWA NA MFUMO MZURI WA KUWATAMBUA WASTAAFU Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodemus Maganga amehoji Serikali kuwapiga chenga wastaafu pindi wanapoanza kudai mafao yao. Akiuliza swali la msingi, Maganga amehoji Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha pesheni za...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa sheria ipi serikali inalazimika kusubiri utaratibu wa bunge kuwachukulia hatua wezi na mafisadi waliotajwa na CAG?

    Kwa mjibu wa tamko la kiongozi wa shughuri za bunge letu Sipika Dr Aksoni Tulia kwamba, bunge la kushughurikia wezi waliotajwa kutoka katika wizara mbalimbalu na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG kwamba, kwa mjibu wa kanuni na sheria za Bunge, Bunge linaloendelea ni bunge la bajeti peke yake, na...
Back
Top Bottom