SERIKALI KUJENGA BARABARA YA MUSOMA-MAKOJO-BUSEKERA KWA AWAMU MBILI
(Bajeti ya Wizara ya Ujenzi & Uchukuzi, 2023/2024)
Urefu wa barabara Kilomita 92
Sehemu zenye lami Musoma Mjini-Buhare: km 5.9 (Eneo lote hili liko ndani ya Manispaa ya Mji wa Musoma)
Kusenyi-Kwikonero: km 5 (Eneo lote hili...
Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.
Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
Maelezo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2023/24.
Serikali inaposhughurikia swala la wafanyabiashara kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi: tunaonewa sana kwa kweli.
Mifano iko wazi:
1. Kwa mfano, daktari akilala zamu anapolipwa call allowance lazima akatwe VAT
2. Daktari au nesi akilipwa extra duty allowance lazima akatwe VAT
3...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali itaendelea kuvijengea uwezo viwanda vya ndani vinavyozalisha saruji kabla bidhaa hiyo haijaruhusiwa kuwa kati ya bidhaa kumi zitakazoweza kuingia katika soko huru la Afrika (AfCFTA).
Ameyasema hayo tarehe 21...
UTANGULIZI.
Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa mambo mengi yanafanyika kwa njia ya mtandao na mifumo ya kompyuta, sekta ya afya inatumia mifumo ya afya kukamilisha huduma kwa wagonjwa ambapo taarifa zote zinakuwepo katika mfumo huo.
Kila hospitali inatumia mfumo wake kulingana na...
Serikali hii yenye fedha nyingi mno kiasi cha baadhi ya watu kujichotea mihela bila aibu hata hofu ya Mungu haiwezi kushindwa kutoa ruzuku kwenye bima ya afya ya watoto.
Nilimsikia waziri wa afya akilalamika kuwa michango ni bilioni 4 wakati matumizi ni bilioni 40 (kwa mwaka?). Serikali hii...
Rais wa Marekani, Joe Biden amejaribu kuwahakikishia Viongozi wa Ulimwengu kuwa Marekani haitoshindwa kulipa deni lake licha ya kiwingu kinachogubika mazungumzo ya kuongeza ukomo wa Serikali yake kukopa.
Akiongea kabla ya kukutana na Viongozi wa kundi la Mataifa manne linalofahamika kama QUAD...
Leo tarehe 21/05/2023 ni kumbukumbu ya ajali mbaya ya meli Buboka, ajali iliyosababisha pigo kubwa kubwa kwa watanzania waliopoteza na wapendwa wao kwenye ajali hiyo iliyotokea 21/05/1996. Tukio hili lilisababisha vifo vya watu zaidi ya 800 limeendelea kuwa kumbukumbu mbaya na yenye maumivu...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo.
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, likifuatiwa na hoja, kisha jibu utalitoa wewe mwenyewe.
Swali la mada hii ni Je
Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM...
Wakuu,
Ni hivi, leo nikiwa nyumbani akaja dada mmoja jirani yetu akiwa anaongea na mtu kwa simu yake.
Baada ya kukata simu akaniambia kwamba amekuwa anaongea na matapeli na wamemwuliza kiwango cha pesa kwenye akauti yake na kwamba kuna mteja ametuma pesa kimakosa kwenye akaunti ya yule dada na...
Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila akitoa taarifa fupi ya mradi huo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) ilitenga fedha kwa ajili ya kuboresha Barabara hiyo ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema huko tunapoenda tuweke utaratibu kuwa mtu akichaguliwa kuwa waziri, mtoto wake asome shule za serikali. Amesema hii itasaidia kufanya mawaziri wasimame mitaala na kuunda sera zenye maslahi mapana kwa taifa
Amesema hayo akijadili bajeti ya elimu...
Fingerprint ni nini?
Kwa kiswahili (alama za vidole) ni alama au michoro inayopatikana kwenye vidole vya binadamu na zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika maisha ya mtu na hivyo kuzifanya zifae kama viashirio vya muda mrefu vya utambulisho wake. Zinaweza kutumiwa na polisi au mamlaka...
MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AISHAURI SERIKALI KUANZISHA WIZARA MPYA "WIZARA YA TEKNOLOJIA"
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Technologia ya Habari ameishukuru Serikali kwa kujenga Minara...
MBUNGE JANETH MAHAWANGA AITAKA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Tisha Mama Foundation Mhe. Janeth Elias Mahawanga amechangia Bajeti ya Shilingi Bilioni 74.22 ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
Tuweke rekodi sawa,
Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39
Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa.
Majirani msituringishie!
Mhenga Mohamed ibn batuta akiwa amenyua ndoo mwaka 1939 A.D 👇👇👇
Serikali ya Uingereza imetoa ripoti kwamba, Mazishi ya Queen Elizabeth II yaligharimu zaidi ya TSh. BILIONI 471. Kiongozi huyo alifariki dunia Septemba 8 na kuzikwa Septemba 19, 2022.
Gharama zilizokadiriwa ni pamoja na:
Idara ya Utamaduni, Vyombo vya Habari na Michezo - £57.42m
Idara ya...
Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.
Mtu Kama
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Bams
Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.