serikali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hii issue ya Daladala na Bajaji Arusha serikali ya mkoa imeshindwa

    Tulishuhudia mgomo wa daladala za kutoka Morombo kwenda mjini Arusha, wakaahidiwa kulishughulikia. Wakiwa ktk mchakato wa kulishughulikia bajaji wakaandamana, serikali ikawagwaya, imewaogopa maana waliitishia serikali kuwa watarudia kazi yao ya kuvunja na kuiba. Nafikiri Rais angewaondoa hao...
  2. JamiiForums Tanzania Lengo la Serikali ni kuwaua wakosoaji? Kesi ya Uhaini ni eneo la kujifunza

    Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu. Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nani anapaswa kulipa hela ya udalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

    Wakuu, Katika harakati za kutafuta nyumba kwa ajili ya shughuli mbalimbali madalali wamekuwa wakitumika kufanikisha jambo hilo. Wenye nyumba hutafuta madalali ili kuweka wepesi katika kupata wateja, na imekuwa rahisi kwa wapangaji kufikia maeneo hayo kirahisi kupitia madalali. Ambapo, baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Napinga Wakili Mwabukusi kuulizwa kwanini anataka kuiangusha serikali. Ni JWTZ peke yao ndio wana uwezo wa kuiangusha serikali

    Yale maneno aliyosema Wakili Mwabukusi kwamba jambo baya litatokea madai yao yasiposikilizwa, yale maneno ni vitisho tu. Tumemsikia wote Wakili Mwabukusi anasema"Wasidhani tunaleta masihara. We mean business". These are idle words, empty words, hollow words. Kwa sababu huyu Wakili Mwabukusi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapenda kumkamata Mdude kwa sababu wanalipwa na serikali perdiem zakuzunguka naye; zikiingia kwenye akaunti tu wanamwachia

    Mdude na wenzake wanaishi Mbeya; wamekaa Mbeya toka hukumu ya DP world ilipotolewa na wakatoa na matamko yao hakuna aliyewakamata. Mara paap wamepanga safari waje zao kula bata mjini wanakamatwa usiku wa manane Mikumi; kisha utasikia wamepelekwa makao makao makuu Dodoma mara wamepelekwa Mbeya...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu anaonya serikali hii , kwa vita hii mmeanzisha kamata watu ,hamtashinda

    Wakuu nawasalim katika yule alie juu ya kila kitu kila mmoja kwa imani yake .Niende kwenye mada moja kwa moja Serikali ya ccm, Naona mmeanza kutangaza vita na wananchi kwa kisingizio cha uhain, kisa watu kukataa MKATABA MBOVU WA BANDARI , mbaya sasa nao vyombo vya dola wanaendelea kutekeza...
  7. JamiiForums Tanzania Je serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria?

    Na Yericko Nyerere Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliye twaa Urais wa Samia aurejeshe haraka sana! Kwamjibu wa Sheria ya Nembo ya Taifa ya Mwaka 1971 na Katiba...
  8. JamiiForums Tanzania Suala la Viza ya Marekani na Canada Serikali ya Tanzania ivunje ukimya, foreign affairs watimize majukumu yao

    Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya. Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto...
  9. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

    Habari wakuu! Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni uchafu mtupu. Kilichonisikitisha zaidi ile ni mitaa ya makazi ya watu na niliona watoto wadogo...
  10. JamiiForums Tanzania Haji Manara alalamika Serikali kukaa kimya sakata lake na TFF ilhali ni mwanaCCM na 'Pro Government'

    Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amelalamikia Serikali ikiwemo mawaziri kukaa kimya na kuruhusu yeye kuonewa ilihali ni 'Pro Government' na mwanaccm aliyesomeshwa na chama. Manara amehoji kama yeye anafanyiwa hayo, vipi kwa watu wa kawaida? Nimejiuliza, kuna tabaka katika hii nchi sheria...
  11. JamiiForums Tanzania Wakili Serikali Mulwambo: Mantiki sahihi ni kuingalia IGA dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo sheria za Tanzania

    Wakili wa serikali Mulwambo ametoa somo kwa wanasheria na watu wengine kuwa kwa vile IGA ni makubaliano ya kimataifa kiitifaki inapaswa kuangaliwa dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo kupitia sheria za Tanzania He implored the Court to place the IGA on one hand and the Constitution on the other...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ni vita kati ya "Serikali" ya CCM na "nchi"

    Muvi ya kutisha na kuchosha. Kama igizo lakini ni kweli. Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?! Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote? Kachunguzeni, Mwinyi wala Mkapa hawakudiriki kuzuia...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali iwaombe wafanyabiashara wakubwa waende vyuo vikuu wakafundishe wahitimu angalau unit 1 ili kukamilisha degree ya biashara

    Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika. Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie Watoza Ushuru wa Mbeya wanatunyanyasa Wafanyabiashara wa mbao

    Sisi Wafanyabiashara wa mbao tuliopo Mbalizi, Mbeya Vijijini tuna malalamika kuhusu Watoza Ushuru wanaosimama kwenye mageti. Wanatengeneza mazingira ya rushwa kwa kutaka kutupiga faini na kututaka tukate ushuru wa TP (Transportation Permit) mara mbilimbili. Utaratibu uliopo tunaopewa na Wakala...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Serikali imepoteza mvuto na imani ya wananchi?

    Tukiwa bado tunaendelea na mjadala wa uwekezaji wa bandari na kampuni ya DP World, lipo fundisho kubwa ambalo kama jamii tunapaswa kujifunza. Ukiachilia mbali suala la maudhui ya makubaliano haya, ambapo kuna pande mbili zenye mitazamo tofauti, kuna suala lingine ambalo kwa mtazamo wangu...
  16. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Ngazi ya Wataalamu waanza Nchini Angola

    Tanzania inashiriki Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofunguliwa Agosti 08, 2023 Jijini Luanda, Angola kwa ngazi ya Maafisa Waandamizi. Wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo, imeshuhudiwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ikikabidhi...
  17. JamiiForums Tanzania Hospital teule ya isoko ,itabaki magofu kama serikali haitachukua hatua, imechoka na haitamaniki Tena!

    hii ni hospitali ni yenye historia kubwa ukanda wote wa mbeya na hasa wilaya ya ileje ! Ndio ilikuwa tegemeo kuanzia miaka ya 1951 ilipokuwa zahanati Hadi kufikia 1961 ilipokuwa hospitali kamili ..hospitali hii kulingana na jiografia yake wagonjwa walikuwa hawabebwi na ambulance kulingana na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nisaidie process ya kubadili kozi chuo cha afya cha serikali.

    Wakuu natumai hamjambo. Kijana wangu wa kiume amechaguliwa kujiunga na chuo cha afya baada ya kumaliza kidato cha nne. Katika matokeo yake alipata DCC ktk tahasusi ya PCB, amechaguliwa kusomea unesi na ukunga. Yeye anataka kusomea Clinical medicine. Tafadhali anaejua process za kubadilisha kozi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Maandamno ya upinzani Nchini Kenya yanazaa matunda mpaka Serikali inasalim amri tofauti na hapa Tanzania?

    President William Ruto alikiwa mbishi zaidi ya watangulizi wake,but naona mwishowe amenyanyua mikono na ameamua kwenda kwenye mazungumzo. Mwezi wa 7 mwishoni katika maandamano yaliyoongozwa na mzee Odinga,Walifariki zaidi ya 30 na watu zaidi ya 300 walishirikiwa na polisi.lakini jitihada zao...
  20. JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Tanzania inakandamiza Wakosoaji wa Mkataba wa Ubinafsishaji Bandari

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania Mkataba huo utaruhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…