serikali

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza CRDB Bank Foundation kuwawezesha kiuchumi vijana na wanawake wajasiriamali nchini

    Mkurugenzi wa Jinsia wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Badru Abdunuru aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya mafunzo ya ujasiriamali na elimu ya fedha akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 150 Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Data Sustainable...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali isisubiri matukio ndio itoe ajira

    SERIKALI ISISUBIRI MATUKIO NDIO ITOE AJIRA Serikali yetu imekuwa itumia ajira kutuliza matukio ya kisiasa, kiuchumi, au majanga yanayotokea hapa nchini. Ili kuwa na utawala bora Kuna haja ya kuwa na mipango mizuri katika utoaji wa ajira hizi kwa vijana wa nchi hii, leo hii ajira ndio zimekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali kuanzisha mradi wa vituo vya utafiti na maendeleo ya kilimo nchini

    MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA. kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu, ambayo tunasema ni utii wa mgongo wa taifa la Tanzania. Hivyo basi nikaona kuna haja ya kuanzishwa...
  4. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Serikali wenye mamlaka zioneeni huruma kodi za watanzania

    Salaam wana JF Weekend imeendaje kwenu Moja ya vitu vinasikitisha katika mamlaka na baadhi ya watendaji wasio waaminifu ni kufuja mali za umma na wizi uliokithiri Hii huenda imeshuhudiwa na wengi zaidi na vingine vikionekana tu viashiria lakini hakuna jibu la moja kwa moja kubwa kuna wizi...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha mapato katika hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (haswa kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha ukusanyaji na upatikanaji wa kodi hifadhi ya mlima Kilimanjaro (kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  7. JamiiForums Tanzania Swali: NHIF Inasajili Vipi Watoto wa Shule za Serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi?

    Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400 bila kujali anasoma au hasomi baada ya shirika lenyewe kujipa hasara kwa kuhujumu mfuko ndio wakaja...
  8. JamiiForums Tanzania Israel: Mawaziri Wawili watishia kujiuzulu na Kuvunja Serikali ikiwa Israel itasitisha Mapigano Gaza

    Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich na Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir wametishia kujiuzulu na kuvunja serikali iwapo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atakubali pendekezo la kusitisha mapigano Gaza lililotolewa na Rais Joe Biden, wakisema wanapinga makubaliano yoyote kabla ya Hamas...
  9. JamiiForums Tanzania Video: ANC kumpigia Julius Malema Magoti kwa ajili ya Serikali ya umoja

    With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority. ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo yamewashinda. Aibu! Wanaukakasi kumwendea MK , owner ni JZ, waliye mpeleka jela. Na juzi kumpa hukumu...
  10. JamiiForums Tanzania Wizi na ufisadi unaonaofanywa na dstv. Serikali mtusaidie wanyonge kwa kuondoa ukiritimba.

    Wadau kwa mara nyengine tena jana tarehe mosi ya mwezi June 2024, kampuni ya DSTV inayomiliki haki ya kipekee ya kuonyesha matangazo ya moja ya mashindano ya ligi barani ulaya ,na khususan Uingereza na ligi ya mabingwa wa ulaya, wamefanya tena wizi wao dhidi ya walala hoi wa Tanganyika na Zenj...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Kwagilwa Nhamanilo alishauri Bunge na Serikali TANROAD Iwe ni Mamlaka Kamili Badala ya Kuwa Wakala Ili Kuondoa Urasimu

    "Taasisi ya Usimamizi wa Barabara (TANROAD) imekuwa na mafanikio makubwa lakini zipo changamoto ambazo lazima tufanye mapinduzi. TANROAD kwa takribani miaka 20 wameshindwa kujenga Barabara ya Korogwe - Handeni - Kilosa - Mikumi (B127) inayounganisha Mkoa wa Tanga na Morogoro" - Mhe. Kwagilwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika kurahisisha huduma za jamii na maendeleo, serikali ichukue jukumu la kujenga minara ya mawasiliano maeneo yaliyoko mbali na miji (vijijini)

    Kutokana na umuhimu wa mawasiliano ya simu ya mkononi pamoja na internet iko haja kwa serikali kujenga miundombinu ya mawasiliano ya simu za mkononi na internet kwenye maeneo yote ambayo yako mbali na mijini ili kuyapunguzia mzigo wa gharama makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano ambayo kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi na ufisadi wa fedha za serikali uliokithiri katika awamu hii, suluhisho haliko ndani ya CCM wala upinzani kuwa mbadala wa CCM

    Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali tusaidieni wasomi kwa kutekeleza mfumo huu

    Chanzo: mtandaoni Tatizo la ajira ndugu wa Tanzania limekuwa janga kubwa sana kwa vijana waliohitimi vyuo mbali mbali nchini ,Serikali inajaribu kifanya juu chini kuweza kupunguza makali yake.Wahitimu wengi wamekuwa wakitapatapa kujikwamua kimaisha kwa kutafuta ajira pamoja na mitaji kwa ajiri...
  15. JamiiForums Tanzania Kujitolea kisiwe kigezo cha kupata ajira za serikali

    AJira ni haki ya kila Mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele. Kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana...
  16. JamiiForums Tanzania Bajeti Wizara ya Ulinzi trilioni 3.3, Wizara ya Ujenzi trilioni 1.7, ni maboresho ya Jeshi letu au kuna kitu serikali imekiona?

    Nimeona bajeti ya hizi Wizara mbili, Wizara ya Ulinzi ina bajeti kubwa kuliko hata Wizara ya Ujenzi. Nadhani ni jambo jema kwa kuwa majemedari wanatakiwa kushinda bila kuinua silaha, na gharama za kurudisha amani ni kubwa kuliko gharama za kuitunza. Pia nchi yetu imezungukwa na nchi zenye mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji ukimya wa Serikali kuhusu fidia ya waliopisha Reli ya SGR Tabora

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR kuchelewa kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, Mbunge wa Igagula, Venant Daud Protas amehoji juu ya hatma ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kuweni makini; inakuaje mtoto ana A ya math, B ya Chemistry, B ya biology na B ya Physics halafu mnampangia combination ya Art?

    Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG. Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi amefikia hapo ili ndoto zitimie halafu mnataka kumsumbua na kumuathiri kisaikolojia kama hivyo. Najua...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watumishi wa Umma kupandishwa madaraja karibuni

    Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka. Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021. Kongole Mama yetu, tunakupenda sana, yaani mitano tena.
  20. JamiiForums Tanzania Serikali Kuwachukulia Hatua Kali Vishoka Wanaoshikilia Maeneo Yenye Malighafi za Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi. Bashungwa ameyasema hayo wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…