Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,703
36,151
Serikali kwa tafsiri isiyo rasmi ni viongozi wenye mamlaka ya kutoa maagizo kwa ngazi ya kitaifa.

Kazi tumefanya, issue ya error ndogo ndogo kwenye mfumo isiwe sababu ya kutunyima pesa.

Kuna watumishi wawili kazini nawajua hawajajisajiri kabisa kwenye huo mfumo lakini mshahara wamepata.
Mimi nimejisaili ila duties sijajaza. Sijalipwa mshahara.

Mukitaka lipeni , musipotaka kaeni na hizo pesa sisi tutajua tunafanyeje katika majukumu yetu ya kila siku.

Mrejesho: Maisha ya wiki moja baada ya kunyimwa mshahara kisa sijakamilisha kujaza PEPMIS
Ni wiki sasa sijalipwa mshahara kwakuwa sijakamilisha fomu ya pepmis.

Ni makosa ya mwajiri wangu lakini ok tuseme ni makosa yangu.

Kwakweli Mungu ni mwema.

Nimekamilisha tayari kujaza ile fomu. Sijui taingiziwa lini mshahara.

Lakini Mungu 🤣🤣🤣🤣 amedouble pesa kwenye biashara zangu.

Kweli Mungu yupo na wanyonge 😂😂😂😂😂.

Kwa moyo wa uzalendo niko tayari nifanye kazi bila mshahara na posho.

KAZI NI IBADA
 
Serikali kwa tafsiri isiyo rasmi ni viongozi wenye mamlaka ya kutoa maagizo kwa ngazi ya kitaifa.
Kazi tumefanya, issue ya error ndogo ndogo kwenye mfumo isiwe sababu ya kutunyima pesa.
Kuna watumishi wawili kazini nawajua hawajajisajiri kabisa kwenye huo mfumo lakini mshahara wamepata.
Mimi nimejissjili ila duties sijajaza. Sijalipwa mshahara.
Serikali tulipeni kabla hatujaharibu kazi.
Ni hilo tu, mukitaka lipeni , musipotaka kaeni na hizo pesa sisi tutajua tunafanyeje.
Fix error wakulipe. Acha janja janja
 
Back
Top Bottom