Pongezi nyingi kwa serikali, tumezika msamiati wa Mgao wa Umeme sasa tunatumia Kuzima mitambo kufanya Matengenezo!

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
439
594
Bila shaka serikali imefanya jitihada kuhakikisha wananchi wake tunapata huduma ya umeme yenye uhakika!🫣🫣

Tumezika msamiati wa Mgao wa Umeme ila bado tunaendelea kutumia Misamiati ya Kuzima mitambo ili kufanya matengezo!

Miaka ya nyuma alilazimisha mitambo isizimwe ndiyo maana hapakuwa na mgao wa umeme!😂😂😂😂

Hongereni sana.
 
Bila shaka serikali imefanya jitihada kuhakikisha wananchi wake tunapata huduma ya umeme yenye uhakika🫣🫣

Tumezika msamiati wa MGAO wa umeme ila bado tunaendelea kutumia Misamiati ya KUZIMA MITAMBO ILI KUFANYA MATENGEZO.

MIAKA YA NYUMA ALILAZIMISHA MITAMBO ISIZIMWE NDIYO MAANA HAPAKUWA NA MGAO WA UMEME

Hongereni sana.
Akili uliyotumia hapa green snakes watajaa kama viroboto.
 
Bila shaka serikali imefanya jitihada kuhakikisha wananchi wake tunapata huduma ya umeme yenye uhakika🫣🫣

Tumezika msamiati wa MGAO wa umeme ila bado tunaendelea kutumia Misamiati ya KUZIMA MITAMBO ILI KUFANYA MATENGEZO.

MIAKA YA NYUMA ALILAZIMISHA MITAMBO ISIZIMWE NDIYO MAANA HAPAKUWA NA MGAO WA UMEME😂😂😂😂

Hongereni sana.
Unyonge wa akili ndio utakaotufanya tuwashukuru wakoloni kwa kutupa uhuru wetu!
 
Back
Top Bottom