series

  1. PICHA: Ijue BMW 7 Series (Maelezo Mafupi)

    IJUE BMW 7 SERIES- Kwa ufupi Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari UTANGULIZI Ni moja ya gari za starehe iliyoboreshwa kwenye mambo mengu na iliingia sokoni kwa mara ya kwanza 1977. Leo tutaongelea generation ya 4 iliyoingia sokoni kuanzia 2001 mpaka 2008 inayoshindanishwa na Benz S...
  2. Series gani ya comedy ni best of all time?

    Binadamu tunatofautiana sense of humour meaning kitu kinaweza kuwa funny Kwa mtu mmoja kikawa cha kawaida kwa mwingine. Lakini mawazo yawengi huwa mara nyingi yanakaribia ukweli. Kwangu Mimi best comedy series ni: 1. How I met your mother 2. The Simpsons 3. Big time rush 4. Scrubs 5. Big bang...
  3. Wanyaturu wamemkosea nini huyu DJ anayetafsiri filamu na series za nje? Haoni kama anatengeneza chuki ya ukabila?

    Huyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda sana Wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anaudhi sana huyu. Kila kitu yeye ni Wanyaturu, Wanyaturu mpaka Kero yaaani. Wanyaturu kamshtakini huyu kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20. Hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa...
  4. Jinsi ya kupata miendelezo ya series (kiswahili)

    Ndugu,tafadhali rejea kichwa cha mada hapo juu.Asante
  5. Special Thread: Best Turkish series & movies

    Wapenzi wa series za Uturuki nikiwa mmoja wapo, japo kuangalia kwa subtitles ni changamoto ila kwenye story wanajitahidi hasa kwenye visa kuanzia vya mapenzi, missions n.k Zifuatazo ni baadhi ambazo nimezielewa story zake 1. ARIZA 2. Tesklat 3. Zemheri 4. Sol yanim Ongezea list wale wapenzi...
  6. Hizi ni Series ambazo zimenishinda kabisa

    Nmejaribu sana kuangalia baadhi ya series za mataifa mengine nmejikuta nashindwa kabisa hasa za: 1. Spain 2. Mexico 3. Philippines 4. Turkey 5. Korea 6. China Hawa jamaa bado wana series za kitoto kitoto sana. Uhalisia unapotea kabisa. Ukichanganya na lugha ndo nakwazika kabisa kukaa niangalie...
  7. Kwa wapenzi wa Series

    Tofauti na series ya designated survivor...ni series gani nzuri yenye maudhui yanayoendana na hiyo?
  8. Most confusing and plot twisting series ever

    Hello there....👋👋 Hua napenda nikikutana na series au muvi nzuri nishee nanyi “wakulungwa” wapenda motion pictures maana sharing is caring, I scare because I care. Hua napenda series na muvi ambazo ukitazama unakua unakuna kichwa kuielewa, muvi zenye plot twisting na brain storming. Baadhi ya...
  9. Umeicheki IRIS? Hizi ni facts 10 usizozijua kuhusu series hiyo

    Nakumbuka mara ya kwanza kuona tamthiliya ya Iris ilikuwa ni ITV pale mwaka 2013 kama sio 2014 kipindi hicho hata smartphone sina. Nilivyoiona tu mara ya kwanza sijui ilikuwaje lakini tangu hapo sikuacha kuifatilia mpaka episodes zote 20 zilivyoisha.Nakumbuka nilikuwa nachelewa kulala siku...
  10. Wale wapenda series tuje tupeane series kali za kutizama bila kuchosha jicho kwa kioo bila kupepesa

    Wakali wa series mje na vyuma vikali vya moto hapa jf amkosekani tupeane. Izo chini nsha zicheki ziko poa sana na binafsi nazielewa za mtindo huo zenye mwendelezo na sio za kuunga matukio kama 24 hrs.mseries za action kama izo na upelelez wa kusaka wahalifu like prison break hua zina nikosha...
  11. Car4Sale Toyota Landcruiser HZj 78 series for sale

    Recently registered number DT Pick up single cabin African specs from Toyota Tanzania special for Africa 2010 model year 1hz diesel power with black top 16-valve New four tires by GT-RADIAL mounted with original cruiser rims Wide screen dashboard The car is clean with a very immaculate condition...
  12. Nairobi TV series attracts 250 million viewers in China

    Blue Sky Films crew on location in Kenya BLUE SKY FILMS A Chinese TV series shot in Nairobi has given Kenya international recognition with more Chinese film-producing firms considering using Kenya in their future projects after the series attracted sizeable eyeballs in China. The action-based...
  13. H

    Hii series si yakukosa

    Kuna series au drama ya kikorea inaitwa The Penthouse ni moja ya drama kali sana iliyotoka hivi karibuni.Kwa sisi tunaopenda kufuatilia series au drama zinazoongelea maisha halisi yetu basi hii si ya kukosa. Hii drama inahusiana na jumba moja linaitwa Para house inayokariwa na matajiri Kuna...
  14. The Blacklist series

    Habari....👋 Nilikua sijawahi kuifuatilia hii series, nilipoicheki tu looh nimenogewa. Imebidi niwe naangalia episode moja moja ili nisiwahi kuimaliza na nishakusanya Season 1-7 so sina wasiwasi. Salute kwake Jon Bokenkemp kwa kutengeneza series hiii. Naona ilikua ishasitishwa ila wadau...
  15. M

    Naitaji Msaada :number series

    deleted
  16. H

    Nitajieni jina la hii series

    Hii ni series ya kizungu inayohusiana na baadhi ya polisi kupata hela za magendo tofauti na mshahara wanaolipwa kihalali na Serikali wanachokifanya wanaficha hela hizo magendo kwenye magodown na Kuna mwingine anaficha kwenye paa ya nyumba baadae watastukiwa na Serikali so naomba nitajie hii...
  17. series ya cruel romance nimeelewa vibaya ni moto sana alee wah

    binti jinxiu familia yake inauliwa yote na wajapan anapona peke ake anakwenda mjini huko anakutana n a na dada yake lakini dada hamtaki naye anataka kulipa kisasi kwa vile baba ake na binti alimtenga mama ake sasa humo binti anakutana na zuo zhen jamaa mtemi sana wanakutana kwenye boti baada...
  18. BMW series 1

    Baada ya woga mwingi dhidi ya magari ya BMW ila hali sasa imebadilia naona wapenz wa baby walker wengi wamehamia kwenye BMW series 1. Nini siri ya haka kagari spea sio adimu tena na wamepunguza size ya engine kwenye uaji wa mafuta? Huko tuendako nadhan mindset zetu zitabadilika na tutaanza...
  19. H

    Hizi ni baadhi ya underrated series

    Linapokuja suala la kutajwa series Bora hizo nitakazoandika Mara nyingi hazitajwi lakini Ni Kati ya series Bora kabisa inawezekana na kutoangaliwa na watu wengi au lah! 1. Banshee Tumezoea asilimia kubwa za series za ngumi au movie za ngumi hazinaga story zakuvutia ukiachana na mipigano yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…