Innocent Defendent moja ya Bonge la Series

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,506
18,801
Hii ni korean drama iliyotoka mwaka 2017 ina episodes 18.katika series zangu Bora duniani hii inaingia kwenye Top 3 yangu si rahisi kwangu korean drama yoyote kuingia kwenye list ya best series of all time kwa upande wangu lakini hii kutokana na kuwa na ubora mkubwa na yenye kusisimua imeingia.

Ubora wake uko wapi?

Kwanza kabisa ubora wake unaanzia kwenye script, Mwandishi wa hii drama alitakiwa ajengegwe sanamu ya pekee yake.Alitengeneza hii drama kwa pande mbili ya starring na adui na zote akazipa nguvu zinazoshabiana hii ni moja ya kitu ambacho ni nadra Sana kukuta kwenye series zingine kwasababu starring anapewa nguvu kubwa haswa.

Ubora wa pili ametengeneza hii drama kwa namna ikishaisha episode moja unatamani ucheki next episode ujue kitajili kutokana na utamu wenyewe.kwa kifupi ina mtiririko mzuri wa story.

Ubora wa tatu Kuweka complicated events, hii imefanya ilete msisimuko kwa watazamaji naye kujikuta kama sehemu ya hiyo drama kuanza nae kutabidi matukio mbalimbali yanayotokea kwenye hiyo drama.

Characters wamecheza vizuri

Honesty nimependa namna adui alivyocheza ni kiwango Cha juu Sana na amesaidia kuleta mvuto mkubwa kwenye hii drama alikuwa katili na mwenye maamuzi ya haraka.

Content

Ina story nzuri ndani yake ina matumizi ya akili, ngumi za maana.Kiufupi nimeipa rate ya 9/10
 
Niliangalia mwaka 2017 ni nzuri ila nahisi wewe hujawai kuangalia series kali kama nakosea weka series zako mbili kali ili nijue wewe ni mkali kwenye hii sector ?
 
Niliangalia mwaka 2017 ni nzuri ila nahisi wewe hujawai kuangalia series kali kama nakosea weka series zako mbili kali ili nijue wewe ni mkali kwenye hii sector ?
Ingia Netflix isake series inaitwa vagabond utakuja kunishukuru

Chuno_the slave hunter
Bichumno
Deep rooted tree
Great Queen sendiok
Hizi zote zimechezwa kizamani(kijijini) Ila zina Stori Kali na mkono sn

Jamaa aliyecheza hiyo tamthiliya ya innocent defendant karibia series zake zote ni kali,km za Ill Song Gook (jumong)

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
1.Prison Breaking
2.Banshee
Banshee ahahahha hii series bn ilinifanya nikaambiwa "kijana mpole mtaratibu lkn kutwa kucha Yuko bize kuangalia X"

Huyo mtu alinikuta si chini ya mara 3 nakuangalia alafu ghafla mambo yanaharibika watu wakaanza kupigana miti..wazungu wapuuzi sn
 
Best season kwangu ni
Prison break
Blacklist
The last ship
squid game
Undercover kama hujawahi kucheki hizi season fuatiliau hautapoteza mda wako
 
Best season kwangu ni
Prison break
Blacklist
The last ship
squid game
Undercover kama hujawahi kucheki hizi season fuatiliau hautapoteza mda wako
Blacklist inahusu nini

Na the last ship inahusu nini
 
Ingia Netflix isake series inaitwa vagabond utakuja kunishukuru

Chuno_the slave hunter
Bichumno
Deep rooted tree
Great Queen sendiok
Hizi zote zimechezwa kizamani(kijijini) Ila zina Stori Kali na mkono sn

Jamaa aliyecheza hiyo tamthiliya ya innocent defendant karibia series zake zote ni kali,km za Ill Song Gook (jumong)

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu hapo isipokuwa squid game kwa sababu dunia ilikuwa inaenda kupoteza maudhui ya aina hii ya season

Kwahiyo squid game watauza sana kipindi hiki kwasababu dunia ilikuwa inahitaji hii ladha
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom