series

  1. Toosie Slide

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

    Salaam Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka. Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na mfuatiliaji wa cartoon au animation. Nyingine kali nilizozicheki ni: Sing Frozen 1&2 Tangled ever after...
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kuna series zimetengenezwa zenye episodes kibao kuzima mijadala isiyo na masilahi na CCM

    Kwa wajuvi na wafuatiliaji wa Mambo mtanikubalia kuwa Gwajima hutumika kuwa Kama neutralizer wa mambo mbalimbali kwa mfano sasa hivi leo kuna mambo hayajajadiliwa kabisa na jamii ya Watanzania na ni mambo ya msingi sana kwa mfano suala la tozo kupunguzwa kwa 30% badala ya kufutwa kabisa Suala...
  3. dadanga

    JamiiForums Tanzania Series ya Sinia na Huba anisaidie

    Mwenye season ya Sinia na Huba naomba anisaidie kuzipata ,shukran.
  4. koba lee

    JamiiForums Tanzania Mwenye jina la series yoyote ya kutisha (Horror) ya kuanzia 2019

    Wakuu kwema? Twende kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa horror movies tatizo za movie ni kwamba unaangalia dakika 90 mzigo umekata, sasa nataka series zile za kukesha nazo ambazo zinatisha. Nahitaji angalau ambazo zimetoka kuanzia mwaka 2019 na kuendelea. Nilizobahatika kuangalia mpaka leo na...
  5. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu hawawezi kutengeneza movies/ series bila gay scenes?

    Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli 😂 Hee kufika episode ya 4 wameonyesha gays km kawaida yao. Halafu scene yenyewe ina km sekunde 5 tu hta...
  6. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ijue BMW 7 Series (Maelezo Mafupi)

    IJUE BMW 7 SERIES- Kwa ufupi Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari UTANGULIZI Ni moja ya gari za starehe iliyoboreshwa kwenye mambo mengu na iliingia sokoni kwa mara ya kwanza 1977. Leo tutaongelea generation ya 4 iliyoingia sokoni kuanzia 2001 mpaka 2008 inayoshindanishwa na Benz S...
  7. Citizen B

    JamiiForums Tanzania Series gani ya comedy ni best of all time?

    Binadamu tunatofautiana sense of humour meaning kitu kinaweza kuwa funny Kwa mtu mmoja kikawa cha kawaida kwa mwingine. Lakini mawazo yawengi huwa mara nyingi yanakaribia ukweli. Kwangu Mimi best comedy series ni: 1. How I met your mother 2. The Simpsons 3. Big time rush 4. Scrubs 5. Big bang...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha zaidi za lendcruiser V8 mpya 300 series zavuja

  9. Darucha

    JamiiForums Tanzania Wanyaturu wamemkosea nini huyu DJ anayetafsiri filamu na series za nje? Haoni kama anatengeneza chuki ya ukabila?

    Huyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda sana Wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anaudhi sana huyu. Kila kitu yeye ni Wanyaturu, Wanyaturu mpaka Kero yaaani. Wanyaturu kamshtakini huyu kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20. Hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa...
  10. Spacefox

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata miendelezo ya series (kiswahili)

    Ndugu,tafadhali rejea kichwa cha mada hapo juu.Asante
  11. Lee

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Best Turkish series & movies

    Wapenzi wa series za Uturuki nikiwa mmoja wapo, japo kuangalia kwa subtitles ni changamoto ila kwenye story wanajitahidi hasa kwenye visa kuanzia vya mapenzi, missions n.k Zifuatazo ni baadhi ambazo nimezielewa story zake 1. ARIZA 2. Tesklat 3. Zemheri 4. Sol yanim Ongezea list wale wapenzi...
  12. GuDume

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Series ambazo zimenishinda kabisa

    Nmejaribu sana kuangalia baadhi ya series za mataifa mengine nmejikuta nashindwa kabisa hasa za: 1. Spain 2. Mexico 3. Philippines 4. Turkey 5. Korea 6. China Hawa jamaa bado wana series za kitoto kitoto sana. Uhalisia unapotea kabisa. Ukichanganya na lugha ndo nakwazika kabisa kukaa niangalie...
  13. one one chief

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Series

    Tofauti na series ya designated survivor...ni series gani nzuri yenye maudhui yanayoendana na hiyo?
  14. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Most confusing and plot twisting series ever

    Hello there....👋👋 Hua napenda nikikutana na series au muvi nzuri nishee nanyi “wakulungwa” wapenda motion pictures maana sharing is caring, I scare because I care. Hua napenda series na muvi ambazo ukitazama unakua unakuna kichwa kuielewa, muvi zenye plot twisting na brain storming. Baadhi ya...
  15. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Umeicheki IRIS? Hizi ni facts 10 usizozijua kuhusu series hiyo

    Nakumbuka mara ya kwanza kuona tamthiliya ya Iris ilikuwa ni ITV pale mwaka 2013 kama sio 2014 kipindi hicho hata smartphone sina. Nilivyoiona tu mara ya kwanza sijui ilikuwaje lakini tangu hapo sikuacha kuifatilia mpaka episodes zote 20 zilivyoisha.Nakumbuka nilikuwa nachelewa kulala siku...
  16. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Wale wapenda series tuje tupeane series kali za kutizama bila kuchosha jicho kwa kioo bila kupepesa

    Wakali wa series mje na vyuma vikali vya moto hapa jf amkosekani tupeane. Izo chini nsha zicheki ziko poa sana na binafsi nazielewa za mtindo huo zenye mwendelezo na sio za kuunga matukio kama 24 hrs.mseries za action kama izo na upelelez wa kusaka wahalifu like prison break hua zina nikosha...
  17. MagariTanzania

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Landcruiser HZj 78 series for sale

    Recently registered number DT Pick up single cabin African specs from Toyota Tanzania special for Africa 2010 model year 1hz diesel power with black top 16-valve New four tires by GT-RADIAL mounted with original cruiser rims Wide screen dashboard The car is clean with a very immaculate condition...
  18. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi TV series attracts 250 million viewers in China

    Blue Sky Films crew on location in Kenya BLUE SKY FILMS A Chinese TV series shot in Nairobi has given Kenya international recognition with more Chinese film-producing firms considering using Kenya in their future projects after the series attracted sizeable eyeballs in China. The action-based...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Hii series si yakukosa

    Kuna series au drama ya kikorea inaitwa The Penthouse ni moja ya drama kali sana iliyotoka hivi karibuni.Kwa sisi tunaopenda kufuatilia series au drama zinazoongelea maisha halisi yetu basi hii si ya kukosa. Hii drama inahusiana na jumba moja linaitwa Para house inayokariwa na matajiri Kuna...
  20. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania The Blacklist series

    Habari....👋 Nilikua sijawahi kuifuatilia hii series, nilipoicheki tu looh nimenogewa. Imebidi niwe naangalia episode moja moja ili nisiwahi kuimaliza na nishakusanya Season 1-7 so sina wasiwasi. Salute kwake Jon Bokenkemp kwa kutengeneza series hiii. Naona ilikua ishasitishwa ila wadau...
Back
Top Bottom