Mwenye jina la series yoyote ya kutisha (Horror) ya kuanzia 2019

koba lee

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
557
1,000
Wakuu kwema?

Twende kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa horror movies tatizo za movie ni kwamba unaangalia dakika 90 mzigo umekata, sasa nataka series zile za kukesha nazo ambazo zinatisha.

Nahitaji angalau ambazo zimetoka kuanzia mwaka 2019 na kuendelea. Nilizobahatika kuangalia mpaka leo na nikazielewa ni hizi hapa na wewe unaweza kuzitafuta kama unapenda hizi mambo.

1. Salem
2. The Haunting of hill house
3. American Gods
4. Brand new Cherry flavor
5. Penny dreadful
6. American Horror stories

Mdau karibu uweke na zako ili twende sawa.


PIA, SOMA:
- Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)
 

Patriarch

Senior Member
May 21, 2021
161
250
Kuna horror movie moja niliiona mda mrefu, nimeisahau jina...
Kisa kiko hivi " kuna familia moja, ikifika usiku mtoto mdogo wa kiume anaota, na kuona kitu cha kutisha, anapiga kelele wazazi wanaamka, anawasimulia ...baada ya muda baba yake anaamua kutega cameras, lakini picha inashindwa kuonekana vizurii kutokana na speed ya hicho kiumbe" kumbukumbu zangu chache ndiyo kama hizo, anayeipata , anaweza nitajia jina nikaitafuta!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom