Hollywood series hii inaongoza kwa kupata kura nyingi

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,572
Nimeanza kuangalia series kwa mala ya kwanza 2018 na kuimaliza yote, nilianza na series hii.. YOU (2018).

Kipindi cha nyuma ilikua nimwendo wa single movies tu.
nakumbuka ilikua 2016 nikajaribu kuangalia Prison Break, aiseee niliona ndefu sana, series inazunguka huku na huku, wanachelewa kwenda kwenye main point, sikuweza kumaliza hata season moja, nikaacha nikaishia njiani.

Wapenzi wa movies za kizungu nazani mnaelewa utamu wa movies zenye hizi category ni fire; Gernes- Drama, crime, Romance, Action. ooh i love it.

mwisho unaweza niita Mr. India
i love Bollywood movies😍

Series yenyewe ni hii inayo ongoza kwa kura nyingi kwa sasa kwenye imdb.com
YOU (2018)
You_pic01.jpg
,
you...joe.jpg

Gernes; Drama, crime, Romance.

You_pic01.jpg
 
Hebu elezew kidogo inahusu nini.
Huyo mwanaume (clever man) alikua anatafuta mrembo wa ndoto zake, atakae mpenda yake yote na kumpa mapenz yake yoteee, kuhakikisha mrembo huyo ampenda sana yeye peke yake kuliko wanume wote duniani.

Yaliyomkuta sasa.. ni hatar Pambana na hiyo series utajionea mwenyewe
 
Na sisi wa series full episode movie kuna hii kitu inaitwa FLINT.

Kuna mjeda mstaafu Shamanov jamaa wa kwa Putin kule ni anafanya kazi njema humo aseee!.
 
oooh tupo pamoja, nimetokea Arsenal nikaama, maana timu sio kabila
kwa sasa na mimi ni Jogoo wa jiji tangu 2017.
wana Liverpool walinipokea vizur sana humu JF
Oohh karibu chamani. Sijawahi kukuona kwenye ule uzi wetu.
 
Yes mpira. Nitafanya chochote nipate muda wa kuangalia matches weekend. Ila siwezi kutizama movie au series.

Mimi ni Scouser born and bred.
YNWA.
Ndio hobby Yako hio mkuu hongera..
Ukiona unafanya au unafuatila kitu na unaki-enjoy hio ndio hobby Yako ujue,na ukishakuwa na hobby ya kitu Fulani unakuwa Upo tayari kuinvest hela na muda wako...mfano ww Upo tayari kuisubili mechi ya saa 7 au kulipia 1000 kungalia mechi
 
Nimeanza kuangalia series kwa mala ya kwanza 2018 na kuimaliza yote, nilianza na series hii.. YOU (2018).

Kipindi cha nyuma ilikua nimwendo wa single movies tu.
nakumbuka ilikua 2016 nikajaribu kuangalia Prison Break, aiseee niliona ndefu sana, series inazunguka huku na huku, wanachelewa kwenda kwenye main point, sikuweza kumaliza hata season moja, nikaacha nikaishia njiani.

Wapenzi wa movies za kizungu nazani mnaelewa utamu wa movies zenye hizi category ni fire; Gernes- Drama, crime, Romance, Action. ooh i love it.

mwisho unaweza niita Mr. India
i love Bollywood movies

Series yenyewe ni hii inayo ongoza kwa kura nyingi kwa sasa kwenye imdb.com
YOU (2018)
View attachment 2003474,View attachment 2003477
Gernes; Drama, crime, Romance.

View attachment 2003476

Watu wanaopenda “You” nakuwaga nna mashaka nao kidg kuwa wanaweza wakawa na Dark side kwa ndani

Ni mawazo yangu tu
 
Dark side - yaani una roho mbaya, husda, ukatili, ulipitia maisha ya mateso yakakuathiri, ulikuwa abused ukawa mkatili, una mapepo mabaya, ni mchawi, una wivu nakadhalika. Thats Dark side!
ukatili au roho mbaya ndio unatumia neno Dark !!! khaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom