Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

Toosie Slide

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
738
1,000
Salaam
Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka.
Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na mfuatiliaji wa cartoon au animation.
Nyingine kali nilizozicheki ni:
Sing
Frozen 1&2
Tangled ever after
Coco
How to drive your dragon 1,2&3
Shrek
Soul
Moana
Tad and the lost explorer1&2
Kwa uchache ni hizo, najua zipo nyingi sijaziona kwa iyo mpya zitashushwa
Karibuni
 

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
16,511
2,000
Ongeza na Pussy in Boots ni furaha..
Yeah one of the best.

Zootopia pia ni masterpiece.

Kwa wale wa adult swims.. kuna kitu inaitwa The Boondocks. Hii ni nzuri kama unapenda humour. Kuna uzi wake nilianzisha unaweza pitia kidogo


Pia kuna..

Samurai Champloo
Death Note
Black Dynamite


Nitaleta nyingine nikikumbuka.
 

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
16,511
2,000
You know what Clive, playing a villain in a tv was fun. But being one in real life is even better.... Heist music.(Balthazar Bratt)
Binafsi mimi ni mpenzi wa Animation sana sana hadi cartoon Napenda sana... Animation ndio genre ya muvi ambayo unaweza kuitazama mara nyingi bila kuichoka.

Kampuni zangu bora zinazotengeneza Animation ni Dreamworks Studio na Pixar Studio.Zifuatazo ni animation zangu bora nazopenda kuzirudia
 • Home
 • Wall E (inasikitisha)
 • Big Heroes 6
 • Ratatouille
 • Despicable me
 • Moana
 • Up (inasikitisha)
 • Shrek
 • How to train your dragon
 • Coco
 • Kung fu panda

 • Boss baby
 • Wreck it Ralph
 • Spy in disguise
 • Megamind
 • Finding Dory n Nemo
 • Cars
 • Grinch
 • Onward
 • Mosnter Inc
 • Soul
 • Chicken Run
 • The Brave
 • Rango (when is he going to die?? Soon my friend soon)
Ratatouille one of the best.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom