series

  1. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Ipi ni season bora ya muda wote kati ya hizi mbili

    Breaking bad 9.5 Game of thrones 9.4 Hizi ni kwa mujibu wa rate za IMDB je wew kama mdau ipi kwako ni kalii sana
  2. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwa na series kali ya kivita zaidi ya Band of brothers

    The series dramatizes the history of "Easy" Company, 2nd Battalion, 506th Parachute Infantry Regiment of the 101st Airborne Division, from jump training in the United States through its participation in major actions in Europe, up until Japan's capitulation and the end of World War II.
  3. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Muvi na series zilizoandikwa vizuri

    Moja ya kitu kinafelisha bongo series ni kutokua na waandishi wazuri wa series na muvi yaani Screenwriter/Scriptwriters. Mtu kwakua ana stori anayo kichwani basi yeye mwenyewe anaiandikia script, lakini hata hao waandishi waliopo hawana uwezo wala elimu ya Screenwriting. Binafsi moja ya vitu...
  4. salehe magari mazuri

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  5. Mapank

    JamiiForums Tanzania 2024 Toyota LandCruiser 70 Series inapata injini ya dizeli ya lita 2.8, lakini V8 inabaki

    Bei za Toyota LandCruisers zenye uwezo wa 1VD zimepanda hivi karibuni wakati Toyota ilipotangaza aina ya 2024 LandCruiser 70 Series itakayoendeshwa na injini ya dizeli ya 1GD 2.8-lita yenye cylinder nne inayoungwa automatic gear box, lakini habari njema ni kwamba V8 inabaki kwa ajili ya wakati.
  6. salehe magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  7. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda muvi na series, hii ndio mbinu rahisi ya kuzidownload

    Makadirio ya Ukubwa wa Muvi / Series -Muvi za 720p zina MB 700 hadi GB 1 -1080p zina GB 1.5 hadi 2 -Series za 720p zina MB 250 hadi 400 -1080p ni MB 500 hadi 800
  8. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda Movies na series wanaotaka kujidownloadia wenyewe, darasa hili hapa

    Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop inaendelea kufyeka MB. Hii njia ipo fresh.
  9. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Kama unapenda kutunza kumbu kumbu za muvi / series, hii itakufaa.

    Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot) File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 " ikimaanisha kwamba tukio la kwenye picha lipo kwenye prison break season 1 episode 21, muda wa dakika ya...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwa na series kali zaidi ya The Sopranos

    Katika watu waliotulia na kuandika series hakuna kama walioandika The Sopranos.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nipo naitazama series ya gotham

    Kumbe bonge moja la series Unyama mwingi, pia kuna conversations zinachekesha hasa character ya detective Bullock na kijamaa penguin. nilichelewa kuifuatilia
  12. Pagani Zonda

    JamiiForums Tanzania Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

    Wapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na; 1. Vampire diaries 2. Supernatural 3. Riverdale 4. Legacies 5. Midnight mass 6. Shadow hunters 7. Teen wolf 8.The...
  13. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

    Kuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho pongezi kwa wote waliofanikisha hizi series (directors, actors, etc), wamefanya kazi kubwa sana kwa...
  14. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Series ya gold mafia inasikitisha sana. Sasa naelewa vyema kwanini Magufuli alibana biashara ya dhahabu na fedha za kigeni

    Hii series inasikitisha sana. Inaeleza jinsi wahuni wanavyotumia biashara ya kuexport dhahabu kutoka Africa kwenda Dubai wanavyotakatisha pesa. Mapastor fake wamejaa humo ndani. .
  15. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Basic Mathematics and Advanced Mathematics examination series

    Hello ndugu zangu , katka kurudisha fadhila kwa jamii nimepata wazo LA kupost basic mathematics series na advanced mathematics series kila siku ya jumamosi. Wanafunzi katka vidato husika endapo watafanya mitihani hiyo ni vyema wanitumie mitihani yao PM kwa mfumo was PDF na nitawawasahihishia...
  16. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania The Last of Us Series Thread

    Naweza Kusema Kwa Umbali Mkubwa Sana Hii Ni The Best Videogame Ambayo Imewahi Kupelekwa Live-Action Na Kuwa TV-Series Kwenye Kiwango Bora Leo Tunaanza Na Episode Ya Kwanza Ijulikanayo Kama "When You’re Lost in the Darkness. PILOT Episode Ya Kwanza Inaanza Na Mazungumzo Ya Kwenye Televisheni...
  17. marehem x

    JamiiForums Tanzania Mnaofuatilia series a Pogba simuoni oni

    Nimekuwa na kawaida kufuatilia wachezaji wetu pendwa lkn huyu cheusi Mangala simuoni oni wenzetu wa series a tubieni kajichimbia hospitali gani
  18. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Quuen of the south moja ya series Bora Sana itazame hii.

    Wakuu nimetazama hii series mwanzo mwisho kupitia simu yangu. Ukiona Hilo jina utasema inahusu wanyama labda, Kwa kweli ni series nzuri Sana inayo husu madawa ya kulevya mitifuano ya kufa mtu, kuzungukana ndio kabisa wapo na uhalisia kabisa na Mambo ya madawa hawa wa Mexico hii wamecheza. Mambo...
  19. Execute

    JamiiForums Tanzania Kama hujaangalia La Casa de Papel (Money Heist) basi hujaona series bado

    Series hii imesheheni kila kitu: kiwango cha juu cha kufikiria na kutumia akili. Profesa alikuwa best leading character bila kumsahau tokyo na nairobi. Hapo sasa bado hujakutana na berlin, denver na palermo. Rio pamoja na kuwa vizuri kwenye IT lakini sikupenda utoto wake. Upande wa pili kuna...
  20. Zgerald95

    JamiiForums Tanzania Wizi wa haki miliki za sanaa (movies and series) kukithiri Tanzania (copyrights infringements) ina maana Serikali haioni??

    Hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa sana na uhalifu wa mtandaoni serikali ikishirikiana na jeshi la polisi, kwa pamoja wamechukua jitihada za wazi kupambana na tatizo hili. Lakini kuna tatizo sugu ambalo binafsi naona ni kosa kubla sana na serikali imelikalia kimya. Wizi wa haki miliki za sanaa...
Back
Top Bottom