samsung A Series

Sendoro Mbazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
2,624
1,504
Ninatumia samsung A 7 ya mwaka 2017, na ninaiona iko vizuri kuliko hizi A series nyingine zinazotoka miaka hii hadi zimefika A51, je kuna tofauti gani ya kitaalamu kati ya hii A7 yangu ya 2017 na hizi A series mpyampya zinatoka mfululizo.

Nisije kuexchange A7 yangu nikajuta ?
 
Utofauti mkubwa sana, kuanzia display, camera, perfomance hadi ukaaji chaji.

Kwa A7 wenzake ni A52 na A72 kwa sasa, lowend kama A12 ama A21s hutaona upgrade yoyote ya maana
 
We unazungumzia A51 ya mwaka jana nakati mwaka huu wana a72???

A-series kweli hapa kati walizingua kidogo, ila za mwaka huu ziko fire sana....

Although A-series za 2016 ndio zilikua the best hapo kabla
 
Utofauti mkubwa sana, kuanzia display, camera, perfomance hadi ukaaji chaji.

Kwa A7 wenzake ni A52 na A72 kwa sasa, lowend kama A12 ama A21s hutaona upgrade yoyote ya maana
A21s ni moja kati ya Samsung yenye kamera mbovu na display sijapata onaa,

Hii simu kwenye hizo nyanja siwezi hata isimamisha na A10s, labda charge.
 
Ndugu nakushauri usitoke kwenye A Series.Nilinunua A30 miaka kadhaa sasa nadunda nayo iko makini haijawahi kunisumbua hata kidogo na display yake + muonekano ni nzuri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom