sera

"Que Sera, Sera (Whatever Will Be, Will Be)" is a song written by the team of Jay Livingston and Ray Evans that was first published in 1956. Doris Day introduced it in the Alfred Hitchcock film The Man Who Knew Too Much (1956), singing it as a cue to their onscreen kidnapped son. The three verses of the song progress through the life of the narrator—from childhood, through young adulthood and falling in love, to parenthood—and each asks "What will I be?" or "What lies ahead?" The chorus repeats the answer: "What will be, will be."
Day's recording of the song for Columbia Records made it to number two on the Billboard Hot 100 and number one in the UK Singles Chart. It came to be known as Day's signature song. The song in The Man Who Knew Too Much received the 1956 Academy Award for Best Original Song. It was the third Oscar in this category for Livingston and Evans, who previously won in 1948 and 1950. In 2004 it finished at number 48 in AFI's 100 Years...100 Songs survey of top tunes in American cinema.
It was a number-one hit in Australia for pop singer Normie Rowe in September 1965.
The song popularized the title expression "que sera, sera" as an English-language phrase indicating "cheerful fatalism", though its use in English dates back to at least the 16th century. Contrary to popular perception, the phrase is not Spanish in origin, and is ungrammatical in that language.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge Ndaisaba Ruhoro aitaka Wizara ya Ardhi kupitia upya Sera na Viwango vya Fidia kwa Wananchi

    "Mgogoro wa Ardhi baina ya kijiji cha Rusumo na Gereza la Rusumo, mgogoro ulioletwa na Afisa wa Ardhi ambaye Mamlaka yake ya kinidhamu yapo chini ya Wizara ya Ardhi." - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Afisa kwa kushirikiana na viongozi wa Gereza la Rusumo walikwenda...
  2. I

    Sera ya uchaguzi CHADEMA 2020. Ugatuzi wa madaraka, sura pili ukurasa wa 12

    Sera hii inaeleza namna ambavyo serikari ya chadema itarudisha madaraka Kwa wanainchi, Kwa kuunda mfumo wa majimbo. Lakini nimepitia ilani ya CCM ya uchaguzi 2020(kuzipa nguvu serikari za mitaa) Kwa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, na watendaji. Vyama vyote viwili vinashabiiana...
  3. Nakataa Sera ya Elimu kubadilishwa na namuomba Rais Samia asiikubali

    Kama Mdau Tukuka wa Elimu, Mkufunzi na mwana Saikolojia nakataa kuwa Tatizo la Elimu ya Tanzania ni Mfumo. GENTAMYCINE nimewavumilieni na huu Upuuzi wenu usiovumilika wa kutaka Kubadili Mfumo wa Elimu ya Tanzania na leo nawatoleeni Uvivu. Tatizo siyo Mfumo wa Elimu uliopo kwani hata akina...
  4. Mbunge Jumanne Kibera Kishimba Aishauri Wizara ya Elimu Kuhusu Mtaala na Sera ya Elimu Inayokuja

    MBUNGE JUMANNE KIBERA KISHIMBA AMETOA USHAURI KWENYE KONGAMANO LA MITAALA NA SERA YA ELIMU Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Mhe. Jumanne Kibera Kishimba ametoa maoni yake kwenye Kongamano la Sera na Mitaala ya Elimu Tanzania lililofanyika Jumapili ya tarehe 14 Mei, 2023 Jijini Dodoma. "Elimu...
  5. Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua Nini kimo maana elimu Ndo Kila kitu katika taifa lolote maana Ndo jiko la wataamu wenye Chachu ya kuleta Maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo: 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya...
  6. Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua nini kimo maana elimu ndo Kila kitu katika taifa lolote maana ndo jiko la wataamu wenye chachu ya kuleta maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo; 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya kujufunzia ni Kiswahili kwa shule za...
  7. CCM imejipangaje kupambana na Mabadiliko ya Tabia nchi??

    Ukifuatilia kwa makini mabadiliko ya Tabia nchi yamepiga hodi nchini mwetu. Lakini naona kama chama kilichoko madarakani hakina mkakati mahsusi wa kupambana na matokeo ya mabadiliko ya Tabia nchi kwa jamii ya Watanzania. CCM ina mkakati gani wa kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi na matokeo...
  8. Mawakili katika mkutano mkuu Arusha wasema sasa hawakamatwi ovyo kama enzi ya Magufuli, wamwaga kongole kwa Rais Samia

    #MauaYaSamia Mawakili wasomi wanaokutana Arusha mwaka huu 2023 wamekunwa na sera nzuri na tamu za SSH. Mawakili hao wamesema Sasa wanafanya kazi kwa Uhuru mkubwa na utawala wa sheria umetamalaki. Mawakili hao walionekana kukerwa kabisa na uongozi wa awamu ya tano. Mawakili ni moja ya makundi...
  9. Rasimu ya sera mpya ya Elimu; Tunachezewa kama yale ya Kilimo kwa vijana

    Nimemsikiliza waziri wa elimu akisisitiza kwamba sera mpya inatimiza matakwa ya rais. Sasa hapo ndo mwanzo wa ujinga wetu. Rais siyo mtaalamu wa elimu. Sera siyo ya rais, kwa nini sera mpya iwe inayotoa majawabu kwa rais? Sera hii kama itapitishwa kama kawaida yetu kwa vision ndogo ya aina hii...
  10. Aghalabu CHADEMA sasa ni sehemu ya uenezi wa itikadi na sera za CCM. Wanaeleza kwa unagaubaga namna ilani ya CCM inavyotekelezwa.

    Angalia leo hii wanavyosifia na kueneza namna rais Samia anavyopiga kazi Kuanzia kuongeza mishahara watumishi wa umma, kutimiza mahitaji ya wananchi kama kununua vifaa tiba na madawa. Wanasifia na kulelezea vyema Sasa sijui ni kwa nini? Au asali imekolea kwa cheamani?
  11. K

    Nitakubaliana na CHADEMA juu ya Sera ya majimbo ikiwa tu ni kwa mkakati na utaratibu ufuatao..

    Binafsi, kwa mtazamo wangu ukiachana na gharama kubwa za uendeshaji wa Serikali za majimbo kwa maana ya kwamba mpaka Serikali inaitwa serikali inakuwa ni mamlaka kamili yenye kujitegemea kwa kila kitu. Na kama tutaamua kufuata utaratibu unaotumiwa na Marekani wa kila "state" Ina serikali yake...
  12. D

    CCM imekosea sana kubadili sera ya Ujamaa na kuhamia Ubepari

    LEO ni siku ambayo nchi mbili huru kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuzaa nchi moja Tanzania lakini nchi hiyo ikiwa na muundo wa Serikali mbili. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ni jambo jema watu wamoja tena ndugu waliokuwa wametengwa na...
  13. Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo"

    Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya" Chanzo: Jambo TV
  14. CHADEMA mmepoteza mwelekeo, msimamo, hamna sera, mmekuwa wababaishaji

    Hivi nyie CHADEMA ni nani aliye waroga? Anaandika Almaliki Mokiwa. Katika nchi yetu ya amani (Tanzania) tumebarikiwa kuwa na vyama vingi vya siasa, wakati ACT, CHAUMA, CUF na vyama vingine kama CHADEMA vikiwa vyama pinzani, na CCM kuwa chama tawala, CHADEMA imejitanabaisha kuwa chama kikuu...
  15. Tanzania kutoa misaada kwa nchi jirani ni kusimamia sera yake ya mambo ya nje

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia Tanzania ikikabidhi "misaada" ya kibinadamu kwa nchi zilikumbwa na majanga ambazo ni Malawi ambayo ilikumbwa na kimbunga Freddy pamoja na Uturuki ambayo ilikumbwa na tetemeko kubwa la ardhi lililopelekea uharibifu mkubwa wa mali na mazingira. Nchini Malawi...
  16. Mawaziri wapimwe kwa kuleta sera mpya au kuhuisha sera

    Nipende kutoa wito, maoni na ushauri adhimu na wa kipekee. Kama nchi lazima tubuni mikakati mipya ya kukabiliana na maadui watatu muhimu waliotajwa hapo awali yaani umasikini, ujinga na maradhi. Bado kama Taifa hatujafikia kiwango tulichohitaji kufikia katika kukabiliana na maadui tajwa. Hivyo...
  17. Kama unasoma au unataka kufanya biashara, usifuate maneno ya wanasiasa

    Hii kasumba ya Watanzania kukimbilia kusoma masomo ya science eti kwa sababu umeambia na mwanasiasa, mtaishia Kupata majuto Makubwa. Au unaanzisha Biashara eti kwa sababu umeambiwa na mwana-siasa utaishia kupata stress. Sera za nchi yetu hazitabiriki na sio endelevu. Soma kitu kwa utashi wako...
  18. Ripoti WHO: 73% ya Nchi duniani hazina Sera ya kupunguza Matumizi ya Chumvi, Vifo Milioni 5 vinatokea kila mwaka

    Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotoka leo Machi 9, 2023 kuhusu Udhibiti wa Matumizi ya #Chumvi hasa ya kuongeza wakati wa Kula (Chumvi ya Mezani), imeonesha dunia iko chini ya malengo yaliyowekwa hadi kufikia mwaka 2025 kwa 30%. #WHO imesema kuwa ni 5% tu ya Nchi Wanachama wa...
  19. Fahamu kuhusu hisa za kampuni binafsi (shares of private company)

    HISA ZA KAMPUNI BINAFSI Hisa za kampuni binafsi ni hisa zinazomilikiwa na watu wachache ambao wamealikwa na kampuni kushiriki katika umiliki wake. Kampuni binafsi mara nyingi hazina nia ya kuorodheshwa kwenye soko la hisa na kuuza hisa zao kwa umma. Kwa kawaida, hisa za kampuni binafsi...
  20. J

    Ukatili dhidi ya Wanawake Mitandaoni: Je, tuna sera, sheria na mifumo rafiki kwa waathiriwa?

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, unadhani kwanini Ukatili dhidi ya Wanawake Mitandaoni unazidi kukithiri? Ni hatua gani Jamii inachukua kupambana na Ukatili huu? Waathirika wanapata msaada gani ili kuendelea kutumia Mitandao hiyo hata baada ya kupitia ukatili? Una maoni gani katika jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…