CHADEMA Kutumia Sakata la DP World Kueneza "Hate Speech" Haikubaliki na Ni Kinyume na Maadili ya Nchi na Umoja wa Mataifa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,060
49,748
Umoja wa Mataifa Ulitoa Waraka wa kukataza Matumizi ya Lugha za Kibaguzi "Hate Speech" Kwa Wanachama wake pindi wanapotaka kufikisha ujumbe wao wa kupinga au kujitafutia maslahi mbalimbali.

Sasa hapa Tanzania Toka Sakata la Makubaliano ya Serikali na DP World kuhusu uendeshaji wa Bandari kumetokea sintofahamu ya makundi mbalimbali ya wanaopinga na kukubali..

Lakini Kwa masikitiko Makubwa Jamaa wa Chadema wamekuwa wakitumia Lugha ya Ubaguzi na Chuki kufikisha maoni Yao hayo hasa Wakimlenga Rais "kwamba anauza Bandari Mali ya Tanganyika Kwa sababu yeye ni Mzanzibari",alianza Mbowe na Sasa imekuwa Kwa Wanachama wao wote si Lisu Wala Lema au mashabiki wao..

Hoja Iko hapa,Chadema wanaojinasibu kuwa na wanasheria wabobezi na watu wanaoheshimu utawala Bora wamekuwa wanafanya kosa Hilo Kwa Makusudi wakati wanafahamu fika ni kinyume na Maadili na tunu za Taifa hili na pia ni kinyume na Jumuiya ya Umoja wa Mataifa,na wanafanya hivi hadharani kwenye majukwaa na Kwa kutumia mitandao ya Kijamii.

Ndugu zangu amani ni kitu Cha msingi na adhimu kujengwa ila ni sekunde tuu kinaweza kupotea.Huko Rwanda,Burundi,DRC,South Sudan,Sierra Leon,Central Africa Republic,Miamar,Germany nk kulianza na Kauli za kueneza Chuki za kimaeneo,rangi,utaifa na baadae dini na ukabila vikaungana na kuzusha Moto mkubwa wa Mauaji..

Kumekuwa na wito wa watu na makundi kadhaa kutaka swala la Bandari lisitumike kueneza Chuki na Ubaguzi ila wao wameendelea na Serikali imekaa kimya.

Swali,Je huwezi fikisha ujumbe wako bila kutumia Chuki ukaeleweka? Na kama Kuna vyombo vya Utoajia Haki na kesi Iko Mahakamani Kwa nini Chadema Kwa kutumia Wanachama wao akiwemo Dr.Slaa Wanaendeleza chuki?

My Take
Naomba sana Mh.Rais asikae kimya maana yeye ndie aliapa kulinda Amani ya Tanzania,kuwaacha watu kama Hawa wanaeneza Chuki Kwa visingizio vya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni haikubaliki.
Uhuru na Demokrasia usiofuata maadili ni hatari kwa Ustawi nastakabali wa Taifa na Jumuiya ya Mataifa Kwa Ujumla..
Vyama vinavyohubiri chuki na Ubaguzi tuvikatae.
 
Hate speech..
Ubaguzi..
Uwongo ..

Ndo Sera zao miaka yote...

Walikuwa na nafasi ya ku engage na Samia tupate katiba mpya...
Now wamejiunga na Pengo na Slaa wakifikiri wao watapewa nchi mwaka 2025 kumbe Pengo ana mtu wake Philip Mpango anamuandalia mazingira...akiingia Mpango hakuna cha katiba mpya wala Muungano WA serikali 3...ni mwendo mdundo kama Magufuli..
 
CCM kukaa kimya suala la Bandari na DP world ni kimsababidhia Saa100 ajsli ya Kisiasa kuelekea 2025.
 
Umoja wa Mataifa Ulitoa Waraka wa kukataza Matumizi ya Lugha za Kibaguzi "Hate Speech" Kwa Wanachama wake pindi wanapotaka kufikisha ujumbe wao wa kupinga au kujitafutia maslahi mbalimbali.

Sasa hapa Tanzania Toka Sakata la Makubaliano ya Serikali na DP World kuhusu uendeshaji wa Bandari kumetokea sintofahamu ya makundi mbalimbali ya wanaopinga na kukubali..

Lakini Kwa masikitiko Makubwa Jamaa wa Chadema wamekuwa wakitumia Lugha ya Ubaguzi na Chuki kufikisha maoni Yao hayo hasa Wakimlenga Rais "kwamba anauza Bandari Mali ya Tanganyika Kwa sababu yeye ni Mzanzibari",alianza Mbowe na Sasa imekuwa Kwa Wanachama wao wote si Lisu Wala Lema au mashabiki wao..

Hoja Iko hapa,Chadema wanaojinasibu kuwa na wanasheria wabobezi na watu wanaoheshimu utawala Bora wamekuwa wanafanya kosa Hilo Kwa Makusudi wakati wanafahamu fika ni kinyume na Maadili na tunu za Taifa hili na pia ni kinyume na Jumuiya ya Umoja wa Mataifa,na wanafanya hivi hadharani kwenye majukwaa na Kwa kutumia mitandao ya Kijamii.

Ndugu zangu amani ni kitu Cha msingi na adhimu kujengwa ila ni sekunde tuu kinaweza kupotea.Huko Rwanda,Burundi,DRC,South Sudan,Sierra Leon,Central Africa Republic,Miamar,Germany nk kulianza na Kauli za kueneza Chuki za kimaeneo,rangi,utaifa na baadae dini na ukabila vikaungana na kuzusha Moto mkubwa wa Mauaji..

Kumekuwa na wito wa watu na makundi kadhaa kutaka swala la Bandari lisitumike kueneza Chuki na Ubaguzi ila wao wameendelea na Serikali imekaa kimya.

Swali,Je huwezi fikisha ujumbe wako bila kutumia Chuki ukaeleweka? Na kama Kuna vyombo vya Utoajia Haki na kesi Iko Mahakamani Kwa nini Chadema Kwa kutumia Wanachama wao akiwemo Dr.Slaa Wanaendeleza chuki?

My Take
Naomba sana Mh.Rais asikae kimya maana yeye ndie aliapa kulinda Amani ya Tanzania,kuwaacha watu kama Hawa wanaeneza Chuki Kwa visingizio vya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni haikubaliki.
Uhuru na Demokrasia usiofuata maadili ni hatari kwa Ustawi nastakabali wa Taifa na Jumuiya ya Mataifa Kwa Ujumla..

Hiyo hate speech (endapo kama ipo), Ccm watakuwa wameitaka wao wenyewe.

Wasingefanya mambo ya hovyo asingetokea mtu wa kuhubiria hiyo hate speech. Wanavuna walichopanda wao wenyewe. Mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
Umoja wa Mataifa Ulitoa Waraka wa kukataza Matumizi ya Lugha za Kibaguzi "Hate Speech" Kwa Wanachama wake pindi wanapotaka kufikisha ujumbe wao wa kupinga au kujitafutia maslahi mbalimbali.

Sasa hapa Tanzania Toka Sakata la Makubaliano ya Serikali na DP World kuhusu uendeshaji wa Bandari kumetokea sintofahamu ya makundi mbalimbali ya wanaopinga na kukubali..

Lakini Kwa masikitiko Makubwa Jamaa wa Chadema wamekuwa wakitumia Lugha ya Ubaguzi na Chuki kufikisha maoni Yao hayo hasa Wakimlenga Rais "kwamba anauza Bandari Mali ya Tanganyika Kwa sababu yeye ni Mzanzibari",alianza Mbowe na Sasa imekuwa Kwa Wanachama wao wote si Lisu Wala Lema au mashabiki wao..

Hoja Iko hapa,Chadema wanaojinasibu kuwa na wanasheria wabobezi na watu wanaoheshimu utawala Bora wamekuwa wanafanya kosa Hilo Kwa Makusudi wakati wanafahamu fika ni kinyume na Maadili na tunu za Taifa hili na pia ni kinyume na Jumuiya ya Umoja wa Mataifa,na wanafanya hivi hadharani kwenye majukwaa na Kwa kutumia mitandao ya Kijamii.

Ndugu zangu amani ni kitu Cha msingi na adhimu kujengwa ila ni sekunde tuu kinaweza kupotea.Huko Rwanda,Burundi,DRC,South Sudan,Sierra Leon,Central Africa Republic,Miamar,Germany nk kulianza na Kauli za kueneza Chuki za kimaeneo,rangi,utaifa na baadae dini na ukabila vikaungana na kuzusha Moto mkubwa wa Mauaji..

Kumekuwa na wito wa watu na makundi kadhaa kutaka swala la Bandari lisitumike kueneza Chuki na Ubaguzi ila wao wameendelea na Serikali imekaa kimya.

Swali,Je huwezi fikisha ujumbe wako bila kutumia Chuki ukaeleweka? Na kama Kuna vyombo vya Utoajia Haki na kesi Iko Mahakamani Kwa nini Chadema Kwa kutumia Wanachama wao akiwemo Dr.Slaa Wanaendeleza chuki?

My Take
Naomba sana Mh.Rais asikae kimya maana yeye ndie aliapa kulinda Amani ya Tanzania,kuwaacha watu kama Hawa wanaeneza Chuki Kwa visingizio vya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni haikubaliki.
Uhuru na Demokrasia usiofuata maadili ni hatari kwa Ustawi nastakabali wa Taifa na Jumuiya ya Mataifa Kwa Ujumla..

Umoja wa Mataifa unaruhusu Rasilimali za nchi kuuzwa?
 
Sijui sana yaliyopo kwenye mkataba, ila hilo la kiongozi wa nchi kuwa ametoka upande wa pili wa nchi ni kweli kabisa na si ubaguzi huo.
 
Back
Top Bottom