CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,167
- 24,124
Kama ulikuwa ni mtu usieenda kabisa club, si mbaya ila nikwambie kitu bro jitahidi walau once kwa miezi miwili tembelea hayo maeneo, fululiza weekend mbili mfululizo club zenye majina, Utanishukuru Siku Moja.
Kama hujawahi tembelea sehemu wanawake wanajiuza, unawasikia tu watu wakitamka tu mitaa mara Buguruni mara shivaz nk, usidharau sana siku moja moja tembelea kule fululiza zaidi ya mara moja, Utanishukuru siku Moja. (sijamaanisha ukanunue wanawake, nimesema tembelea kule uone wanaojiuza ni kina nani kama unawajua au huwajui)
Kuna mitandao inasifika sana kwa wanawake wanaojiuza ki ukweli kuna haka kamtandao kanaitwa TAGGED au Badooo na mingine mingine, Fungua account kwenye hiyo mitandao Peruzi, pitia pitia, Utanishukuru Siku Moja.
Kwanini nashauri haya kwenu wanaume?
Hawa wanawake tunaowaamini sana na kuwaona wanashinda kanisani kwenye mazoezi ya kwaya muda wote si watu.
Tunawapa watu mioyo yetu ambao hata hukustahili kumpa hata ukucha lakini unampa moyo kabisa.
Unatesekea mwanamke miaka na miaka anakukazia ila usiku anaenda kuigawa bure kwa 2000 na dau chini ya 10k.
Unakaa na mwanamke kila ukimsogelea anashika simu yake unaona yuko insta,Bro ame minimize tagged,ukitoa jicho ana maxmize anaendelea na yake kajiweka huko anauza kwa dau chini ya 100k.
Wanaume msipo janjaruka sasa hivi mtakuja jilaumu huko mbeleni, usione soo kuingia hayo maeneo niliyokutajia Utakuja nishukuru siku moja.
Mpaka naandika haya Naogopa wanawake serious nawaogopa kwa sasa, never trust them na wanaume wenye wapenzi/wake wenu Sijui niwambia muwaombee sana ila hapana Maombi hayafanyi kazi kwa mtu ambae hayupo tayari lakini nachoweza wambia ni kwamba "Wanaume jichanganyeni sana" msibweteke.
Watoto zetu/wake zetu/Ndugu zetu/wazazi wetu wanaendesha maisha kwa style mbaya mno huwezi amini macho yako.
Wanaume narudia kusema Usipuuze kama unajipenda na unawapenda wanaokuzunguka.
Mimi nimemaliza, kama hujaelewa itafika siku utaelewa maana ya TAX BUBU aliyoimba Matonya.