SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).
Wakuu mmeshasikia usaili utakaofanyika 8/1/2022. Usaili huu utajaza jiji la Dodoma umati wa watu 12,377 hao ni wa nafasi ya afisa uchunguzi tu.
Kuna nafasi ya afisa uchunguzi wasaidizi wameitwa watu 9,729 kwa nafasi ya watu 150 tu.
Jumla ya wasailiwa inakuwa 22,106 kwa ajili ya jumla ya...
Nmeona offer ya Hizi simu zikiwa znauzwa maduka ya tigo,na nmevutiwa nazo kweli. sasa hofu yangu ni kwamba zinaweza zikawa locked, yaan line ya Tigo ndo inakua na nguvu tu, japo kuna mdau kaniambia kuna possibility kuwa line zote znafunction bila kikwazo..
Ombi langu ni kwa yeyote ambaye amewahi...
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.
Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao...
Kulingana na data za world Bank.
Ukilinganisha na mwaka 2020 muda kama huu mauzo ya bidhaa nje ya nchi yameshuka kwa dola milioni miasita sawa na trilioni moja za kitanzania.
Hii ukiachana na uhalisia kwamba chanjo imepatikana na biashara zimeanza kurejea katika hali yake.
Nini chanzo cha...
Kuna baadhi magari ya abiria unakuta wanaweka mambo ya dini kwenye redio zao tena kwa sauti kubwa je hii ni sawa maana mule mpo watu dini tofauti pia wengine awana dini pia wengine awaamini kinachoongelewa kwa wakati huo hii naona kama haiko sawa
Watu wanasema, rais katoa bilioni kadhaa, rais katoa mashine hii nk.
Sasa kwa mambo negative itakuwa sahihi kumhusisha rais? Kwamba rais kawatenga mpwapwa hawana maji. Hospitali ya namtumbo haina dawa, Rais Samia kapwaya nk.
Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya safari.
Lazima mgawanyo wa faida itakayotokana Na uwanja kwa wanahisa ifahamike kabla watu...
HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani MTU unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
By Talanta Mhanga kupitia twitter:
"Japokuwa Mbowe ni tofauti na Mandela, mbinu za kumshughulikia zikifanana na zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa; na waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja, si nguvu ya dola" -...
Habari za majukumu wadau,
Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano.
Ujumbe wa kongamano hilo ni "...
Msanii Stamina ametoa album yake yenye nyimbo 13.
Kati ya hizo kuna wimbo unaitwa Nambie ameimba na Linah.
Kwenye wimbo kuna mstari wenye utata na maneno ya kejeli kwa Yesu.
Anaimba anasema "ukitaka mapenzi hayo,labda ukadeti na Yesu".
Hii ni sawa kweli wakuu??
Wapendwa kama kichwa cha habari kinavyo sema kiti hicho kina panda na kushuka vizuri kabisa kina uzwa.
BEI 80000 MAONGEZI YAPO.
KITI KIPO DAR KIJICHI 0694185384
Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?
Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote. By the way, kuna watu wana nyumba zao...
Ni hivi, hicho kipindi mnachosema umeme ulikuwa haukatiki, ulikuwa haukatiki majumbani. Japo pia tuwe wakweli kwamba ulikuwa unakatika lakini sio kwa kiwango hiki, lakini ULIKUWA UNAKATIKA.
Hata hivyo katika kipindi hicho, biashara nyingi zikiwemo VIWANDA zilifungwa. Watu walikuwa hawazalishi...
Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
Kuchamba kwa karatasi ni rahisi sana kwakuwa ni rahisi kutembea kwa urahisi na karatasi/toilet paper au gazeti hata ukiwa safarini, picnic, uwindaji, nk. Makaratasi yanapatika TU lakini maji lazima yawepo mengi ya kuchambia na matumizi mengine.
Hata hivyo faida ya kuchamba na maji ni kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.