Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,007
- 16,413
Kwa wale wanaofuatilia soka mtakubaliana nami kwamba haijawahi kutokea hizi timu mbili kubwa zote kwa pamoja ziwe na ubora sawa.
Hii miaka minne iliyopita Simba alitawala soka la Tanzania na Yanga alikua anasemwa kiasi kwamba walishazoea hali hiyo.
Najua kuna watu watasema ubora wa timu au ufadhili wa makampuni kama GSM nk..umefanya ligi kuwa ngumu..lakini ikumbukwe hizi timu mbili kubwa hazina njaa ya udhamini kiasi cha kufanya timu iyumbe.
Ni wakati wa Yanga kuwa juu kama ilivyokua kwa Simba...kuimba kupokezana.