Habari ya usiku wana jf!
Leo ninayofuraha kuweka bando kwenye simu yangu baada ya siku nyingi bila kuweka bando!
Kwanini hiyo heading! Ipo hivi, mm kijana wa miaka 28.6, lakini nipo kama mtu mzima wa miaka 40. Sijaoa wala sina mtoto. Maisha nayoyaishi hiki kipindi sidhani kama Mungu ndiye...