sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SHEMEJI: 'Mbona umefadhaika sana?' KIJANA: 'dah, shem, nimepigwa bandiko, acha tu'

    SHEMEJI: bandiko ni kitu gani na inatoka wapi? KIJANA: Si unajua shemu mimi JF ndio napotezea mawazo, sasa nimepigwa ban, siwezi ingia SHEMEJI: ndio maana asubuhi hadi jioni upo na simu tu tena nakuonagaa una type kwa hasira kabisa, ila mbona kazi nakuunganishiaga ufanye kazi eti unasema...
  2. JamiiForums Tanzania Asante sana Azam tv

    Pongezi nyingi sana kwenu kwa kuonesha mechi zote 104 za kombe la dunia,wapo waliokejeli kuwa hamna huo uwezo,leo mmewazina midomo.
  3. JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwabadilisha waislamu mambo mengi sana sasa washagundua mbwa sio haramu kwao kama mfugo

    Ilikuwa ngumu muislamu kusema afuge mbwa na kuweka mazoea naye. Ila kwa dunia ya sasa ukiangalia waislamu wameanza kugundua mbwa anaweza kuwa mlinzi wako na familia yako.Lile tukio lilotokea Venezuela la mbwa kumrinda mtoto we hapo unaweza kusema nini.
  4. JamiiForums Tanzania Bidhaa 5 za Teknologia zilizoko mbele ya muda sana

    Binadamu amefikia hatua ya kushangaza katika kutumia sayansi na teknolojia kuunda bidhaa mahiri zinazorahisisha maisha, kuokoa muda na kupanua uwezo wa asili wa mwanadamu. Kile kilichokuwa ndoto ya mbali sasa ni uhalisia unaoshikika. 1. Friji kama Samsung AI Fridge haihifadhi chakula tu...
  5. JamiiForums Tanzania Nimechoka sana leo

    -Wikendi inakaribia tamati -Nimeshinda humu tangu jioni hadi vidole vinauma kisa kutype -huu mfumo ulioanza leo wa kutembeza ban umenichosha sana maana muda si mrefu yatanikuta pia -mijadala ya leo imenifurahisha sana hadi nimechoka 🤣🤣🤣 -kila mara camera inapomuonesha Thomas tuchel...
  6. JamiiForums Tanzania Miaka 10 JF nimeona , nimejifunza mengi sana. Miaka yenye Sura na Kurasa mbalimbali

    Nimekuwa JF toka 2016. Nimekutana na mambo mengi. Nimewahi pigika vibaya sana na nikaja pata rafiki ambaye hatukuwahi onana ila tumebaki marafiki. Nimewahi chukiwa na watu na kutukanwa nao na mpaka sasa mmoja ni rafiki yangu sana. Alikuja nifahamu akaomba radhi na maisha yakaendelea Humu kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona watu wanaweka matumbo mbele na kuiacha Tanzania nyuma

    Yaani unatumia fedha za walipakodi kumfurahisha mtu ambaye kesho atatoka madarakani. Hebu fikiria kuisaidia shule ambayo vizazi na vizazi vinasema, hospital ambayo wananchi watatibiwa. Kumtumikia kiongozi wa juu ni utumwa tumikiwa wananchi.
  8. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Ujenzi wa SGR Makutupora ni 14% wakati angelikuwepo hayati Magufuli Ujenzi wa SGR ungekuwa umefika Mwanza kwa 100%

    Kuna janjajajanja tu tu wafanyabiasha wanaomiliki mbasi na malori hawataki ujenzi wa Sgr ukamilike kufikia 100% kwa sababu ya manufaa ya biashara zao. Hayati JPM aliwadhibiti .Leo hii Sgr ingekuwa imeshakamilika.
  9. JamiiForums Tanzania Israel Inatisha, Inaogopesha. Wairan Watoa Ya Moyoni Kwa Nini Israel Inaogopwa Sana na Iran

    Baada ya Watu wengi kuhoji uoga wa Iran kuigusa Israel, wairan walipo ndani ya Iran wale ambao hawataki tawala ya Hawa mamullah wametoa ya moyoni. Wanasema Marekani hata ashambulie vipi bado hawaoni kama vita imerudi, wanaamini na wanatamani Israel iingie kati sababu Israel huwa hawana utani...
  10. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda TANZIA Mbunge Mkongwe wa Uganda na Jenerali Mstaafu Moses Ali Afariki Dunia akiwa na Miaka 87

    Uganda imepoteza mmoja wa wanasiasa wake wakongwe zaidi baada ya taarifa kuthibitisha kuwa Jenerali mstaafu Moses Ali, Mbunge wa Adjumani West County na aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87. Moses Ali alizaliwa tarehe 5 Aprili 1939 katika...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

    Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday n.k au hata pasipo matukio. Sijawahi kuona hii tabia kwa Wachina, Wahindi, Wajapan, Wakorea au...
  12. JamiiForums Tanzania Wavulana wa Dar Es Salaam wanasikitisha sana. Hasa ambao wamekulia Kinondoni, Ilala na Magomeni

    Usije ukawa na mtoto ukakaa naye maeneo haya.... Huwa hawakui, hawawi wanaume. Mi hata nikipata rafiki akiwa amekulia hayo maeneo huwa namwona kuwa bado hajawa mwanaume kamili Sisi wanaume wa mikoani tunawadhatau sana watu wa Daa ambao wanajiita wanaume mfano huyu Tid nasikia bado anafugwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima karibu wote wana msiba wa bei za mazoa yao, ila wakulima wa kahawa wana furaha sana

    Mimi ni mkulima wa Muda mrefu kidogo nalima viazi kama zao la urithi, parachichi na sasa nimeanza kulima kahawa( sijafanikiwa kulima kahawa kwenye kiwango kizuri) nadili na nafaka kwa kununua na kuuza. Nimejaribu kufuatilia trend ya Bei ya mazao kwa Miaka kadhaa hadi nikamua kuanza kulima...
  14. JamiiForums Tanzania Nimekumbuka sana Miss Chaga wa JF

    Mzuka wana jamvi ... Jf kitambo na hiko alikuwa member anayependwa sana hapa jamvini , muda mrefu sasa amepotea miss Chaga , baada ya kuona post yake Leo katika Uzi wa zamani nimekumbuka sana . Watu wanakuja Jf na wanapotea kimyakimya
  15. JamiiForums Tanzania Ila wanawake ni shida sana

    Leo bi mkubwa kanicheki , kakuta naongea kilevi levi kazingua kinouma, nikafanya kumtumia 200k kimya kimya, baada ya muda , akaandika yaani ungekua hapa mwanangu , tungefurahi mno, leo tumechinja kuku mkubwa hatari 🤣
  16. M

    JamiiForums Tanzania Shekh Walid viatu vilimbana sana hadi vikamtoa sugu kwenye ncha za vidole

    Napendekeza apewe cheo Cha juu zaidi (Nakinzana na nyote mnaong'ang'ania arudishwe kwenye cheo chake) Kwa nini ? Utendaji wake kiufanisi utashuka kiwango chini ya wastani (35%) kutokana na misukosuko aliyopitia. PENDEKEZO; 1. Awe shekh wa mikoa (Mashekh wote wa mikoa wawe chini yake) 2...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

    Marekani wameanza kushambulia Miundombinu ndani ya Iran. Hali ni mbaya sana, Iran imeshindwa kutoa upinzani wowote. Marekani wanajipiga popote wanapotaka bila presha. Kwa muda mrefu Trump alikua akitishia kuvunja Miundombinu, hatimaye ameanza na baadhi tu kama mfano kiwaonyesha Iran kuwa ana...
  18. JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amempost Humphrey Polepole, anadai amemmiss sana rafiki yake

    Leo nimeona Bongo Zozo amepost video ameweka na Caption "Nimemkumbuka sana rafiki yangu jamani 🥲🥲" Imefanya niwaze, ndugu, jamaa na marafiki wa Humphrey Polepole watakuwa wanaumia sana. Tunakoelekea Watanzania wataanza kuikimbia nchi yao wataanza kudhalilika kwenye nchi za watu kama Wanigeria...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watoto chini ya miaka mitano na Wajawazito wamekuwa wakitozwa pesa katika Kituo cha Afya Mundindi

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi wanapopata huduma za afya katika Kituo cha Afya Mundindi. Kuna madai kwamba watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na wanawake wajawazito wamekuwa wakitozwa fedha za matibabu, licha ya utaratibu wa Serikali kutoa huduma...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume chatterbox; mwanaume gani unaongea sana kama mwanamke bhana

    WANAUME CHATTERBOX; MWANAUME GANI UNAONGEA SANA KAMA MWANAMKE BHANA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Zamani kulikuwa na dhana nyingi potofu ndani ya jamii hasa kuwahusu wanawake. Na mpaka sasa dhana hizo zipo. Dhana potofu kama; 1. Wanawake ni wambea kuliko wanaume. Ukweli ni kuwa wanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…