fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,535
- 8,982
Pongezi nyingi sana kwenu kwa kuonesha mechi zote 104 za kombe la dunia,wapo waliokejeli kuwa hamna huo uwezo,leo mmewazina midomo.
Azam pia kulikuwa na channel ya kienglish kuanzia Wachambuzi hadi matangazo uwanjaniDstv, supersport the best
Kuna aina ya mashindani hayanogi kwa kutangazwa kwa lugha ya kiswahili
Labda kama wewe ni mgeni hapa,ila kama ni mwenyeji utakua ushasoma uzi uliletwa hapa mara tu azam walipotangaza kuonesha mechi 104,kuwa ni waongo na hawana huo uwezoWataje hao walokejeli kwa ushahidi usipofanya hivo huu ni umbea tuu
hata kiingereza pia azam wanatangazaDstv, supersport the best
Kuna aina ya mashindani hayanogi kwa kutangazwa kwa lugha ya kiswahili
Bado tunasumbuliwa na ujinga, maradhi na umaskiniKwani wamekuonyesha bure, si umelipia kifurushi.
Sawa, mjiandae sasa na bei mpya ya vifurushi kuanzia Septemba 1Pongezi nyingi sana kwenu kwa kuonesha mechi zote 104 za kombe la dunia,wapo waliokejeli kuwa hamna huo uwezo,leo mmewazina midomo.
Mimi ni mmojawapo. Hata ule uzi ukiletwa nadhani nilikataa kabisa kabisa.Labda kama wewe ni mgeni hapa,ila kama ni mwenyeji utakua ushasoma uzi uliletwa hapa mara tu azam walipotangaza kuonesha mechi 104,kuwa ni waongo na hawana huo uwezo