Ila wanawake ni shida sana

Ila wanawake ni shida sana

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,826
Reaction score
165,589
Leo bi mkubwa kanicheki , kakuta naongea kilevi levi kazingua kinouma, nikafanya kumtumia 200k kimya kimya, baada ya muda , akaandika yaani ungekua hapa mwanangu , tungefurahi mno, leo tumechinja kuku mkubwa hatari 🤣
 
Pombe ni nzuri ukiwa na pesa. Sasa kunywa afu asubuhi unaombwa hela ya sukar na hauna! Hapo ndo hadi utasikia mbwa wako anakuuliza who who lakin kama una mshko wa maana hadi kuku watakuita ka ka mkuubwa.
 
Leo bi mkubwa kanicheki , kakuta naongea kilevi levi kazingua kinouma, nikafanya kumtumia 200k kimya kimya, baada ya muda , akaandika yaani ungekua hapa mwanangu , tungefurahi mno, leo tumechinja kuku mkubwa hatari 🤣
Kwani wewe ukitumiwa $1,000 bila kuiomba wala kutarajia hautafurahi?

Wapi nimeambiwa nitoe Bwashee?😅
Hapa sasa hivi nakuambia utoe bwashee 😎

Angry Meryl Streep GIF.gif
 
Back
Top Bottom