The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Nilikua mishemishe kukusanya oda za detergents huku na kule, ni kawaida kula chocho zote msako bako Kwa bako, nimeingia hapa mara nika wakuta mateja wamejaa, ni njiani tu hawana shida hao, sasa kilicho nifikirisha Teja Mmoja akatoka vidonge rangi ni kama kijani sijui rangi gani ile, lakini...
Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
BAKWATA ijitenge na Juma Namusoma, ambaye ametumia mitandao ya kijamii kutoa kauli zinazowalenga na kuwashambulia masheikh, pamoja na wale wanaoendelea kumlinda.
Kinachotia mashaka ni kwamba kila anapokosolewa kwa kauli zake, huonekana kujisitiri nyuma ya viongozi wa BAKWATA. Aidha, mara nyingi...
Malawi sent the minister’s daughter to Miss World. Not Miss Malawi.
Thandi Chisi won Miss Malawi in December. That’s the title. The trip should have been hers.
It wasn’t.
Organisers sent Ireen Navicha first runner-up, daughter of Gender Minister Mary Navicha. Miss World listed her as Malawi’s...
Mwandishi makini mwenye uwezo wa kudadavua mambo kama walivyokuwa akina Shaka Sali huwezi kuuliza maswali ya kipuuzi kama aliyomuuliza Mwenezi wa CCM iliyokataliwa na wananchi.
Kwa sasa mwandishi Khalifa naweza kusema ndio mwandishi very intelligent and analytical.
Mfano huwezi kumuuliza...
Haya yote ni kutokana na kuathrika na kuangalia porno toka utotoni, nikajikuta kuwaona wadada wenye makebo makubwa ni viungo vya starehe na sio watu wa kawaida
Niliwafanya kila namna, niliwageuza kila angle, huku nikiwa najipa moyo nitatosheka ila hakuna kitu , unacheza tu na mihemuko yako...
Katika pita pita yangu nimeona watu wakiusisha mafuriko ya Nepal na hasira ya anayeitwa Mungu, Kwamba kule Nepal watu walichoma misikiti ndo chanzo cha lile janga! Sasa kama ni hivyo hukumu ya mwisho (kiama) ni ya kazi gani kama tunaweza kuhukumiana hapa hapa duniani?
Inakuwaje Mungu anakuwa na...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo nikiishangaa jinsi nchi yangu Tanzania tulivyo nchi ya ajabu!, pamoja na fursa zote za kidigiti, na biashara ya mtandaoni, lakini mpaka leo bado sisi Tanzania, kama nchi, hatuna Sheria ya biashara mtandao, E-Commerce...
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu. 🤔
Watu wawili wanaweza kula chakula kinachofanana, lakini matokeo yakawa tofauti kabisa.
Mmoja anakula wali, nyama, chipsi, soda, vitafunwa na hata kula usiku, lakini miaka inapita bado ni mwembamba na hana kitambi. 😂
Mwingine anajitahidi...
Nakumbuka mara ya mwisho alikuwa anadakia Simba Sports Klab aka Mikia.
Simba walipomtema tu amepotea mpaka sasa amekuwa kimya kabisa. Sidhani kama walimtendea haki kumwacha na kumwaribia career yake namna hiyo. Manula alikuwa anafahamika vizuri kama kipa wa Simba
Baada ya hapo amekuwa kimya...
Mmawia tena nimeibuka mshindi pamoja na wale tuliokuwa/ tunao endelea kukubali sana Urusi dhidi ya USA.
Mwanzoni kabisa mwa Vita kati ya Urus na chawa wa USA nchi ya Ukraine nilisema au tulisema kuwa kwenye hii Vita Urus watatoka kidedea.
Leo hii tumeshuhudia kuwa Urusi kaibuka mshindi kwani...
Tangu utotoni nimeishi kwenye comfort zone. Kwangu, kula milo mitatu kwa siku, kupata mahitaji muhimu, kulipiwa ada na kuwa na mahali salama pa kuishi vilikuwa vitu vya kawaida.
Kwa kifupi, nilijiona ninaishi maisha mazuri sana.
Hadi nilipomaliza chuo na kuanza kujitegemea mwenyewe.
Hapo...
Wataalamu wa sheria wanatueleza kuwa Quasi-Judicial Bodies kama Mabaraza ya Ardhi, Tume ya Ajira, n.k. siyo MAHAKAMA. Lakini tangu serikali (iliyokuwepo wakati huo - siyo hii ya sasa) ilipoamua kuwa mashauri kama ya Ardhi, Ajira, Kodi, n.k. kusikilizwa na Quasi-Judicial Bodies hizi kabla ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
Watu wako Kanali wa NATO Kanali wa NATO! Unaweza kudhani wanatania kumbe ndiyo wameishaamini hivyo. NATO ina Kanali na jeshi tokea lini? Sijui ni Gen Z hawa ambao hawakusikiliza Dochivele ndiyo weupe hivi kichwani? Anyway, salama iwe na Polepole.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.