sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kusubiri uchaguzi wa mwaka 2025 ni mbali sana, kuna namna tunaweza kuwaondoa madarakani hawa wanaCcm kabla hawajakomba mali za taifa letu?

    Ukweli ndio huu, mpaka tuje tufanye uchaguzi mkuu mwaka 2025 tutakuwa tumeshaumizwa sana. Maana kuna dalili za safu ya kulipiga na kulimaza kabisa hili taifa. Sasa kuna uwezekano wa kutumia bunge au nguvu ya umma wakaachia ngazi? Maana tusikubali kuibiwa na kufanywa watwana.
  2. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Nape, Mimi ni Miongoni mwa tulioumizwa sana kutolewa kwako bila sababu

    Hongera Sana Mkuu, Umerudi kwenye Jungu Kuu, Wahuni walifanya sikukuu, Pale ulipokamuliwa jipu na Mkuu, Waoneshe kazi unaiweza, Wala usihangaike nao. Ulikuwa ukitimizaajukumu Yako, Tena Kwa kutumia weledi wako, Ukakumbana na likambako, Ambalo baba alilipaka upako, Waoneshe kazi unaiweza, Wala...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshaelimisha jamii sana hapa JF ngoja Leo nijisifu,ofcoz ukiweza kuwa neutral kama Mimi jisifu

    Naitwa mwana wa Kamugisha, mzaliwa wa Bugandika nakukulia mtaa wa Pepsi Bukoba Town. Nikawa Mwalimu weee but no mafanikio. Nikaenda chuo kikuu kuongeza maarifa( SI unajua mhaya asifiwi wingi wa Mali anasifiwa Kwa ukubwa wa CV) nakufanikiwa kupata lower second in short sikuwahi kuwa na akili sana...
  4. aise

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana binti wa miaka 16 kuniambia haya!

    Siku ya leo nimepigwa na butwaa sana baada ya binti mwenye umri wa miaka 16 kuniambia kuwa "NYIE WANAUME NI WAONGO" "MNAPENDA TU KUTUCHEZEA WANAWAKE" "MIMI MAISHA YANGU YOTE SITAKUWA NA MWANAUME TENA". Sasa nikabaki tu najichekea mwenyewe, sasa wewe una miaka 16, halafu unasema...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pamoja na madhaifu yao, watu wa Pwani ni watu poa sana

    Kwema Wakuu! Kwa ambao hawawajui watu wa Pwani na hawajawahi kufika Pwani naomba kuwajuza tuu, watu wa Pwani ni mikoa ya Tanga, Pwani yenyewe, DAR, Lindi, mtwara, Visiwa vya unguja na pemba,na kidogo Morogoro. Watu hawa bhana mbali na udhaifu wao lakini wapo poah Sana. Madhaifu Yao makubwa ni...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze kuishi na wanawake vizuri. Wanawake ni viumbe wema sana

    Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko. Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume. Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya: Watu wale wale, wao Hawajiajiri?

    Pana haja ya kumpongeza Mama Samia kwa spana zake hadi tukae sawa. Hakuna namna, maana wajinga ni wengi mno! Eti nyoyo za watu zaonekana kuwa na maduku duku. Kwani tulitegemea dodo chini ya mnazi? Kwamba nyuso za watu haziakisi furaha na baraza jipya? Kwamba baraza zima halikuvunjwa kuanza na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jipangeni 2025 hii CCM haikubaliki kwa wananchi, mtapata upenyo mkubwa sana na kupiga bao

    Ni dalili kubwa sasa hii ni CcM ya wapigaji na wajanja aka wazee wa kupiga madili kama ya Lugumi, kagoda na Escrow. Mpaka tunafika 2025 wananchi watakauwa wameshachoka na kuikataa mioyoni mwao. Mjipange na kufanya kweli.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tafadhali hili Galasa Moukoro achaneni nalo, ila huyu Udoh tafadhali msainisheni upesi sana kwani ni Mtu na Nusu

    Hassan Dilunga, Peter Banda na Yusuph Mhilu wana uwezo mkubwa kuliko huyu Chitec Moukoro wenu ( Raia wa Ivory Coast ) hivyo wala msithubutu au kupoteza muda Wenu Kumsajili kwani kwa Jicho langu Kali la Kimpira na Kiufundi ni wa Kawaida mno halafu hata Mpira wenyewe nao haujui. Ila kwa huyu Nusu...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hakuna Waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote kwani anajitahidi sana

    Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana. No doubt for this. She's working hard. Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this. Uzi umeishia hapa. Ova
  11. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu nimemwona Jana 'Zanzibar' akiwa na 'Ulinzi Mkali' sana' tatizo ni nini wakati kule ndiko anakotoka?

    Ina maana huko tunakotoka pia nao hawatupendi hivyo tunaogopa wanaweza kusababisha tena Siku 21 za Mapumziko na Bendera kupepea Nusu Mlingoti au?
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC irekebishe upesi sana 'Mapungufu' ya hawa Wachezaji Watatu Inonga, Sakho na Morisson kwani yanaigharimu Timu

    1. Henock Inonga Nakiri ni Beki mzuri sana na nimekuja Kugundua pia kuwa kumbe ni Versatile na kwamba anaweza hata kucheza vyema tu Namba 6, Namba 8 na hata Namba 2. Mchezaji huyu tokea aicheze vyema ile Kariakoo Derby na kupata Sifa nyingi nae ameshajaa Upepo kiasi kwamba sasa anajiona ndiyo...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeamini kuwa akutukanae hakuchagulii Tusi, Asante sana Rais Samia....!!!

    " Vijana wengi tukimaliza kusoma tunasubiri ajira, lakini hatuhangaiki kutafuta fursa za kazi, kazi ziko nyingi sana Tanzania, ni vijana kuchakarika kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia,"- Rais @SuluhuSamia Chanzo: EastAfricaTv Natamani mno kujua Wahenga waliposema kuwa aliyeshiba huwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Natabiri kuna jambo zito sana la siri linaendelea katika siasa za Tanzania

    Nasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania. Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machozi na damu. Kuna kimya chakutisha sana tena kutoka kwa wenye roho za hili Taifa, kuna giza nene limeikumba nchi na tunaiyona...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, Wazaramo watasubiri sana

    Kuna taarifa kuwa eti Wanawake wa kizaramo wanajua "kusuta" na "kusimanga" ila kwa hili naomba nikiri kuwa, Wazaramo watasubiri sana! Kuna Wanawake wanajua kusimanga aiseee, wanajua kusuta, unaweza kujikuta unaikimbia familia Yako. Hongera sana
  17. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Masikini wanachama wa CCM, mitaani wanazidi kupungua sana sana.

    Si zamani sana ilikuwa kila kona unaona bendera ya CCM inapepea na wanachama wa Chama hiki Cha CCM wametapakaa na utawajua kwa mashati yao yenye nembo za CCM na wavaa khanga nao umanjano na kijani. Sasa kuvaa nguo ya CCM ukatembea nayo mtaani ni shida na kumuona mtu kuvaa sare zao kama zamani...
  19. vnn

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia mtiririko wa visa, ni wazi kuwa Ndugai aliota mapembe na alikuwa akimdharau sana Rais Samia

    Ukweli ni kwamba, Ndugai amekua mbabe kwa muda mrefu sana kwa wabunge kule mjengoni lakini alikua mtiifu namba moja wa Rais John Magufuli (R.I.P). pamoja na mapungufu yote ya serikali ya JPM ikiwa ni pamoja na bajeti hewa mfano kuna baadhi ya wizara zilikua zinapewa hela ya bajeti 18% tu ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Ndugai amemshambulia Rais Samia vibaya sana

    Hata kama ni kueleweka Mheshimiwa Ndugai alishindwa kujizuia na hormones zake zikamtoa kwenye uhalisia na kumuweka kwenye attacking ya liwalo na liwe, hasira ambazo unaweza kuuwa bila ya kukusudia ni hatari sana tuseme aliamua kujitoa muhanga. Nimeisikiliza kideo zaidi ya mara tatu ili kupima...
Back
Top Bottom