sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini napenda sana maisha ya zamani je, psychological issue...?

    Habarini wana jamvi, nisiwachoshe.... Naenda moja KWa moja kwenye mada.. Yaani tokea nianze kujitambua miaka mingi iliyo pita. Nimekua napenda sana vitu vya zamani.. mfano KWa mambo ya mawasiliano, napenda sana simu za zamani mfano kama vinokia siemens n.k, sipendi hizi za technologia ya kisasa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo huu msemo na wimbo utatawala sana kichwani mwangu mpaka saa 12 jioni

    Msemo..... "Mtoto akililia wembe mpe umkate vizuri ili akome na siku zingine awe na adabu" Wimbo..... "Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee.... Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee...." Na hasa hasa kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12 kamili jioni ndiyo GENTAMYCINE nitakuwa makini kuusema huo...
  3. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Tabia hii inanikwaza sana wakubwa mnalala tu et?

    Mliyo na dhamana ya kusimamia vitengo serikali kwanini mnalea uzembe,uwizi wa watumizi wenzenu?Mara nyingi unakuta mtumishi anafika oficini anasaini halafu anafanya kazi kidogo anaenda mtaani kuzurula au kwenye mishe binafsi ndiyo mana nasema uzembe,uwizi mana analipwa na mshahara ambao mi...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huwa inataka moyo sana kusikiliza maneno na hotuba za hawa watu

    Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena. Nilikuwa sahihi. Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hongera sana walimu wa sekondari kwa usimamizi mzuri wa Darasa la Saba

    Nawasalimu Kwa jina la JMT. Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa. Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra kwa elimu msingi Mungu awabariki sana endeleeni na Moyo huo huo. Pia nawapongeza NECTA kwa kuwaleta...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mara nyingi mwanaume ukimhudumia sana mwanamke lazima upigwe na kitu kizito?

    Utakuta mwanaume uko vizuri kipesa, unamuona mdada unampenda, ila amepauka kwa umaskini. Unajitoa kumhudumia kipesa kwa hali na mali, hadi mdada ananawiri, ila atakachokuja kukulipa huyo binti, ni heri tu angekuambia tuachane. Niliona makala YouTube, mdada mmoja wa Kifilipino alimuua mume wake...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA tubadilike, ACT-Wazalendo wanatuzidi sana kufanya siasa za weledi, sisi tumebakiza kulalama Twitter

    Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals. Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu. Harakati za kisiasa bila common sense. Ona wenzetu. 👇
  8. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Muda mrefu sana Natafuta hii Ngoma

    Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake. Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho. Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na nia ya kuwatongoza, nimewapima kwa vitu vidogo sana wamefeli

    Mdada mmoja alikuwa anauza kibanda cha chips, alinivutia na nilikuwa na mpango wa kumtongoza, kabla sijamtongoza nlimpa Tsh. elfu 2 anipe chips za buku jero. Chenji ya jero akanipiga kwa kuniambia anaenda nunua ule mfuko mmoja mweupe mdogo wa plastiki duka la jirani, wakati kiuhalisia hiyo...
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Watoto huwa wanacheza michezo hatari sana!

    Tazama hapa. wenyewe wanaona rahaa
  11. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kweli Nawaambia. Mtanikumbuka sana. Mtanitafuta na Hamtaniona

    Nawaambia ninyi members. Umuhimu wangu bado hamjaanza kuuona sababu mnajifanya busy. Ni wangapi nimewasadia humu kiuchumi na kimawazo? Wengi sana. Wema wangu umewabeba wengi na wengine nimesaidia hata kufungua account humu JF. Mi nawaambia mtanikumbuka siku ambazo nitaanza kutoonekana. Na...
  13. nyboma

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kagera umechoka sana

    Huu mkoa umechoka sana, ila ukipata stori za wenyeji ni kwamba kuna wazee wana hela sana na wana mifugo mingi. Ila katika kutembea Kagera ni mkoa ambao bado umejaa watu maskini, utasikia fulani yuko Minnesota, mara Texas ila ukweli unabaki palepale Kagera ni mkoa maskini. Usije ukawekeza, kuna...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kusafiri bila kutoa taarifa inasaidia sana kwa usalama wako

    Mzuka Wanajamvi! Kutokana na tabia mbaya siku hizi za chuki, husda, wivu, gilba na ushirikina lazima uwe makini sana kwa wanaokuzunguka. Si vizuri kuweka wazi mipango yako. Hata ukitaka kusafiri unaondoka kimya kimya tu. Mimi hata nikija bongo likizo nashuka kimya kimya na nikiondoka...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tukatae, tukubali, watumishi wa Mungu hupitia mapito/ mitihani mikubwa sana. Tuwaombee bila kukoma

    Unajua ukikaa na kuiangalia kazi ya Watumishi wa Mungu utaona ni rahisi sana. Utaona ni kula sadaka tu na kusema pokeeni baraka za Bwana. Kwa kweli watumishi wa kweli wa Mungu hupitia majaribu makubwa sana. Majaribu hayo yalianza zamani, zama za Adam, Adam aligongewa mke wake na nyoka. Hebu...
  16. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

    Habari za muda huu wana Jf, nimeona na kusoma comments zote za uzi wa Retired wenye kichwa cha habari " Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani? Nilichogundua watu wamekosa umakini kwa kiwango kikubwa watu wengi wanajadili bila facts na porojo nyingi sasa nimejipanga kujibu baadhi ya hoja...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Yesu Kristo angeishi nyakati hizi angepotezwa mapema sana..... Soma hapa

    Nimetafakari sana inawezekanaje kuwa na matukio maovu yanayoendelea huku kukiwa na watu wengi wanaojitambulisha kama wafuasi wa Yesu Kristo ambaye kwa imani yetu alikuwa mtu mwema asiyetenda maovu? Baada ya tafakuri yangu nimeona ni wazi kwamba Yesu angefanya kazi zake kwa wakati huu...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwanini Balozi Mulamula alikuwa anaonekana smart sana na kuheshimika huko Ugenini?

    Nimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA. Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema ni nadra sana kwa mtu ambaye haheshimiki kuonana na akina Obama na Biden namna hii. Kuna watu tena...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kauli ya vumbi la Congo kutoka kwa Mkuu wa Nchi inafikirisha sana

    Africans tunaswagwa Tu kama ng'ombe hatujui tunaelekea wapi. Ila anatuswaga ndo anajua anakotupeleka. Hoja ya msingi hivi ni kweli nguvu za kiume ndo tatizo kubwa kwa vijana wa kitanzania. Mkuu wa Nchi unaamka unauambia ulimwengu vijana wangu Wana upungufu wa nguvu za kiume kwamba nalo ni...
Back
Top Bottom