sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Humu ni kali sana

    Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta na kuanza kumsakama!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    Dah, hizi fununu za kishingo zinanikera sana, huyu na Zoran walikimbia majukumu wakijua makundi ni shughuli nzito. Kishingo kafika makundi kakimbia, Zoran angekuwepo hata makundi Simba isingefika. Hata kama uamuzi wa kuleta kocha ni wa wote kwenye bodi, ila CEO ndiye atabeba lawama au pongezi...
  3. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara na Watanzania mtandaoni ni taabu sana

    Sijui hata nani kawaloga. Unaweka maelezo yote kamili bei na njia ya mawasiliano etc. Anakuja mtu anakuuliza maswali ambayo majibu yake kwenye maelezo ulishaweka. Yaani mwisho wa siku ni usumbufu tu. Anakwambia naomba picha zaidi wakati picha za kutosha umeshaweka kwenye tangazo. Mwingine...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Yanga SC mapema kuhusu kujidanganya kuwafunga Club Africaine katika CAFCC 'Knockout Stage' kwa Mkapa

    1. Acheni kabisa kujidanganya kuwa kwa kuwa Kipanga FC ya Zanzibar alitoka nao suluhu (sare isiyo na magoli) basi hawa wapinzani wenu Club Africaine ya nchini Tunisia mnawaweza na mtawafunga. 2. Dhambi ile ile mliyoifanya kwa Al Hilal FC kwa kuwadharau na kujiona ni wakubwa kuwa mngewafunga...
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mzee Wenger Alikua na Jicho sana

    Hii ni Mwaka 2013 Mzee wenger alimuona Big Benz kipindi Hicho akataka kumsajili. Jana Big Benz katwaa Mpira wa Dhahabu...Huenda labda matajiri wa Arsenal wangekubali kile alichokua anakiona mzee wenger Jana Tungeshuhudia Mchezaji wa Arsenal Akitwaa Mpira wa Dhahabu😂😂
  6. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasukuma wanalipenda sana hili jina?

    No research no right to speak. Nimefanya research yangu kwa muda mrefu nimegundua kwamba Wasukuma wanalipenda sana jina la Jose. Ukienda Mwanza na Shinyanga utakutana na akina mama jose na Jose wengi saana. Katika wasukuma 10 basi wakuma 3-4 wanaitwa Jose. Hapa mtaani niliko sio usukumani...
  7. Abu Ubaidah Commando

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa CDC Afrika abaguliwa na wazungu pamoja na kujifanya anawapenda sana

    Ni Dk Ogwell. Huyo mwamba huwa anajifanya mpenda demokrasia na huwahusudu sana wazungu na kuwaponda Viongozi wa ki Afrika. Sasa juzi Wajerumani wamemuonyesha yeye siyo mwenzao pamoja na kuwa na Visa na matokeo yake ameishia kujibaraguza kuisifia Afrika kwa utu wake.
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Niliposema suala hili alilozungumza Kikwete, nilitengwa na kutukanwa sana. Huu ndiyo ukweli kuhusu Yanga

    Mechi zetu NBC L tunashinda kwa michongo; kwa kuwahonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani. Hili hapa analisema Kikwete kuwa, tunashinda kwa njia ambazo hazitusaidii kwenye mashindano ambayo hatuna mtu wa kuongea naye. Tunapohonga timu nyingine ziikamie Simba, tunawanoa Simba zaidi na...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee anamaliza kwa vitimbi sana maisha yake akiwa ikulu!

    Pascal Mayalla ... hii uliwahi kukutana nayo kweli ?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipindi vya michezo vya redio "vitanoga" sana wiki hii nzima

    100% vitakuwa ni vya kupongeza mafanikio ya Simba SC na 100% vitakuwa ni vya kuelezea uozo na kufeli kwa Yanga SC huko CAFCL.
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Idugunde nikihamia CHADEMA nitaleta mabadiliko makubwa sana. CHADEMA wapatapa ofisi mpya na utapeli utayeyuka

    Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa. Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa. Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja. Nitahakikisha poroja za Twita...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kuhudumia mwanamke ni raha sana

    Kuwa bonge la bwana sio lazima uwe na mwili mkubwa vile unavyowatendea wanawake (mapambo ya ulimwengu) ndiyo yatafanya mwanamke amwage machozi siku utakayomwambia "Me and you it's over". Siyo mpo kwenye date kila mara unaweka mikono mfukoni, mara kabla ya kuagiza unaanza kuuliza bei, nini sasa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Nghonghona, Dodoma

    Kiwanja chenye ukubwa wa sq.909, kinauzwa, bei milioni 5.5 Kipo Nghonghona, kilomita chache sana kutoka Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma. Kimepimwa. 0779017650 Kimewekewa beacon kabisa, very potential plot. Nyaraka zote zipo.
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa

    Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini Rais Samia akajibu “Hilo...
  16. music mimi

    JamiiForums Tanzania Najipanga kufanya harusi rahisi sana, naomba mawazo yenu

    Tofauti na watu wengi mimi siyo muumini wa harusi kubwa zenye mbwembwe nyingi. Hivyo nimepanga harusi yangu iwe rahisi sana na nitagharamia kila kitu mwenyewe. Sijui mke mtarajiwa atachukuliaje ila nitajitahidi kumuelewesha wazo langu mpaka aelewe. Wazazi nao nitawaelewesha maana wao ni...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana ukienda Kucheza Ugenini tena kwa Waarabu halafu ukapokewa vizuri kwani huo huwa ni Mtego

    Kuna Mpuuzi Mmoja nimemsikia ( kwa sasa nimemsahau Jina ) akisema tena kwa Kufurahia na Kuwapongeza Wenyeji kuwa wamepokelewa vyema. Na kwa tunaowajua vyema Waarabu ( hasa Timu zao ) ukiwa ni Mgeni ukienda huko huwa Wanakukarimu mno na wala hawakufanyii Fujo, ila Shughuli yao utaiona Siku...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Je, Geita ni eneo hatari sana? Mbona walinzi wa Rais wamesimama juu ya gari?

    Vipi huko kanda ya ziwa hasa Chato, mkoani Geita ni eneo hatari sana? Inakuaje walinzi wa Rais Samia kusimama juu ya gari? Ndiyo wanawaogopa Sukuma Gang?
  19. Mr_S

    JamiiForums Tanzania Mbona mwanamke ukimkataa anakuchukia sana?

    Ndugu zangu mimi kuna jambo huwa silielewi kabisa kuhusu wanawake/ mwanamke: "ukiwakataa huwa wanakuwa na chuki kali sana dhidi yako haijalishi mpo katika mazingira (hata kazini/biashara) gani." Kwanini hawa wenzetu huwa suala la kukataliwa wanalibeba kwa uzito sana. Mbona wao wanatukataa kila...
  20. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona sasa hivi kwenye account ya Facebook ya Queen Darleen inasikitisha sana, Serikali imuwajibishe

    Huyu msanii wetu amepost kwenye facebook story, video za ajabu sana. Lengo lake nini? Anajiuza? Au ametumwa kutumahasisha tufanye visivyo sawa?
Back
Top Bottom