Hata aibu hawana hii serikali katili sana

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,735
Reaction score
7,972
Baadhi ya Kodi zilizopo kwenye Lita moja ya Petrol.

1.Excise Duty (Kodi ya bidhaa maalum)
2.VAT (Value Added Tax – 16%)
3.Road Maintenance Levy (kodi ya matengenezo ya barabara)
4.Petroleum Development Levy
5.Railway Development Levy
6.Import Declaration Fee
7.Anti-Adulteration Levy

Jumla 40% ya bei
 
Hii kodi #7 inatafsirikaje kwa kiswahili?
Inamaanisha nini katika huo utitiri wa kodi?
 
Nchi ya kipuuzi sana hii. Watendaji hawana ubunifu kwenye kugundua vyanzo vipya na rafiki vya kupata kodi! Siku zote huwa wanaangalia kwenye mteremko tu ndiyo wanajaza makodi yao yote ili kumuumiza mlaji/mlipa kodi.

Ukiwakuta maofisini wanashindana kuwa na vitambi tu. Siyo wanawake, siyo wanaume! Kila mtu unamkuta amefutuka kama Wallace Karia.
 
nani kazuiwa kuingiza gari ya umeme?

Hakuna Sera na Miundo mbinu rafiki kwa hayo Magari, Ili ku boost EV, na kupunguza dependance kubwa kwa Magari ya Mafuta serikali inapaswa kuhakikisha:
1. Charging station Zinajengwa
2. Kupunguza Kodi ya EV ili ziwe affordable.
3. Baadhi ya Taasisi za Serikali, Kua mstari wa mbele kwa kuanza kuagiza EV.

Swala la Nishati, ni Issue ya National Security, Sio sawa Nchi nzima tunatumia aina moja ya nishati kwa 95% mbaya zaidi hyo nishati haipatikani hapa Nchini ni ya kuagiza kutoka Nje.

Inamaama siku kukiwa na Vita kwa Miezi 5 huko Uarabuni, Vitu havipitiki, Tutaishije?
 
Akili ndogo inapambana kuongoza akili kubwa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hapo Wamekamua Mpaka Chuchu Haitoi Maziwa Isipokuwa Damu Nyekundu Na Hawajari Lolote Lile Kama US
 
Hakuna Sera na Miundo mbinu rafiki kwa hayo Magari, Ili ku boost EV, na kupunguza dependance kubwa kwa Magari ya Mafuta serikali inapaswa kuhakikisha:
1. Charging station Zinajengwa
2. Kupunguza Kodi ya EV ili ziwe affordable.
3. Baadhi ya Taasisi za Serikali, Kua mstari wa mbele kwa kuanza kuagiza EV.

Swala la Nishati, ni Issue ya National Security, Sio sawa Nchi nzima tunatumia aina moja ya nishati kwa 95% mbaya zaidi hyo nishati haipatikani hapa Nchini ni ya kuagiza kutoka Nje.

Inamaama siku kukiwa na Vita kwa Miezi 5 huko Uarabuni, Vitu havipitiki, Tutaishije?
Mwambie tu Rwanda imetuzidi kwa EV
 
sawa, ila kauli ya kwamba "hawataki EV ziingie " inakua sio sahihi.

issue ya kujenga charging stations unawaambia watu abao bado wanapambana kufikisha umeme vijijini
 
Baadhi ya Kodi zilizopo kwenye Lita moja ya Petrol.

1.Excise Duty (Kodi ya bidhaa maalum)
2.VAT (Value Added Tax – 16%)
3.Road Maintenance Levy (kodi ya matengenezo ya barabara)
4.Petroleum Development Levy
5.Railway Development Levy
6.Import Declaration Fee
7.Anti-Adulteration Levy

Jumla 40% ya bei
Kwa hiyo hutaki Barabara na reli zijengwe au?
 
Nchi ya kipuuzi sana hii. Watendaji hawana ubunifu kwenye kugundua vyanzo vipya na rafiki vya kupata kodi! Siku zote huwa wanaangalia kwenye mteremko tu ndiyo wanajaza makodi yao yote ili kumuumiza mlaji/mlipa kodi.

Ukiwakuta maofisini wanashindana kuwa na vitambi tu. Siyo wanawake, siyo wanaume! Kila mtu unamkuta amefutuka kama Wallace Karia.
yaani sijawahi kishangaa kujutia kuzaliwa kipindi cha majangili kama hawa
 
Baadhi ya Kodi zilizopo kwenye Lita moja ya Petrol.

1.Excise Duty (Kodi ya bidhaa maalum)
2.VAT (Value Added Tax – 16%)
3.Road Maintenance Levy (kodi ya matengenezo ya barabara)
4.Petroleum Development Levy
5.Railway Development Levy
6.Import Declaration Fee
7.Anti-Adulteration Levy

Jumla 40% ya bei
Unapingana na mwenyekiti wako Heche anayesema ni 31% ya bei.

Unataka kusema heche ni Muongo??
 
Back
Top Bottom