sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watoto WA morogoro watabaki kusumbua Sana MF chinno wana Man na mandoga Kwa sasa

    Morogoro ni mji WA vipaji na vituko kila siku toka enzi Za afande sele , o. Ten, stamina , Jack simela r. I. P no wengineo taja wasanii wengine WA morogoro tuwape shout out apa Kwa uwepo wao
  2. JamiiForums Tanzania Lamama uliependwa na Mwamba, ukam dang dang Kwa machalii wengine, umemwuumiza Sana kijana wetu kimapenzi...

    Jamaan WiFi yangu kokote ulipo unaeitwa Lamama naomba uje Kijana wangu amekupenda kimapenzi lakini umemwacha solemba anaumia kimapenzi Lamama kokote ulipo ntakuita njoo. NYUZI ZINGINE BY ME 1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi 2. Haijalishi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kwa hiki nilichoona hospitalini

    Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli? Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapitiliza kunywa chai. Chai...
  4. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana bei ya mafuta ya taa ikiwa chini sana kuliko bei ya petroli na dizeli

    Nilikuwa nafuatilia kwa karibu bei za mafuta ya petroli, dizeli, na mafuta ya taa zilizotangazwa na EWURA mwezi huu. Baada ya kuchunguza kwa kina, nimegundua bei ya mafuta ya taa imekuwa chini sana ikilinganishwa na ile ya mafuta ya petroli na dizeli. Hali hii inanitia wasiwasi sana, kwani...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha wanaozilazimisha bodaboda ziwe pikipiki za michezo wanapukutika sana na kupata vilema vya kudumu kwa kujitakia wenyewe

    Wanatumia pikipiki ya kichina zisizo za michezo kufanya michezo, hawana helmet, gloves ngumu, guard ya viwiko, guard ya magoti, safe jacket, suruali ngumu, buti, begi lenye sponji, n.k. mwendo wa Ngiri mkia juu, kasi ya kuwapumzisha wadudu inazidi kuwa kubwa, vifo vingne nikujitakia sio Mungu...
  6. JamiiForums Tanzania Kituo cha ITV wamekuwa waoga sana kuripoti habari za kisiasa

    Wote tunakumbuka miaka ya 2008-2010 jinsi chombo kilivyo kuwa imara katika utoaji wa habari bila upendeleo wa chama chochote cha siasa mengi yaliibuliwa na viongozi wa upinzani TBC nayo ilikuwa kwenye ubora wake kiasi chake chini ya mkurugenzi wake Tido mhando Chombo hichi cha habari naona...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

    Bora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake. Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Ambao hatujawahi kuchanjwa chale wala kwenda kwa waganga licha ya kuishi kwenye mazingira yenye uchawi sana tukutane hapa

    Swalama Wananzengo. Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho. Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kokoriko ya Paw Fum ni ngoma nzuri sana kwa DJ's wa Pub

    E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa. Kwa wale DJ's wa Pub hii itakuwa nzuri kwenu kwasababu ina amsha amsha flani hivi inapandisha mizuka...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kumpa ujauzito, mapenzi yameongezeka sana

    Kuna pisi kali ilikuwa inanisumbua sana; kutokana na uzuri wake, nikasema hapa, piga ua lazima hili goma nilichukue, na ili kuhakikisha napata huduma muda wote nikaahidi lazima anizalie. Muonekano wa hii pisi kali; amepanda hewani kunizidi mimi, rangi ya chungwa, sura tamu, kiuno nyugwi...
  11. JamiiForums Tanzania Masikini wanaroho mbaya sana

    Ndugu zangu masikini tuna roho mbaya sana, ajabu tunachukiana wenyewe kwa wenyewe. Masikini hapendi kabisa kuona mwenzie kapiga hatua kumaisha. Masikini wanaumia hata ukiwa unavaa vizuri, masikini wanaumia kuona wewe unasomesha wanao shule nzuri. Ukijibana ukafanikiwa kujenga kakibanda kako...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wabongo ni watu wajinga sana kifikra na wanaongozwa kwa imani potofu za kishirikina

    Za asubuhi wakubwa na wadogo, Mimi jamani humu ndani nishaongea sana kuhusu Mambo ya Imani, mambo ya dini, mambo ya kishirikina, mambo ya uchawi na mengineyo. Jamani ifike muda wabongo tubadilike. Tunaachwa nyuma sana, maendeleo yanaanza kifikra afu ndo ki fedha. Kama akili hazipo sawa hata...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu sana: Ndugu yenu akiwa kwenye " naturally life threatening situation" msimuombe Mungu amuepushe na kifo bali mapenzi yake yatimie

    Kwa sababu most of the time inakuwaga ni Mungu mwenyewe ndio anataka kumtoa mhusika kwenye maisha yenu. Hata yule mtu wa kwenye biblia ambae siku zake za kufa zilikuwa zimefika ila akamuomba Mungu amuongezee miaka ya kuishi Mungu akamuongezea miaka 15 alifanya mambo mengi...
  14. JamiiForums Tanzania Jemedari Said ana kisasi cha hovyo sana dhidi ya Yanga

    Kampuni ya LIVIDA inayojishughulisha na masuala ya Sheria za michezoni na ushauri (Sports law & consultancy) ambayo wanasheria wake wanamsimamia mshambuliaji mpya wa PYRAMIDS FC FISTON KALALA MAYELE imesema usajili wa Star huyo kutoka Congo DR ulihusisha mamlaka mbalimbali (mult jurisdictional...
  15. JamiiForums Tanzania CCM inafanya siasa kisayansi na akili kubwa sana kuliko CHADEMA

    Hapa nazungumzia sayansi ya siasa sizungumzii uzuri au ubora wa sera za chama. Mfano wamefanikia kuwaaminisha umma kuwa Raisi Ni mpole na msikivu na ameleta malidhiano na kuruhusu mikutano ya hadhara na kufuta kesi za wapinzani. Ingawa Ni maridhiano uchwara. Since bado Sheria za uchaguzi, tume...
  16. JamiiForums Tanzania UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

    Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini. Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao. Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia...
  17. JamiiForums Tanzania Corner bar ya Sinza imebadilishwa muonekano, sijapenda

    Oya wakuu niaje, Kama kawa? Aisee kama mdau wa Corner Bar nimeumia sana baada ya kwenda pale na kukuta kumebadilishwa kuanzia muonekano mpaka burudani zilizokuwa zinatolewa mfano kibao kata nk. Sijapenda sijapenda, yaani baada ya kuona vile nikaondoka tu chap. Sasa wadau kwa wanaofahamuu...
  18. JamiiForums Tanzania Robertinho ni kama ameingia kwenye mtego mkubwa sana Simba

    Ukijaribu kuangalia sajili za simba nadiriki kusema kwamba angalau wako vizuri japo nadhani walikua wanahitaji angalau wapate beki mmoja ambaye anaweza kumpa changamoto Inonga. Nasema hivyo kwasababu, viongozi wa simba wamesajili kwa maelekezo ya kocha. Ukiangalia kikosi chao asilimia kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Waislam tumedanganywa kwa miaka mingi sana. Tuamke, tufanye siasa misikitini na popote pale

    Waislam kwa miaka mingi sana tumejazwa ujinga kwa makusudi kabisa kuaminishwa kuwa ni mwiko kuchanganya siasa na dini. Huo ni uongo na tumekuwa tukijazwa ujinga "brainwashed" kuamini hilo. Uislam haujatukataza popote kufanya siasa. Uislam ni mfumo kamili wa maisha ya binadam. Tusidanganywe...
  20. JamiiForums Tanzania Nawashauri wanaume usiende chumvini unajimaliza hali ni mbaya sana wanawake wameamua liwalo na liwe

    Wasalaam JF, Chonde chonde mabaharia wenzangu tumia akili na maarifa katika mazingira yako yoyote yale, kuwa makini sana na afya yako. Wanawake wameamua wana kauli mbiu maisha ni mafupi wanachetua, wanachachua, wanashandua. Kwa wastani kwa huu mfumo wa network, madalali na ofisini kutumika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…