Nimesikitika sana kwa hiki nilichoona hospitalini

Nimesikitika sana kwa hiki nilichoona hospitalini

Azimio la kazi

Senior Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
138
Reaction score
452
Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?

Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapitiliza kunywa chai.

Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaingia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
 
Roho yangu inauma Sana, Yani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli??
Leo nimekwenda hospital ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika sa nne asubuh badala afike aanze kazi, akapituliza KUNYWA chai, chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana,huku Hali ya wagojwa Zina zidi Kuwa Mbaya, saa sita kaiigia kasilikiza wagojwa wa wili tu, Kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tuna msubl.
Dokta anakupiga sindano ya matako alafu anaiacha inanin'ginia anaenda kupokea sim
 
Umewahi kufanya kazi ya kuajiriwa??
Anaropoka tu hao wengine wakija ndio wanakuwa wabaya zaidi kuliko wazamani. Ndio wanakuwa wezi na kujikeep busy kwenye mambo yao kwa kuwa wanajiona walichelewa sana kuingia kwenye mfumo.

Serikalini hata ukiajiriwa leo baada ya muda huna hamu na kazi. Kazi nzuri za kisiasa tu, Watumishi wengine ni hoehae.
 
Roho yangu inauma Sana. Yaani sisi watanzania hatupendani kwa kiasi hiki kweli?

Leo nimekwenda hospitali ya mkoani (public hospital), moja ya jambo ya ajabu ni kuona wagojwa foleni kubwa dokta kwenye room hiyo akafika saa nne asubuhi, badala afike aanze kazi akapituliza kunywa chai.

Chai yenyewe kanywa hadi saa sita mchana huku hali za wagojwa zinazidi kuwa mbaya, saa sita kaiigia kasilikiza wagojwa wawili tu kisha akatoka kwenda lunch hadi muda huu tunamsubiri.
Umbeya mumbeya mkubwa wewe

Hospital haina jina?
 
Watu muhimu si mmeona ni wabunge na wakurugenzi tu mkawapa mishahara ya million 10+ na mandinga ya million 200, sasa mkae kwa kutulia mpaka kieleweke nani ni muhimu nchi hii. Nasubiri comeback ya walimu
Serikalini ukiacha viongozi wa kuteuliwa na wa kisiasa wengine wanalinda pension na ugali wao tu hakuna kabisa ufanisi. Sababu kubwa ni mishahara midogo na maazingira magumu.
 
Back
Top Bottom