sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kauli za Rais Samia Suluhu na watangulizi wake ni kama hazina tofauti.

    Huyu mama alianza kazi akiwa na lugha flani hivi tamu mpaka wakati mwingine akawa anamponda aliyekua boss wake (Magufuli ila sasa hivi kaacha) kwa vijembe.baadhi ya watu wakiongozwa na chadema wakampenda na kumpa sifa zote. Sasa leo anatoa kauli ya kejeli kama hii,anatofauti gani na yule...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nipeni njia nzuri sana

    Habarin wadau Mm ni mwanandoa mwanaume, Nina watoto wawili, na kwa Sasa mkewangu ana ujauzito. Niko pekeyangu mkewangu yuko mbali nami kutokana na kuachana nae kwa sababu zisizojulikana kutokana na yeye kuficha sababu maalum na kutokutaka kukaa kikao chochote na wazaz wangu wala wa ukweni...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti: Vijana wengi wanaotumia muda mwingi sana na simu kupost picha zao na memez status hawajatulia kwenye mahusiano

    Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali. Wakagundua...
  4. JamiiForums Tanzania Gender ni mbaya sana imetengeneza ubaguzi

    Ki ukweli ukweli tuseme gender imetengeneza ubaguzi mkubwa sana kuna vitu unatamani kuvifanya ila gender inakubana inakukataza Gender human creates. ==== Maoni zaidi kuhusu mada hii
  5. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

    Salaam Wakuu Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm. Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni. Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
  6. JamiiForums Tanzania Matumizi ya neno "UCHOCHEZI" ni namna dhaifu sana ya kuikataa demokrasia na uhuru wa kukosoa

    Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika. Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini...
  7. JamiiForums Tanzania Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

    Unamuuliza hakujibu, Shida nini hakujibu Umekosea wapi!? Hakujibu Yani yupo kama yupo tu!? Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu. Unamaliza , yupo tuu.. Yani yupo tu. Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki. Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
  8. JamiiForums Tanzania Hii picha ya Kramo imenihuzunisha sana

    Yoyote anayemtesa huyu jamaa kwa misumari basi ajue anatukosea sana wapenda kabumbu. Halafu kwanini wachezaji wazawa wanawabagua wachezaji wageni hapo lunyasi? Hata picha inajieleza tu
  9. JamiiForums Tanzania Mafuriko ya Libya: Nini chanzo chake, na kwanini hali ni mbaya sana?

    Mafuriko makubwa yamesababisha vifo vya maelfu ya watu katika mji wa Derna, mashariki mwa Libya, na kusomba baharini vitongoji na wakazi wengi huku maelfu ya watu wakiwa hawajulikani walipo. Chanzo cha mafuriko Baada ya kuzipiga nchi nyingine za Mediterania, Dhoruba kali inayofahamika kwa jina...
  10. JamiiForums Tanzania Ma star wa kike wanaonivutia sana kimapenzi

    Hawa watu haijalishi wametembea nani, mpaka kesho nawapenda, 1. Jennifer Kyaka (Odama) 2. Irene Uwoya 3. Rachel Kizunguzungu 4. Nandi wa Bill Nas 5. Rachel wa mahusiano clouds Naomba wafikishie salam zangu. Mmoja wapo nitampata
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye game linda sana brand yako, IT wa bongo mnakubali vp kupiga window kwa elf 5?

    Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000. Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys? Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa elfu 5? Ni wazi hatambui hata uzito wa CV yake ya kusomea taaluma yake kwa miaka mitatu chuoni.
  12. JamiiForums Tanzania Hata kama hujazoea hiki kitu katika mahusiano, chukua hatua bado mapema sana

    Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye mahusiano na mtu, unakuwa hujisikii huru sana kuwa naye, lakini baada ya muda una mzoea mtu huyo na kuanza kuona kila kitu kipo sawa kwako. Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye biashara, unakuwa pia hauko huru sana na biashara hiyo, lakini inafika muda...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa angeifikisha Tanzania mbali sana

    Morng Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania, kwaza alijua shida iliopo Tanzania ni elimu na alianza kuweka nguvu nyingi kwenye elimu ili watu wasiwe wajinga. Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

    Nawasalimu Kwa Jina la JMT. Kama Thread inavyojieleza,Huyu Mhe.Rais Samia Mimi binafsi naona amebeba maono makubwa sana ya Nchi hii, malengo yake ni makubwa,kila nikimtazama natamani Watanzania wote muelewe Dhamira yake ilivyo Kubwa ya maendeleo na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Sababu Kubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania tunawanyonya sana IT experts. Tuwape thamani sawa na kazi zao

    Jana nikiwa kwenye mwendokasi nikitokea morocco,nikapokea simu ya client mmoja anamiliki duka la simu na computer hapo posta. Anazo pesa kwelikweli. Simu ilikuwa ya wito wa kazi ya kudesign na kudevelop web kwa ajili ya biashara yake. Nilishuka kisutu nikaprint kwa mguu kwenda ofisini kwake...
  16. JamiiForums Tanzania Wazazi mmezidi kuwaadhibu watoto wenu wa kike

    Usimuadhibu msichana unamuadhibu kama mvulana mpaka 16 na anapata hedhi hii ni aibu. Tayari ni msichana mtu mzima zamani amekwisha olewa. Ndio maana wengi wanatoroka majumbani kisa wazazi akili zenu mnazijua wenyewe, mtu akianza kuvunja ungo ni wa kumkanya tu hata mvulana haya mna kitu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea...
  18. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoponda ajira ni umasikini / utumwa mara nyingi wazazi au ndugu zao wana ajira za chini sana

    Oh, Ajira ni utumwa Oh, kuajiriwa ni manyanyaso Huwa hawanaga utofauti sana na wale waliokulia maisha ya kimasikini ambao ni rahisi sana kuwajua siku hizi, ukisikia mtu anatumia sana msemo maarufu " Tafuta pesa" ni kwamba huyo kuna uwezekano mkubwa sana kakulia maisha ya kimasikini sana. Basi...
  19. JamiiForums Tanzania Falsafa ya mzee wangu kusomea Udaktari, Engineering au Sheria imetuokoa sana Watoto wake hence prooven, Nami sina budi kuiendeleza kwa watoto

    Kuna uzi nimetoka kuusoma humu nami wacha nikazie Na ndivyo ilivyo hata kwenye ukoo wetu, wengi wamesomea Sheria, Uhandisi ama Udaktari.. Wachache sana wamesomea Accounting baada ya kushindwa kuchagua kozi hizo tatu. Hata mimi nimesomea kimoja wapo na nikiri kwamba nilipata msaada mkubwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…