Gender ni mbaya sana imetengeneza ubaguzi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,982
32,597
Ki ukweli ukweli tuseme gender imetengeneza ubaguzi mkubwa sana kuna vitu unatamani kuvifanya ila gender inakubana inakukataza

Gender human creates.

====

Maoni zaidi kuhusu mada hii

Mkuu namchukia sana alie leta habari za gender leo mimi mtoto wakiume naumizwa nashindwa kulia au kuongea kwa uwazi kisa tu mwanaume. Tume mezeshwa vitu vya kijinga that why tunakufa mapema kisa kuficha hisia.

Imagine hata kulia huweziii. Kila ukitaka kulia unasikia sauti kichwani inakukataza " mwanaume halii"

The late Jiwe alishawahi tamka "Laiti SSH asingekuwa mwanamke basi Makamo wake angekuwa Hussein Mwinyi"

Naunga mkono hoja bila haya maujinga ya gender pengine sasa hivi tusingekuwa na haya mashaka.
 
Ki ukweli ukweli tuseme gender imetengeneza ubaguzi mkubwa sana kuna vitu unatamani kuvifanya ila gender inakubana inakukataza

Gender human creates
The late Jiwe alishawahi tamka "Laiti SSH asingekuwa mwanamke basi Makamo wake angekuwa Hussein Mwinyi"

Naunga mkono hoja bila haya maujinga ya gender pengine sasa hivi tusingekuwa na haya mashaka.
 
The late Jiwe alishawahi tamka "Laiti SSH asingekuwa mwanamke basi Makamo wake angekuwa Hussein Mwinyi"

Naunga mkono hoja bila haya maujinga ya gender pengine sasa hivi tusingekuwa na haya mashaka.
Mkuu namchukia sana alie leta habari za gender leo mm mtoto wakiume naumizwa nashindwa kulia au kuongea kwa uwazi kisa tu mwanaume tume mezeshwa vitu vya kijinga that why tunakufa mapema kisa kuficha hisia
 
Shida ndio hizi hapa elimika mzee acha upumbavu wakijinga ambao huna faida yoyote unaendekeza upumbavu kwavitu vya kijinga

Ushawai jiuliza kwanini wanaume wanakufa mapema na dunia kubaki na idadi kuwbwa ya wanawake?
 
Ipo hivi my fact kuna sio kwenye nguo ila nimechukulia mfano ili apate kunielewa kwa uwepesi

Kuna vitu katika jamii yetu leo mimi nikionekana na fanya lazima nitadharaulika

Mfano mimi nimeumizwa na kitu hasira imepanda sana lakini natamani kulia au kuongea na watu ili wajue yaliyo ni thibu ila jamii imenitengeneza mimi kuwa sipaswi kulia au nitakapo jaribu kushare na watu tatizo lile wapo watakalo liona ni dogo sana kwa mwanaume kwasababu jamii imemtengeneza mwanaume kutoweza kuonyesha feeling zake mbele za hadhara ndio maan tunarudiwa kutendewa makosa yale yale kila siku kwasababu wengine hawajui kama haya tunayotendewa yana tuumiza tofauti na mwanamke akichukia ata show kuwa amechukuia na mtu atakuwa chonjo kutofamfanyia lile tena kwasababu anatambua kuwa atakwazika hapo sijui umenielewa
 
Kwa hiyo maana ya gender ni mavazi? Au ni nini haswa, sijaelewa samahani
Gender imetengenezwa na mwanadamu kuwa mwanamke atakuwa nafanya kazi hizi na mwanaume hizi

Mfano secretary watu wanaamini ni kazi ya kike

Doctor watu wanaamini ni kazi ya mwanaume

Jambo ambalo halina ukweli ndani yake gender ni pana sana naweza kuilezea kwa gazet nzima kabisa siku au wiki nzima

W
 
Kwani kuna anaye kukataza usilie?

Kuna anaye shikilia macho yako usilie pindi unapo udhiwa na kupata hasira?

Jamii ndio imeshikilia hayo macho yako?
Ndio maana nasema huelewi kitu ndio maana una hoja za kijinga walio helewa soma comment za juu wameelewa nini na maanisha
 
Back
Top Bottom