Hii picha ya Kramo imenihuzunisha sana

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,492
Yoyote anayemtesa huyu jamaa kwa misumari basi ajue anatukosea sana wapenda kabumbu. Halafu kwanini wachezaji wazawa wanawabagua wachezaji wageni hapo lunyasi? Hata picha inajieleza tu
233BC107-AD23-4E51-82D5-8B15F4BB8ED9.jpeg
 
Yoyote anayemtesa huyu jamaa kwa misumari basi ajue anatukosea sana wapenda kabumbu. Halafu kwanini wachezaji wazawa wanawabagua wachezaji wageni hapo lunyasi? Hata picha inajieleza tuView attachment 2749944
Hivi wewe au yeyote yule aliyeziba nembo ya M-Bet kwenye jezi ya Che Malone na kuacha kwenye jezi ya Daktari wa timu, una akili sawasawa? Mantiki ya kufanya hivyo ilikuwa nini?

Turudi kwenye uzi;
Misumari mna uhakika ipo? Wachezaji wote wanaoumia na kujitonesha wamepigwa misumari?
Mimi si muumini hata kidogo wa mambo ya kishirikina, kuumia ni sehemu ya maisha ya mchezaji.
 
Na kwenye ulozi japo halina ushahidi wa moja Kwa moja wa kuthibitisha wanatajwa sana wachezaji wazawa hasa kuwafanyia figisu wachezaji wa kigeni.Hasaa Babu Boko ndiyo anatajwa tajwa.
 
Na kwenye ulozi japo halina ushahidi wa moja Kwa moja wa kuthibitisha wanatajwa sana wachezaji wazawa hasa kuwafanyia figisu wachezaji wa kigeni.Hasaa Babu Boko ndiyo anatajwa tajwa.
Kwa hiyo ushahidi ni kutajwatajwa? Ni nani anayemtajataja? Kuna uhusiano gani kati ya kutajataja na uhalisia?
 
Acha kupakazia wachezaji wazawa tuhuma za ulozi zisizo na ukweli. Jiulize kama simba walipima afya za wachezaji kabla ya kuwasajili!!
Hoja ya Msingi Sana lakini waumini wa ulozi watakuzodoa. Kuna Wachezaji ni injury prone Tangu wakiwa walikotoka. Wamefika kidogo tu wamejotonesha watu wameanza kuwasingizia kina Bocco. Bado kuna mwingine akianza kuwa majeruhi atasingiziwa Mzamiru. Yaani Wachezaji wageni hawajui kuroga Ila wa ndani.
 
Yule wa Airport?
 
Acheni fikra za kienzi za mawe. Hakuna anae mroga mbona akina Nkuku huko ulaya wanaumia mara kwa mara.Manula karogwa na Nani?
 
Back
Top Bottom