sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Young Africans (Yanga) amkeni logo imekaa kizamani sana ibadilishwe

    Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kishua walisumbua sana Dar miaka ya 90s. Via Social media na internet watoto wa uswaz wamepindua meza

    Habari wadau. Nimekumbuka Dar ya miaka ya 90s. Vijana waliokuwa wanatamba mjini ni wale wa kishua. Watoto wa o bey, upanga, mikocheni ndio walikuwa habari ya mjini. Viwanja kama bills, slipway, mikadi beach, coco beach walikuwa wanatamba wao tu. Vijana maarufu ni wale washua wanaosoma...
  3. JamiiForums Tanzania Je, huyu ndiye mwamba wa Afrika kwa sasa?

    Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba. 👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini. Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je ni mtu wa wapi??? 👉Ona mfano wa mapigano yake🤔🤒 Kwa Sasa Africa, tuna kila sababu ya kujivunia...
  4. JamiiForums Tanzania Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jaman… Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuuliza…na mengineyo. Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo...
  5. JamiiForums Tanzania Ipo haja ya serekali yetu kuanzisha chombo cha kifedha kwa ajili ya wanyonge.

    Ipo haja ya serekali kuanzisha chombo rafiki cha kifedha kama ilivyokuwa pride, (kimfumo) ili kiweze kusaidia kukopesha wananchi wanyonge mikopo chini ya million 10, Pia ipo haja ya fedha zote zile za wanyonge zitokazo katika halmashauri zetu zikawa zinapelekwa kwenye chombo hicho ili kuepusha...
  6. JamiiForums Tanzania Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

    Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki. Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na...
  7. U

    JamiiForums Tanzania "Sauti ya Watanzania" ni strategy dhaifu sana ya kudhoofisha upinzani. Fuatana nami, unganisha matukio, wajue na kaa nao mbali....

    Utangulizi Political propaganda ni taaluma kama taaluma zingine. Inapofanyika kwa umakini huleta matokeo. Lakini inapofanyika unprofessionally kama UWT wanavyofanya hapa kwa kuwatumia hawa wanaoitwa Sauti ya Watanzania kama nitakavyoonesha hapa, inamharibia kabisa badala kumjenga anayefanyiwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu utando mweupe kwenye mwili mtoto anapozaliwa

    Ni utando mweupe unaotengenezwa kwenye ngozi ya mtoto kwenye kipindi cha mwisho cha ujauzito, kitaalam huitwa Vernix caseosa. Huundwa na maji kwa asilimia 80, mafuta kwa asilimia 10 na protini kwa asilimia 10. Tofauti na jinsi inavyoaminika sana mtaani, utando huu hautokani na kushiriki tendo...
  9. JamiiForums Tanzania Ni mstari gani kwenye biblia unautumia sana upitiapo nyakati ngumu katika Maisha

    Bwana wetu Yesu kristo asifiwe wana Jf Katika maisha yetu hapa duniani kuna wakati tunapitia nyakati zilizo na mambo magumu sana, kiasi kwamba kwa uwezo wetu unakosa majibu na kubaki kujiuliza maswali magumu yasiyo na majibu. Nyakati kama za Kufukuzwa kazi, Ugumu wa maisha, kupoteza wapendwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kama una shida ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui

    Note Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia Upendo wa kweli unapimwa kwa watu usiowajua unawatreat vip usiowajua wanapohitaji msaada wako na sio unaowajua Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema...
  11. JamiiForums Tanzania Natumiwa sana na ndugu zangu kwenye shida zao. Zikiisha wanapotea

    Yaani natumika sana na watu wanaokuwa na ukaribu na mimi wakihitaji msaada wa kifedha au kihisia Kwa sasa naweza sema ukiacha ndugu zangu, watu wote waliobaki wana ji attach kwangu tuu wakiwa na shida. Kuna mmoja yakimkuta kwa siku utapokea simu zaidi ya kumi, kila mara, akishatatua shida yake...
  12. JamiiForums Tanzania Nimeumia sana baada ya kupata umbea kuwa demu ninaempenda katika harakati za mahusiano ametoa mimba 15 na zaidi

    Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana. Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za maisha ya hao mademu besties wa msela kumbe wamesoma pamoja Olevel, na chuo cha Ualimu. Sasa bhana mie...
  13. JamiiForums Tanzania Je, unafurahishwa na tabia za mwanao?

    Niseme tu ukweli kuhusu huyu mwanangu wa kiume Ana mwaka na miezi tisa hajajua kuongea vizuri ndo anajifunza, kwanza kabisa Nina uwezo wa kwenda naye kazini kwangu na asinisumbue wala kulia, Anasalimia kila mtu tunayepishana naye barabarani, Ni msikivu kwa kila ninacho mwambia Akichukua kitu...
  14. JamiiForums Tanzania Magari ya michezo ni bei sana, serikali na Baraza la Michezo mtusaidie wapenzi wa michezo ya magari

    Silii kwa ajili yangu, nalia kwa ajili ya the coming young stars , and the coming generation. Magari ya michezo ni bei kubwa sana na ushuru wake ni mkubwa, hawa chipukizi watawezaje? Sera za kikodi ziangaliwe upya, vipaji sio Football ⚽ na riadha na ngumi peke yake, vipaji ni uwanda mpana...
  15. JamiiForums Tanzania Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana

    Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida. Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

    Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku. Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki. Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
  17. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana

    NDEGE WALIOFARIKI NDANI YA KIOTA ☠️ Wanangoja mama yao awaletee chakula Labda, mama yao aliuawa. Walimsubiri arudi bila mafanikio 😭. Je, Unajua wakati wowote unapopigana na mtu, pia unapigana na vitegemezi vyake? Je, unajua ukiua mtu, unaua au kuwadhuru watu wanaokutegemea? Je! unajua kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Pole sana Haji Manara japo sasa uko Huru na Unajitahidi mno Kuinadi Yanga SC na Kujikomba Kwao, ila Wamekutosa Kiaina na Kukushtukia pia

    Najua tokea urejee katika Ziara zako nchi za Nje na kuwa Huru kutoka katika Adhabu yako na TFF ila kwa sasa umekuwa Ukiilaumu mno Yanga SC na hasa Kumlaumu Swahiba wako Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na usiulize GENTAMYCINE nimejuaje ila jua nimejua. ULIJIFANYA MJANJA ILA MCHEZO HUU...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi ni wala rushwa sana na Serikali inawaacha?

    Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokuwa waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua?? Course zao ni mbovu au mfumo wao. Mimi...
  20. JamiiForums Tanzania Putin hatoweza kwenda hata hapo jirani Armenia, wamejiunga ICC, Urusi yalalamika sana

    Urusi imelalamika kwa Armenia kujiunga ICC, ina maana dunia inazidi kuwa ndogo sana kwa Putin maana hata hapo kwa majirani zake hawezi kuwatembelea... The National Assembly of Armenia has adopted a draft law on the ratification of the Rome Statute, the basis of the foundation of the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…