Young Africans (Yanga) amkeni logo imekaa kizamani sana ibadilishwe

The thinker27

Senior Member
Sep 15, 2023
123
131
Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile nembo ya shule ya msingi ,ebu tuwaige simba na azam katika hili .logo sio sheria anytime can be changed

Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi
url.png
 
View attachment 2774994
Litafanyiwa kazi
 
wewe ndio hujui kuwa jezi za yanga hujengwa juu dhana fulani,na kila aina ya jezi ina dhana yake.
 
Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile nembo ya shule ya msingi ,ebu tuwaige simba na azam katika hili .logo sio sheria anytime can be changed

Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi
View attachment 2774994
Logo yenu pia ina alama ya uchawi hapo katikati kitu ambacho ni moja ya itikadi yenu
 
Wapo sahihi.

Yanga ni Timu ya michezo(Sports club) na sio Football club pekee.

Ni kama Simba tu, Taasisi/kampuni ikiwa general hivi husaidia pale utakapoamua kuanzisha project/michezo mingine katika timu, ikiwemo Ngumi, Basketball haitahitaji usajili mpya wa Taasisi au kampuni husika.
 
Yanga na simba, wote kwa pamoja wanatakiwa kubadilisha Katiba zao. Maana mpaka leo hivi vilabu vinatambulika kama vilabu vya michezo (Sports clubs), badala ya vilabu vya mpira wa miguu (yaani Football Clubs).

Kwa hiyo wakishinikizwa kubadilisha hizo Katiba zao, na nembo za timu zao pia (na hasa hiyo nembo ya Yanga), nazo zitabadilika.

NB:- huu uzi ni mzuri sana kwa ajili ya majadiliano. Ni bahati mbaya umevamiwa na baadhi ya watu wazima wenye akili za kitoto.
 
Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile nembo ya shule ya msingi ,ebu tuwaige simba na azam katika hili .logo sio sheria anytime can be changed

Naomba dukuduku hili limfikie Engineer Hersi
View attachment 2774994
Unajua maana ya Sports Club? Hiyo michezo yote Yanga imecheza huko nyuma so huwezi jua kama wataifufua tena, moja ya mabondia waliochezea Yanga ni Makongoro Nyerere.
 
Back
Top Bottom