Putin hatoweza kwenda hata hapo jirani Armenia, wamejiunga ICC, Urusi yalalamika sana

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Urusi imelalamika kwa Armenia kujiunga ICC, ina maana dunia inazidi kuwa ndogo sana kwa Putin maana hata hapo kwa majirani zake hawezi kuwatembelea...

The National Assembly of Armenia has adopted a draft law on the ratification of the Rome Statute, the basis of the foundation of the International Criminal Court, which previously issued a warrant for the arrest of Russian President Vladimir Putin.

Source: European Pravda with reference to News Armenia

Details: 60 MPs voted for the decision, and 22 spoke against it. 54 votes were needed to approve the project.

Before the voting, two opposition factions announced that they would vote against it.

Moscow previously called Yerevan's intention to ratify the Rome Statute an unfriendly step and stated that this step would have "the most negative consequences for bilateral relations."

Previously: Kremlin spokesman Dmitrii Peskov said that Armenia's decision on the Rome Statute was "extremely hostile." At the same time, he noted that the Armenian side offered to conclude a bilateral agreement with Russia regarding the Rome Statute.
 
Hii ni hatua nzuri ya kulipiza kisasi dhidi ya Urusi. Armenia wana mkataba wa kupewa ulinzi na Urusi ila majuzi Urusi ilishindwa kuingilia kati kuizuia Azerbaijan kuchukua eneo la Nagono Karaba. Urusi pia inashutumiwa kuwa ilipokea fedha ili umuuzie Armenia silaha, ila mpaka leo hajakabidhi silaha hizo. Ni dhahiri Armenia ishaona Urusi ni miyeyesho hivyo anataka kujenga mahusiano mazuri na nchi za Ulaya na America.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Armenia imepaniki sana kwani ililindwa na Urusi na iliitegemea sana urusi, Leo imechakazwa na kupirwa maeneo na urusi yupo kimya, URUSI ina wanajeshi wengi huko Armenia ila hamna walichosaidia kuiokoa
Tena Armenia itafute namna iwarudishe kwa kuwa eneo walilikuwa wanagombea na Azerbaijan tayari limechukuliwa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
ICC ni takataka.

Nilijithibitishia hilo pale ilipotoa waranti ya kumkamata Putin lakini cha ajabu mpka sasa Putin anaendelea na maisha yake pale ikulu ya Kremlin jijini Moscow
 
Amejificha Kremlin kama nguchiro, kwenye mkutano wa brics ililaza nyasi
 
ICC ni takataka.

Nilijithibitishia hilo pale ilipotoa waranti ya kumkamata Putin lakini cha ajabu mpka sasa Putin anaendelea na maisha yake pale ikulu ya Kremlin jijini Moscow
Kweli ICC ni takataka nataka nione Putin akitoka akienda kwenye hizo Nchi wanachama wa ICC harafu arudi Russia bila kukamwatwa hapo kwa kaburu Ramaphosa alirudi nyuma maana wahuni wangemkamata kweli na ingekua fedhea kwa SA au kuonekana SA walipanga mipango na Dunia ingekua sio salama tena wakamwambia atume mwakilishi wake...
 
ICC ni takataka.

Nilijithibitishia hilo pale ilipotoa waranti ya kumkamata Putin lakini cha ajabu mpka sasa Putin anaendelea na maisha yake pale ikulu ya Kremlin jijini Moscow
Husikilize porojo nyingi za MK-254, yaani wala hana habari kwamba Urusi na Merikani si member wa ICC, akili zake zote anawaza kesi za Kenyatta Jr na Rutto walipo buruzwa mahakamani the Hague - Kenya ni member sijui kama wamekwisha jitoa, cha ajabu mashahidi karibu wote walio kuwa wamejitolea kutoa ushahidi dhiti ya Kenyatta na Rutto walipotea kima ajabu na wengine kupewa ongo kubwa wasije mahakamani.

Mambo mengine bwana!! Nani mwenye ubavu wa kumguza Putin, labda kama Taifa hilo au Rais wake hawajipendi - achaneni kusikiliza propaganda za Biden na genge lake wote hao hakuna hata mmoja anayeweza kudhubutu kufanya lolote Putin au Urusi.
 
Armenia imepaniki sana kwani ililindwa na Urusi na iliitegemea sana urusi, Leo imechakazwa na kupirwa maeneo na urusi yupo kimya, URUSI ina wanajeshi wengi huko Armenia ila hamna walichosaidia kuiokoa
Kwani kuna vita Armenia?
 
Back
Top Bottom