sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

    Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita. Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi...
  2. JamiiForums Tanzania Joel Nanauka ana kitu kikubwa Sana ndani yake ni moja ya vijana wenye Akili Sana

    JOEL NANAUKA ana kitu kikubwa Sana hivyo vijana nawashauri endeleeni kusoma makala zake mtapata kitu kipya Cha kuijenga Akili yako. NB: Huyu Jamaa amewahi kuwa TO TANZANIA ONE katika matokeo ya kidato Cha nne.
  3. JamiiForums Tanzania Ulishawahi jiuliza ni kwanini wakristo waliokoka wengi wana hali ngumu za kiuchumi japokua biblia imewahidi baraka nyingi sana

    Kama kinavyosema kichwa cha habari hili ni swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza kwanini walokole wengi sio wote hali zao za kipato sio nzuri japokua kwenye biblia wameahidiwa baraka nyingi sana na Mungu na huku watu wanaoishi maisha yasiyompendeza Mungu wanamaisha mazuri na familia zao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dalali vyumba vya kupanga Tanga anahitajika haraka sana.

    Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM. Ova.
  5. JamiiForums Tanzania Watoa taarifa (wapinzani) kimya sana ndugu zangu, kulikoni?

    Itoshe kusema Kimya kina mshindo. Katika ujumla wake, upinzani nchini umepoaza sana, tena sana.. Vipi? Ni kishindo cha Makonda? Au ni mipango tu? Ni ukata wa fedha au pumzi? Hoja, dira na uelekeo ni kiza kinene? Hamuelewani? Hamuaminiani ? Mnavurugana na kugawanyika? Wafuasi wanauliza...
  6. JamiiForums Tanzania Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

    Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu. Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana. Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema...
  7. JamiiForums Tanzania Nje ya Arusha Mjini na Mbeya Mjini kuna miji gani mingine wazawa wa asili wameziachia sana fursa ziende kwa majirani zao?

    Arusha Mjini - wazawa asili Kuna Wameru na Waarusha, niliwahi kuishi hapo miaka mitano, cha ajabu kilichonishangaza ni kwamba Mji huu kwenye mambo ya fursa upo kwa majirani zao Wachaga wa Moshi, niliweza kufanya uchunguzi kwenye mambo kama hotel nyingi sana za Wachaga, Kampuni nyingi za utalii...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

    Wanawake wapo na Intuition power kubwa Sana hivyo akikuambia jambo ebu nenda ulitafakari kwa umakini Sana. Wanawake huwa wanazilewa Sana sauti za ndani kuliko hata sisi wanaume hivyo akikuambia Jambo litafakari kiundani . Mfano Mama yako akikuambia Mwanangu fanya hivi naona utafika sehemu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Makonda anatumiwa kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025?

    Namnukuu member wa Jf Glenn katika moja ya comment yake namnukuu "Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda. Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe" NOTE: Ikumbukwe kuwa CCM jambo lao kuu kuliko yote ni kubaki kuwa Chama Bola chama Tawala iwe kwa namna yeyote Ile...
  10. JamiiForums Tanzania Hahahah Eti Wana JF ni watu wabishi sana!

    Habari 🖐 Leo mida ya jioni nilikuwa zangu Jukwaani kama kawaida nikipitapita kweny thread tofauti, bac kuna mshkaji wangu alikuwa anapita akaja kama kwa nyuma yangu hivi akaona nipo JF. Mshkaji akaniambiaje, "kumbe na wewe unatumiaga JF? Nikamjibu "Ndio", akasema tena "hivi mwanzilishi wa JF...
  11. JamiiForums Tanzania Nilichogundua: Ukipata Pesa unaanza kuwa mkimya sana na hupendi tena kelele. Pesa nayo ni nishati

    Wakuu, baada ya tafakuri za kuyatazama Maisha since when I was broke mpaka muda huu nimegundua ukiwa na uhakika wa Maisha ya kila siku na unapata ushindi mdogo na mkubwa katika mzunguko wa Maisha unajikuta nguvu ya kuongea sana inapungua unakuwa msikilizaji sana. Ina maana ile nguvu ya kuongea...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi Vanguards zimekuwa nyingi sana

    Hii gari imekuwa kila kona ya mji imekuja kwa wingi namba E kuna nini huko wajuzi tuambieni
  13. JamiiForums Tanzania Safari ya imani ni safari ndefu sana

    Habari 🖐 🖐 🖐 Binadamu kabla hajaingia kweny imani, inabidi kwanza ujiulize swali tatanishi, swali ambalo hadi sasa kila mtu ana mtazamo tofauti, swali lenyew ni hili: Je, Mungu yupo? Akiamua kutoamini katika uwepo wa mungu bac kheri yake, lakini akiamua kuamini katika mungu bado safari ni...
  14. JamiiForums Tanzania Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

    Wanabodi Huu ni wito kwa Katibu Mwenezi mpya wa CCM, Comred Paul Makonda, kwanza kwa kumpongeza kwa kuifufua hamasa ya CCM kupendwa upya na kukubalika sana kupitia amsha amsha zake za Magufuli type (populist na populism) kila anapopita, tatizo lake ni moja tuu, anaipiga hii ngoma kwa nguvu...
  15. JamiiForums Tanzania Colorism ni saratani isiyotambulika rasmi lakini imeenea sana kwenye jamii

    For the benefit of all those in Rio Linda 🤣, let’s begin by defining what colorism is; differential treatment based on skin color, especially favoritism toward those with a lighter skin tone and mistreatment or exclusion of those with a darker skin tone, typically among those of the same racial...
  16. JamiiForums Tanzania Silaha za kila aina zakutwa ndani ya misikiti na shule, Gaza waliishi maisha ya ovyo sana

    Hawa watu waliishi maisha ya kishetani sana, ikiwemo kufundisha watoto namna ya kuchinja binadamu, ndio maana wanafumuliwa tu hamna namna. Hii picha hapa mtoto anafundishwa jinsi ya kuchinja mwenzake kama kondoo ====== The Israel Defense Forces says ground troops continue to find Hamas...
  17. JamiiForums Tanzania Makonda alizaliwa kuwa Kiongozi, ni aina ya watu adimu sana kwenye Uongozi wa Juu

    Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi. Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti? Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku...
  18. JamiiForums Tanzania Hongera kwa Naibu Waziri Mkuu: Upatikanaji wa Umeme na Mafuta vimeimarika sana

    Hakika naona utendaji kazi mzuri sana. Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka. 1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende. 2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna Foleni Kubwa Sana Barabara ya Morogoro Maeneo ya Mikese

    Tumekaa maeneo ya Fulwe Mikese kwa zaidi ya saa tatu, gari zimefunga pande zote mbili, nilikuwa mawazo Dodoma kikao saa 2:30 sijui kama nitawahi
  20. JamiiForums Tanzania Kifo cha Nabeel chahusishwa na ushirikina, kafara imetimia!!!, Watanzania tuna mawazo ya ovyo sana

    Aisee sisi Watanzania tuna mawazo ya ajabu sana. Naona watu wengi wanahusisha kifo Cha Nabeel na imani za kishirikina. Pointi yao ya msingi ni dhaifu sana ,eti kisa ile ajali ilikuwa mbaya sana na Chino katoka poa kabisa kana kwamba hakijatokea kitu. Yani wao walikuwa wanataka eti na Chino...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…