Mzee wa kazi ngumu
Senior Member
- Sep 28, 2023
- 148
- 469
Wakuu nahitaji chumba cha kupanga kiwe Tanga mjini mtaa wowote ule kiwe chumba kimoja ambacho kinajitegemea tafadhari niambie bei yake hapa baada ya hapo nitumie namba PM.
Ova.
Ova.
Tanga chumba ni bei gani mkuu kiwe kimoja tu kinachojitegemea.Bavu ndiyo jikoni?