sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zamani watoto walitafuta wazazi wao waliowatelekeza, zama hizi wazazi ndiyo wanatafuta watoto wao

    Kwema Wakuu! Sikuwepo zamani sana. Lakini miaka ya tisini mpaka elfu mbili hivi ilikuwa kawaida Baba kumtelekeza mtoto au watoto huku akiacha maneno ya shombo, jeuri na kiburi. Kuwa akikua atanitafuta mwenyewe. Na kweli zamani hizo niliona watoto wengi wakifanya hivyo, wakitafuta wazazi wao...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu Tanzania wanafanya kazi nzuri sana wapongezwe, waombewe kwa Mungu

    Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini. Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana. Mipango yao inachochea...
  3. JamiiForums Tanzania Inanisikitisha sana kumuona Diamond Platnumz akisimangwa mtandaoni na Nigerians

    Juzi nilikuwa napitapita Insta kweny page za entertainment za Nigeria, aisee jamaa wanasema sana, wanamsimanga hadi nilijisikia vibaya. Mimi sio kwamba mshabiki sana wa diamond, ila nikiona mtanzania mwenzangu, mpambanaji mwenzangu na kijana mwenzangu anasemwa na kutukanwa roho inauma sana...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba Mungu sana niache pombe

    Pombe pombe pombe. Mimi sio mnywaji sana. Ila kuna utumwa wa pombe siupendi. Kila bada ya siku 3 nahitaji bia. Inakuwa ngumu sana kuimaliza wiki https://youtu.be/W46HKkXzX0A?si=iaS7E3n394FnuaFg
  5. JamiiForums Tanzania Wanyama wanaotumiwa sana na wachawi

    Mi napenda sana mbwa, mbwa ni rafiki wa binadamu, mbwa ni wanyama poa sana, wanapenda sana kuwa na uhusiano wa karibu na binadamu, mbwa ana hisi hatari mapema sana na anaweza kukusaidia kweny ulinzi. Wanyama wengine kama paka ni jau, unaweza dhani unafuga paka kumbe unafuga mtu. Hivi kwann...
  6. JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo anatukosea sana kwa kuchagiza mimba mashuleni, adhibitiwe haraka!

    Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8. Frankly speaking mimi binafsi naanza kuona hii nchi sasa tunaongozwa na mataahira, infact nikaja kugundua...
  7. JamiiForums Tanzania Haya hapa makundi ya watanzania waliozarauliwa mitandaoni 2023

    Vijana Walimu Wahitimu wa vyuo vikuu wasio na ajira Single maza
  8. JamiiForums Tanzania Je unahitaji vitanda vya hostel? Nauza vitanda na magodoro yake, viko kwenye hali nzuri sana

    Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari. Size ni 3x6 Mbao ni Pine na Cyprus Bei 100,000 na godoro lake. Location: Dar es Salaam Waweza nipigia 0717454455/ 0767454455
  9. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mfamasia Mkuu inawanyanyasa sana wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini

    Ndugu zangu kuna hili janga linalowakumba wamiliki wa Maduka ya Dawa Nchini, kuna ukiritimba na unyanyasaji wa hali ya juu kwa Wafanyabiashara za Dawa! Hawa watu wanafanya biashara kama wakimbizi, ukaguzi kila siku kwa nia ya kujipatia rushwa! Madawa yote hata yale ya kawaida ambayo tulizoea...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili. Linatugharimu sana Vijana na kutuangusha kiuchumi

    Waziri nape. Piga marufu matumizi ya Filters instagram. Kule ndani kila binti mzuri, ana ngozi ya kiulaya ulaya na mwonekano wa kuvutia. Unamtumia nauli.... Unakuja mwona live.... Sura haina ung'aavu ambao aliuonesha kule insta au fb. Hii si sawa. Ni utapeli kabisa. Mimi mara 3 sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni kitu gani kinatusumbua sisi mpaka biashara au utajiri wa kifamilia unakuwa mgumu sana au una shindikana kabisa ?

    Hili ni swali huwa najiulizi mara nyingi. Hivi ni kitu gani kinasumbua jamii yetu mpaka utajiri au biashara za kifamilia kufa na kushindwa baada ya mwenye mali kufa ? Maana ukitazama wenzetu waarabu wanaweza kufanya biashara au kuendeleza utajiri wa familia kwa miaka mingi sana vizazi na...
  12. JamiiForums Tanzania Wastaafu wanateswa sana na mikopo ya kausha damu wasaidiwe

    Kausha damu ni mikopo ya yenye urahisi sana upatikanaji wake. Ina vigezo na masharti nafuu sana yanayowezekana kwa wakopaji wengi. Kwa upande moja inasaidia sana watu wenye shida na malengo ya kujiunua kiuchumi, na wanafanikiwa bila wasiwasi. Kwa upande mwingine ni mateso, vilio na kusaga meno...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Hii ramani inatumika sana kueneza uwongo wa mashabiki wa magaidi ya HAMAS humu

    Ramani ya kwanza inayotumika kueneza uwongo, ila ramani ya pili ndio yenye uhalsia
  14. JamiiForums Tanzania Bado watu wema wapo-kuna mtu amenionyesha wema sana

    Hello wakuu sana; Siku zilizopita nilipoteza bag langu dogo lenye vitu vichache lakini muhimu. Ndani ya bag kulikuwa na ; -Suruali 3 za jeans -Raba za nike pair 2 -shati 2 na nk -kadi 4 za bank tofauti -kadi ya gari -leseni ya udereva -kadi ya gari -××pasi ya kusafiria -cheki ya bank nk. -...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Why wadada wanajichubua sana, hasa Hawa waofanya biashara mbaya mitandaoni

    Siku hizi maadili yamevunjika kiasi kwamba sijui vijana wanaelekea wapi, Kuna wimbi la biashara za miili Kwa mabinti wa kike na jinsia nyingine zinazofanyika mitandaoni, hasa mitandao ya telegram , wasap, na web za hovyo ambazo serikali imefungia lakini watu bado wanatumia VPN. Hii imeenda...
  16. JamiiForums Tanzania Kitengo cha uamasishaji Yanga imefeli sana

    Timu ya Yanga imepata nafasi ya kuingia katika tuzo za CAF katika vipengele viwili.. Cha kwanza ni kipa bora wa msimuNa ya pili ni klabu bora ya msimu. Ukiangalia, tokea ushindi wa goli tano zidi ya mtani wake wao wamekomaa na ishu hiyo hiyo moja na wakati mechi imeisha na hata ukisema...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi kwanini Mwana wa Mfalme wa Saudia ameshika Kasi sana ktk kufanyia mafundisho mengi ya dini ya kiislam?

    Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka takribani 280 baada ya Mtume Mohammad kufa, hazifai kuwa chanzo Cha Imani ya kiislam Kwa sasa amepiga...
  18. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba wengi hapa Dar es Salaam ni watu maskini sana

    Ukiondoa wale waliorithi ambao mara nyingi ni mafukara na wasiokuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha zaidi ya kutaka kuuza mali walizoachiwa, kuna hawa ambao wanaishi kwenye eneo hilo hilo ambapo wamepangisha. Kodi ya jengo kaweka kwenye luku ya wapangaji na sio kule kwake. Bili ya maji hataki...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Iddi Amin angekuwa na full support ya jeshi then vita ya Kagera ingekuwa ndefu sana na ingetugharimu kiuchumi vibaya mno

    Uganda tayari ilikuwa fractured kuanzia serikalini hadi kwenye jamii. Watu wa Uganda waliishi kwa kumuogopa dadaa ila hawaku muheshimu. So vita kutoka Tz ilikuwa ni fursa kwao kwa maana wanajeshi wa Tz walikuwa wanapata support kwa kila kituo walichokuwa wanafikia na naamini jeshi letu...
  20. JamiiForums Tanzania Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

    Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita. Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…