sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuyaepuka sana wakati wa maombezi kwenye makongamano na semina

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 =================================================================================== Ujumbe Maalumu Kwa Mitume, Manabii, Wachungaji, Maaskofu, na Waumini Vituo Vya Maombi na Maombezi Duniani; _______________________________________________________________________________ Ipo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

    Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa. Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16...
  3. JamiiForums Tanzania Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

    Kuoa ni sawa na kutoa sadaka. Unachukua jukumu la kulea jitu lenye meno 32 huku likikupa stress na dharau za kipumbavu. Kwa upande wangu, Ni wakati Sasa wa kuwajaribu wale wa vijijini na wasio wasomi. Nina nia ya kuanzisha mahusiano yenye hatima ya kuoana lakini bado Kuna Tatizo kwa wasomi wajinga
  4. JamiiForums Tanzania Ushabiki wa timu oyaoya bila kadi unakera sana

    Ushindi wa timu yako unanoga na kufurahisha sana kama ukiwa mwanachama hai. Iko siku wanachama hai watapata gawio la fedha mbali na lile gawio la sasa la furaha viwanjani. Mpira ni pesa twendeni tukakate kadi za timu zetu ili nasi tuwe sehemu kamili ya uendeshaji wa timu zetu. Ukiwa mwanachama...
  5. JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

    Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela. Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha. #The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe! #Hii Imeenda
  6. JamiiForums Tanzania Wazee wa delivery kuweni makini na utapeli huu unatrend sana

    Kwa wale wenye biashara ya kupelekea mteja alipo hata kama ni kwa garama zake kuwa makini. iKO HIVI. Anakuja mteja siku ya kwanza mnafanya biashara vizuri kwa 100% hapo kwa mfanyabiashara lazima atengeneze imani na mteja wake ambeye anamzoom na kumset akae kwenye line. Mnabadilishana...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiijua ladha ya mwenzi wako kiroho na kimwili utafurahia sana maisha ya ndoa na uchumba

    Wapendwa, Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa. Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo. Tabia hii inahatarisha sana na kulegeza uhai na afya ya ndoa na uchumba katika jamii. Ndoa kadhaa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wale watumiaji wa Tecno tunateseka sana na hili jambo

  9. JamiiForums Tanzania Akili tu hauna ila mapenzi ni kitu oa sana

    Elewa hivyo Ni akili tu hauna ila mapenzi wala hayaumizi, Yenyewe wala hayanaga tabu. Ni kitu flani hivi kama unakuwa na akili yako timamu wala hayawezi kukusumbua. Habari zenu wana jamvi, Kati ya vitu vinavyosumbua sana dunia kwa sasa ni mapenzi na pesa. Pesa ni kweli kitu...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga yazindua jezi zake kuelekea Ligi ya Mabingwa Africa, ni kali sana

    Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa. Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa. Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi apewe maua yake
  11. JamiiForums Tanzania VIDEO: Usimuamini sana mwanamke na wala usimpime kwa upuuzi huu aliofanya huyu jamaa. Utajinyonga bure

    Salamu kwenu, hili liwe fundisho kwa wote wanaume na wanawake kuwa Mwanamke hajaribiwi kwa hela 🤣🤣
  12. JamiiForums Tanzania Mbagala chafu sana, CCM yatumia Rapid Force (kikundi cha uhamasishaji) kuficha malalamiko ya wananchi

    Jana Jumanne tarehe 21/11/2023 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alifanya mkutano Mbagala, mkutano huo ulikuwa ni wa kulifungua soko la Mbagala Zakhiem. Kama kawaida yao mabingwa wa kuficha ukweli huwa wanaambatana na kikundi cha vijana wapatao 30 hivi, hawa vijana wanaokusanywa sehemu mbalimbali...
  13. JamiiForums Tanzania Namuonea sana huruma Mwanaume mwezangu anaelipishwa pesa za matunzo ya mtoto asie wake, kuna wanawake moja kwa moja motoni

    Hivi mwanamke anakuwa na roho mbaya kiasi gani mpaka amfanyie huu uhuni mme wake ? Hii kitu naishuhudia daily kila uchwao, kuna co worker anamlipisha mwanaume pesa za matumizi wakati si mtoto wake Ni kwamba walioana vizuri tu nami nilialikwa kwenye sherehe kwa kuwa na ukaribu na co worker...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    Wakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya. Kuna kisa nimekuwa nacho kwa muda mrefu, sikuwahi kushare humu. Niliandika kiufupi tu ila naona ni vizuri nikashare kwa ukubwa ili tupate kujifunza na wengine. Sikuwahi kujua kama mwanamke anaweza kuwa chanzo cha kuharibika kwa maisha ya mtu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania House4Rent Tunapangisha nyumba na kuuza viwanja pamoja na nyumba Mwanza

    Chumba na sebule inapangishwa KWA ELFU 25 TU. IGOMA MTAA WA KAKEBE. UMEME NA MAJI VIPO. DALALI 0683011003
  16. JamiiForums Tanzania Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

    Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu. Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi. Kigezo eti...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

    Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".
  18. JamiiForums Tanzania Kasi ya D Voice inatisha sana. Anawakalisha wakongwe kwenye game

    Supastaa mpya mjini D Voice aka Jini ameianza safari yake ndani ya Wasafi kwa kasi ya kutishia sana. Ameweza kuingiza nyimbo zote kwenye trend za Tanzania uku nyimbo tano zikiwa kwenye top 10. Tafsiri yake ni kwamba kijana kakubalika mno na kila mtanzania kila mtu ana shauku ya kumskiza...
  19. JamiiForums Tanzania Vijijini ni pahala pazuri sana endapo serekali itapeleka msukumo huko!

    Endapo serekali yetu tukufu itaweka nguvu zake vijijini hakika huu mlundikano wa wazururaji mijini utapungua sana, Yapo mambo ambayo ni lazima serekali iyatekeleze kwanza ili kuvutia watu vijijini. 1)Ardhi zipimwe na zitambulike na ziwe na hati rasmi. 2) hati hizo ziwe na upendeleo maalumu...
  20. JamiiForums Tanzania Soko la mafuta ya kujipaka mwilini Vaselline limeingiliwa, Mtaani nimeuziwa sana mafuta feki, Hatimae nimejua pa kuyapata Original

    Nasikitika sana kuona hakuna udhibiti wa bidhaa feki hasa kwenye bidhaa za mwilini, bidhaa halisi na bora zinapotezea sokoni badala yake bidhaa feki zimetawala soko la nchi. Miaka nenda rudi haya ndio mafuta nayoyapenda kujipakaa mwilini sambamba na sabuni ya kuogea ya Imperial. Kuingiliwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…