Yanga yazindua jezi zake kuelekea Ligi ya Mabingwa Africa, ni kali sana

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa.

Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa.

Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi apewe maua yake
 
Hayo matambala ya deki ndo mnasema kali, au hamjui jezi kali nyie utopwowise
 
Huyu sheria kila siku anaandika majina ya wachezaji kwenye jezi🚮
IMG_8775.jpeg
 
Kawaida bana mkali kwny camera na uliodetiwa...
Ni maoni yangu yazingatiwe
🐸 🐸 🐸 🤣
 
Back
Top Bottom